Simlaumu alieshindwa kusoma kiapo, Urais unatisha, Rais anatisha na Rais Magufuli anatisha zaidi

Gebreyesus

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
7,585
2,000
Nakiri wazi 100% ya wakosoaji humu hawana uwezo wa kukabiliana na rais siku wakikutana nae ana kwa ana yale mamlaka yanatisha usiombe kukutana na magufuli akiwa kwenye full gear halafu ukiwa na matatizo yanayoathiri utendaji.

Kiufupi simlaumu yule waziri alieshindwa kula kiapo alitawaliwa na uoga hofu na kitisho Cha mamlaka ya Urais.

Namuomba (mzee Jpmagufuli) sio rais jp magufuli amtafutie kazi au nafasi nyingine atakayoona inamfaa kuteleza c kuanguka. Kama kina nape walisamehewa yeye ninani hata asipate msamaha huo kosa lake ni hofu na woga na si uhaini.

Wengi wetu tunamuona rais kwenye TV omba siku moja ukutane nae uso kwa uso ndio utaelewa Nini kilimkuta yule waziri.

Mkulungwa makusudi.
 
Davan

JF-Expert Member
Jun 15, 2020
1,127
2,000
Nakiri wazi 100% ya wakosoaji humu hawana uwezo wa kukabiliana na rais siku wakikutana nae ana kwa ana yale mamlaka yanatisha usiombe kukutana na magufuli akiwa kwenye full gear halafu ukiwa na matatizo yanayoathiri utendaji.

Kiufupi simlaumu yule waziri alieshindwa kula kiapo alitawaliwa na uoga hofu na kitisho Cha mamlaka ya urais.

Amtafutie kazi gani wakati jamaa ni mbunge tena wa kuchaguliwa
 
Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
1,180
2,000
Nakiri wazi 100% ya wakosoaji humu hawana uwezo wa kukabiliana na rais siku wakikutana nae ana kwa ana yale mamlaka yanatisha usiombe kukutana na magufuli akiwa kwenye full gear halafu ukiwa na matatizo yanayoathiri utendaji.

Kiufupi simlaumu yule waziri alieshindwa kula kiapo alitawaliwa na uoga hofu na kitisho Cha mamlaka ya urais.

Namuomba (mzee Jpmagufuli) sio rais jp magufuli amtafutie kazi au nafasi nyingine atakayoona inamfaa kuteleza c kuanguka. Kama kina nape walisamehewa yeye ninani hata asipate msamaha huo kosa lake ni hofu na woga na si uhaini.

Wengi wetu tunamuona rais kwenye TV omba siku moja ukutane nae uso kwa uso ndio utaelewa Nini kilimkuta yule waziri.

Mkulungwa makusudi.
Na uhakika una uelewa ila uliyoyaandika hapa hayana ukweli wala uhalisia wowote.

Sikuwahi kukutana na Rais wala Waziri Mkuu lakini nilipokutana na Rais Kikwete owa mara ya kwanza, sikuona chochote cha ajabu. Nilisalimiana naye kama binadamu wa kawaida huku nikitambua mamlaka makubwa tuliyomkabidhi.

Nilikutana na Rais Bush Junior Santiago, wala hakukuwa na tukio lolote lililonihusu na yeye ila tulikuwa hoteli moja. Aliponiona kwa vile tu nilikuwa mwafrika mweusi pekee yangu katika hoteli ile, akaniuliza kama natoka Afrika, dakika chache tulifanya chating, sikuona cha pekee zaidi ya kutambua kuwa anaongoza Taifa kubwa lenye nguvu.

Huko kubabaika kwake na kushindwa kusoma page 1 tu, ni jambo la pekee. Kwa wale tunaoongozwa na imani, tunadhani anastahili kujihoji namna alivyoupata ubunge wake. Laana huwa zipo. Zinaweza kufanya kazi mapema au baadaye. Kudhulumu haki ya mtu huleta laana.

Yakobo alidhulumu haki ya kaka yake, Isaka, laana ilimfuata maisha yake yote, kuanzia kisa cha Rachel na Leah, mpaka kuuzwa kwa Yusufu.

Hii haitaishia kwa huyu tu. Na huenda ya huyu ikawa ni ndogo kuliko wengine watakaofiatia siku za mbeleni. Wengine, tutapata nafasi ya kujua lakini wengine hatutajua, watajua wao wenyewe katika maisha yao.

Kama unataka maisha ya heri, ogipa sana kudhulumu haki ya mtu.

Lakini kwa upande mwingine, kama huyu bwana ni mtu wa haki, yawezekana Mungu anataka kumwepusha na hatari ambayo yeye wala sisi hatujui. Ndiyo maana, watu wa Mungu wanatakiwa kupokea kila jambo kwa shukrani na imani.
 
zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
6,690
2,000
hakuna cha mamlaka inatisha wala nini? kati ya aliye waapisha (anzia alipopata madaraka) hadi leo ni wangapi mbona ndo inatokea mara ya kwanza.

watu wametumbuliwa na walikuwa wanajibizana nae hadi ana mindi kuwaaambia 'usinijibu ivo mimi'

we ndo unataka leta stori za anaogopeka hakuna lolote
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
5,255
2,000
Nakiri wazi 100% ya wakosoaji humu hawana uwezo wa kukabiliana na rais siku wakikutana nae ana kwa ana yale mamlaka yanatisha usiombe kukutana na magufuli akiwa kwenye full gear halafu ukiwa na matatizo yanayoathiri utendaji.

Kiufupi simlaumu yule waziri alieshindwa kula kiapo alitawaliwa na uoga hofu na kitisho Cha mamlaka ya urais.

Namuomba (mzee Jpmagufuli) sio rais jp magufuli amtafutie kazi au nafasi nyingine atakayoona inamfaa kuteleza c kuanguka. Kama kina nape walisamehewa yeye ninani hata asipate msamaha huo kosa lake ni hofu na woga na si uhaini.

Wengi wetu tunamuona rais kwenye TV omba siku moja ukutane nae uso kwa uso ndio utaelewa Nini kilimkuta yule waziri.

Mkulungwa makusudi.
Jpm anatisha hadi lisu na genge lake wamekimbia nchi sasa ukiwa raia ukakuta na zile jemba za TISS zimepiga bunduki zao za kiisrael na miwani ya badaboda kuku ikiitana kwa code za airplanes lazima ukae
 
All TRUTH

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
4,719
2,000
Nakiri wazi 100% ya wakosoaji humu hawana uwezo wa kukabiliana na rais siku wakikutana nae ana kwa ana yale mamlaka yanatisha usiombe kukutana na magufuli akiwa kwenye full gear halafu ukiwa na matatizo yanayoathiri utendaji.

Kiufupi simlaumu yule waziri alieshindwa kula kiapo alitawaliwa na uoga hofu na kitisho Cha mamlaka ya urais.

Namuomba (mzee Jpmagufuli) sio rais jp magufuli amtafutie kazi au nafasi nyingine atakayoona inamfaa kuteleza c kuanguka. Kama kina nape walisamehewa yeye ninani hata asipate msamaha huo kosa lake ni hofu na woga na si uhaini.

Wengi wetu tunamuona rais kwenye TV omba siku moja ukutane nae uso kwa uso ndio utaelewa Nini kilimkuta yule waziri.

Mkulungwa makusudi.
BUSARA BUSARA BUSARA HANA KABISA
 
a45

JF-Expert Member
Sep 2, 2017
1,271

kweli kabisa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom