Zanzibar 2020 Maalim Seif asema licha ya kuapishwa madai yao ICC yako pale pale!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
45,145
2,000
Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif amesema licha ya ACT Wazalendo kujiunga na SUK bado madai yao ICC yapo pale pale.

Maalim Seif amesisitiza kuwa anamwamini Rais Hussein Mwinyi na ana imani naye katika kujenga Zanzibar mpya.

Nadhani hizi zitakuwa ni habari njema kwa Chadema, Tundu Lisu na Robert Amsterdam.

Maendeleo hayana vyama!
 

My Sons Legacy

JF-Expert Member
Feb 4, 2019
3,026
2,000
PICHA yangu ya kufungia Mwaka
FB_IMG_1607429168320.jpg
 

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
11,809
2,000
Anajampa na kutema mate ya kijambo chake!,hii nchi ni matatizo wananchi mpaka viongozi wote sifuri maharage
 

Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,968
2,000
Hussein Ally Hassan Mwinyi ana busara kama ya Baba yake.

Kiliponuka 1984 Mzee Mwinyi akapewa Urais wa Znz akaituliza hali ya Zanzibar ndani ya muda mfupi sana hadi ikashangaza Tanganyika.

2020 Hussein Ally Hassan Mwinyi kaishusha homa ya Uchaguzi ndani ya Siku 40 na sasa hali imekuwa bardan wa salaama Zenjbaar.

Tatizo la wa Znz ni moja tu… ubinafsi… Shukran zote za uwepo wa Katiba iliyotambua Serikali ya Umoja wa Kitaifa, muasisi wake ni Jakaya lakin kwa kusudi kabisa wanamtaja Aman Karume wakati huyu na wana Kisiwandui wenzie walishinikizwa hadi wakasusa wakiwa kwny Kikao cha NEC Kule Butiama 2009!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom