Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM ambaye pia ni mbunge wa kuteuliwa leo amepokea wanachama wapya 300 wa CCM wengi wao wakitokea chama kikuu cha upinzani Chadema. Polepole amewataka wanachama hao...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Ujumbe wake huu hapa chini kupitia twitter: Wabunge wote mliopo Dodoma muwekwe karantini, mpimwe na mfuatiliwe ( contact tracing ). Minister Mwalimu there shall be no two set of laws - for MPs...
24 Reactions
108 Replies
15K Views
CCM imeshinda kata, majimbo na Urais majimbo mengi nchini. Tulitegemea kushinda kwao kungepunguza kamatakamata ya wagombea wa upinzani na wale waliochaguliwa wangeanza kutekeleza ilani ila hali ni...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Chadema ipo mbioni kuziba nafasi za viongozi wa jumhia mbalimbali ikiwemo ya wanawake ambazo zipo wazi baada ya viongozi kuvuliwa uanachama. Mchakato wa kupata watu wa kuziba nafasi hizo...
9 Reactions
31 Replies
3K Views
Ni vigumu sana kuamini kwamba Zitto Kabwe ambaye wiki chache zilizopita alikuwa mshirika wa Chadema leo ni mshirika wa CCM. Nadhani maneno yangu hayatakuwa na nguvu kama hii picha. Najiuliza...
6 Reactions
43 Replies
5K Views
Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama...
7 Reactions
138 Replies
9K Views
Taifa la Mungu elimu si Mali ya serikali Bali ni Mali yetu. Wanaosoma si watoto wa serikali bali Ni watoto na ndugu zetu. Wanaoshindwa kusoma kwa kukosa madarasa na madawati si watoto wa serikali...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwakilishi wa Umoja wa Afrika katika Umoja wa Mataifa, Amina Salim Ali. Huyu ni mwanamke mwingine wa shoka anayeiweka Bongo katika ramani ya kimataifa pamoja na kina dk. Asha-rose Migiro ambaye...
1 Reactions
7 Replies
9K Views
Mijadala ya JF inasaidia kuibua majina mapya yaliyojificha ila watendaji makini natumaini Mawaziri walioteuliwa watatumbuliwa sana kama kipindi kilichopita, lakini pia yawezekana ukiweka taarifa...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Wanabodi poleni na mihangaiko ya kila siku na hongeleni kwa ushindi wa Bidden. Leo ningependa niwaletee kisa cha mapepo ninachokifananisha na madai ya wizi wa kura. Mwaka 2002 kulikua na mdada...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Itoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana Mh Freeman Mbowe. Sisemi kwamba aliyopo hafai bali ninachosema Mbowe ana kila sifa ya kuweza kushika nafasi hiyo katika...
4 Reactions
53 Replies
5K Views
Ndg. wanabodi, Sikuwahi kujua kuwa na hapa kulipita mjadala uliohusu matibabu ya mzazi wangu. Nimeambiwa kuwa mjadala huu umekuwa ukififia na kuibuka mara kwa mara. Nimeona leo niibuke mwenyewe...
33 Reactions
162 Replies
24K Views
NANI ALIYETUKOSEA,JE ALIYESHINDWA KUAPA AU WALE WALIOSAINI MIKATABA ILIYOGHARIMU TAIFA LETU,JE NI MZUMBE UNIVERSITY AU DAR ES SALAAM UNIVERSITY!? Leo 18:30hrs 11/12/2020 I really admire Mzumbe...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Wasalaam waheshimiwa mawaziri, waziri wa kazi,ajira, vijana na walemavu mh. Jenister Mhagama na waziri wa elimu sayansi na teknolojia mh. Prof. Joyce Ndalichako. Awali ya yote ninayo furaha kutoa...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Namhurumia sana Godbless Lema. Kaingia jela ya kufikirika, jela ambayo ni yeye mwenyewe atajua ni kifungo cha miaka mingapi na atatokaje kwa msamaha wake mwenyewe. Mbaya zaidi familia nzima...
27 Reactions
139 Replies
12K Views
Chadema kwa muda mrefu imesemwa sana kwa kushindwa kujenga majengo yake Kama ofisi kuanzia ofisi ya makao makuu, kanda, mkoa na hata majimbo ya uchaguzi na kata. Nakubaliana na hoja kuwa ruzuku...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
WanaJF, Naomba update za huyu Professor, Binafsi ninamkubali sana huyu prof kwa uchambuzi wake wa historia na falsafa ya kiafrika. kwa muda mrefu sijamsikia wala kusoma machapisho yake mapya...
3 Reactions
52 Replies
20K Views
Kinachoonekana sasa ni kwa CCM kuitumia nafasi ya ACT Wazalendo kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa huko nchini Zanzibar ,CCM kwa kutumia sura mbalimbali inazojivalisha inaonekana inatumia...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Namnukuu: "Sifahamu chochote kuhusu orodha ya majina ya Wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA inayosemakana kuwa imepelekwa Tume hata hivyo hata kama kweli jina langu lipo siwezi kwenda...
39 Reactions
202 Replies
25K Views
Kama taifa lazima tukubali kwamba sasa ni wakati wa kuzika tofauti zetu na kuanza kuambiana ukweli. Hao niliowataja hapo juu ni wateule katika Baraza jipya la Mawaziri. Pamoja na kwamba mimi...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…