Kisiasa, Zitto Kabwe yupo wapi?

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
921
1,000
Ni vigumu sana kuamini kwamba Zitto Kabwe ambaye wiki chache zilizopita alikuwa mshirika wa Chadema leo ni mshirika wa CCM. Nadhani maneno yangu hayatakuwa na nguvu kama hii picha. Najiuliza maswali mengi kama watanzania wengine, ila majibu sipati.

Zitto atawaambia nini watanzania kuanzia sasa? Hata watatetezi wake wanamchukuliaje?

Mwenye majibu atuambie kwamba Zitto Kabwe ni mpinzani au ni mtu wa haina gani maana kisiasa hajawahi kuaminika.

Zitto Stance.jpg
 
Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
11,131
2,000
Siamini kama Zitto amehusika au amependelea suala la ACT kujiunga na Serikali ya Kitaifa kule Zanzibar!!

Mistake aliyofanya Zitto ni kumkaribisha Maalim Seif ndani ya ACT ambae nae alikuja na Wafuasi wake!!

Wafuasi wa Seif kutoka CUF walikuwa wengi na more influential kule Zanzibar kuliko Wafuasi wa ACT Asili!!

Matokeo yake, Zitto na ACT Asili hawana ubavu wa kufurukuta kule Zanzibar mbele ya ACT Makirikiri, kwahiyo akina Zitto watake au wasitake, lazima wataburuzwa tu na ACT Zanzibar!!

Na hii ndiyo sababu inayonifanya nisiamini ikiwa kweli Maalim Seif aliomba kujiunga CHADEMA kwa sababu kwavile CHADEMA ilishakuwa strong, asingeweza kuiburuza kama anavyoweza kuiburuza ACT kadri atakavyo!! CHADEMA tayari ilishakuwa na misingi imara ya uongozi na viongozi wake walikuwa very influential unlike ACT ambayo ilikuwa ukimtoa Zitto, hamna kinachobaki!!!

Ambacho alifanya Maalim Seif ni kama alichokuwa amefanya Mrema alipoondoka NCCR!!! Ingawaje wakati ule CUF ilikuwa na nguvu lakini ali-opt kenda TLP kwa sababu alijua angewaburuza atakavyo, na kwali, hadi kesho anaendelea kuwaburuza, fursa ambayo pale CUF asingeipata!!!
 
Mwanzi1

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
5,858
2,000
Tatizo liko kwa vijana wengi wanaharakati wanaoipenda siasa lakini hawajuwi siasa.

Kilichotokea Zanzibar ni jambo la kwenye ulimwengu wa siasa, na tena kwenye siasa ya vyama vingi. Vijana wengi wakisikia upinzani, wanaamini upinzani ni jambo la milele.

Ukiwa mwanasiasa kuna wakati utakuwa mpinzani, na wakati mwingine ndani ya serikali. Nia njema ya mwanasiasa ni kutatua matatizo ya wananchi na sio kuweka harakati mbele huku ukiacha wananchi na shida zao nyuma.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
56,026
2,000
Ni vigumu sana kuamini kwamba Zitto Kabwe ambaye wiki chache zilizopita alikuwa mshirika wa Chadema leo ni mshirika wa CCM. Nadhani maneno yangu hayatakuwa na nguvu kama hii picha. Najiuliza maswali mengi kama watanzania wengine, ila majibu sipati.

Zitto atawaambia nini watanzania kuanzia sasa? Hata watatetezi wake wanamchukuliaje?

Mwenye majibu atuambie kwamba Zitto Kabwe ni mpinzani au ni mtu wa haina gani maana kisiasa hajawahi kuaminika.
View attachment 1645023
Tafuta kundi la wazandiki utamkuta
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
107,035
2,000
Kaingizwa MUJINI na Wapemba.
Ni vigumu sana kuamini kwamba Zitto Kabwe ambaye wiki chache zilizopita alikuwa mshirika wa Chadema leo ni mshirika wa CCM. Nadhani maneno yangu hayatakuwa na nguvu kama hii picha. Najiuliza maswali mengi kama watanzania wengine, ila majibu sipati.

Zitto atawaambia nini watanzania kuanzia sasa? Hata watatetezi wake wanamchukuliaje?

Mwenye majibu atuambie kwamba Zitto Kabwe ni mpinzani au ni mtu wa haina gani maana kisiasa hajawahi kuaminika.
View attachment 1645023
 
Falconer

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
820
500
Jamani siasa ndugu zetu hamuzijui. Sio kuwa tunajifanya maadui. Hivo wakati CUF / ACT waliposusia kurudia uchaguzi wa marudio zanzibar, Chadema mulifanya nini kuiwezesha timu pinzani zanzibar kutetea haki yake. kama utamsikiliza maalim na hotuba ya Hussein utafahamu kuwa kinacho tekelezwa ni KATIBA wala sio sera ya CCM. Na jitihada zitapitika kuhakikisha katiba ya nchi iko mbali na sera za CCM wala sera haiwi juu ya katiba. Sisi tumechagua baina ya mashetani mawili na tumeona shetani mdogo ni kuingia serikali ya GNU. Tanganyika hawa GNU na kama walikuwa nayo wakaiheshimu ndio ingekuwa chanzo cha masikikzano. Zitto haja msaliti mtu. Zitto ametimiza wajibu wake kikatiba zanzibar. Tunasonga mbele kwa maslahi ya taifa letu wala sio ubinafsi. hamna katika ACT mwenye ulafi wa madaraka.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
14,502
2,000
Siamini kama Zitto amehusika au amependelea suala la ACT kujiunga na Serikali ya Kitaifa kule Zanzibar!!

Mistake aliyofanya Zitto ni kumkaribisha Maalim Seif ndani ya ACT ambae nae alikuja na Wafuasi wake!!

Wafuasi wa Seif kutoka CUF walikuwa wengi na more influential kule Zanzibar kuliko Wafuasi wa ACT Asili!!

Matokeo yake, Zitto na ACT Asili hawana ubavu wa kufurukuta kule Zanzibar mbele ya ACT Makirikiri, kwahiyo akina Zitto watake au wasitake, lazima wataburuzwa tu na ACT Zanzibar!!

Na hii ndiyo sababu inayonifanya nisiamini ikiwa kweli Maalim Seif aliomba kujiunga CHADEMA kwa sababu kwavile CHADEMA ilishakuwa strong, asingeweza kuiburuza kama anavyoweza kuiburuza ACT kadri atakavyo!! CHADEMA tayari ilishakuwa na misingi imara ya uongozi na viongozi wake walikuwa very influential unlike ACT ambayo ilikuwa ukimtoa Zitto, hamna kinachobaki!!!

Ambacho alifanya Maalim Seif ni kama alichokuwa amefanya Mrema alipoondoka NCCR!!! Ingawaje wakati ule CUF ilikuwa na nguvu lakini ali-opt kenda TLP kwa sababu alijua angewaburuza atakavyo, na kwali, hadi kesho anaendelea kuwaburuza, fursa ambayo pale CUF asingeipata!!!
CHADEMA ina influential gani Zanzibar ?

Zanzibar wana maamuzi yao hata wangekuwa CHADEMA, hakuna wa kuwazuia kufanya yao.

Ishtoshe Mbowe hana utakatifu huo wa kukataa nafasi kama hizo labda kama umezaliwa jana.
 
LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
8,177
2,000
Wanasiasa ni kazi Yao inayowaingizia mpunga bila jasho, vijana chapeni kazi.wanasiasa hawaeleweki.Nani aliamini halima mdee na bulaya watakula njama na spika kwenda kujiapisha bila kibali Cha chama Chao? Kumuamini mwanasiasa ni kutafuta Bp isiyo kuhusu.
 
Wabongo wenyewe wanapenda vitu vizuri bila jasho.
 
LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
8,177
2,000
Mbowe si alikodi ndege na kuwakusanya wabunge wake kwenda Dodoma kutafuta maridhiano ya kisiasa? Kilichofanyika Zanzibar ndiyo maridhiano yenyewe au sio.
Kumbe maridhiano ya kisiasa ni kugawana vyeo eeh ili marupurupu na ving'ora vifanye kazi.haa
CHADEMA ina influential gani Zanzibar ?

Zanzibar wana maamuzi yao hata wangekuwa CHADEMA, hakuna wa kuwazuia kufanya yao.

Ishtoshe Mbowe hana utakatifu huo wa kukataa nafasi kama hizo labda kama umezaliwa jana.
Ni makosa Sana kuwatumia wazanzibar kuhalalisha uroho na marupurupu ya seif.Watu wameuliwa, wameteswa, wamevunjwa viuno leo tunasema wazanzibar wametaka maridhiano kwa seif kupewa ugali.Ndo maana mkitangaza maandamano yenu tunawaangaliaga tu
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
14,502
2,000
Kumbe maridhiano ya kisiasa ni kugawana vyeo eeh ili marupurupu na ving'ora vifanye kazi.haa

Ni makosa Sana kuwatumia wazanzibar kuhalalisha uroho na marupurupu ya seif.Watu wameuliwa, wameteswa, wamevunjwa viuno leo tunasema wazanzibar wametaka maridhiano kwa seif kupewa ugali.Ndo maana mkitangaza maandamano yenu tunawaangaliaga tu
Ungekuwa unajua wanasiasa lao ni moja.

Kosa kubwa wasilolitaka ni mtu kuwaamsha waliolalakama wewe.

Kwani hukusikia Kibwengo Jiwe akimwahidi Lissu cheo ?

Hivi unafikiri Lissu ni tatizo kwa CCM ?

Tatizo la Lissu linakuja pale anapopita mtaani anaamsha mazuzu yaliyolala,hapo ndio anakosana na watawala.

Sasa wewe hata usipoandamna wewe wanasiasa wanapata hasara gani .

Sana sana ni wewe kuisoma namba kikamilifu.

Tena sasa hivi wamenza kutunga sheria mbili mbili ( zinazodhibiti walalhoi na za kwao)

Sheria ya mafao,fao lakujitoa na vikokotoo na baadhi ya kodi haziwahusu wanasiasa.
 
Haahaa nimekuelewa mkuu...
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
2,308
2,000
Ni vigumu sana kuamini kwamba Zitto Kabwe ambaye wiki chache zilizopita alikuwa mshirika wa Chadema leo ni mshirika wa CCM. Nadhani maneno yangu hayatakuwa na nguvu kama hii picha. Najiuliza maswali mengi kama watanzania wengine, ila majibu sipati.

Zitto atawaambia nini watanzania kuanzia sasa? Hata watatetezi wake wanamchukuliaje?

Mwenye majibu atuambie kwamba Zitto Kabwe ni mpinzani au ni mtu wa haina gani maana kisiasa hajawahi kuaminika.
View attachment 1645023
Mnataka kuchangishana mumlipie?
 
mwalisi

JF-Expert Member
May 15, 2013
292
250
Siamini kama Zitto amehusika au amependelea suala la ACT kujiunga na Serikali ya Kitaifa kule Zanzibar!!

Mistake aliyofanya Zitto ni kumkaribisha Maalim Seif ndani ya ACT ambae nae alikuja na Wafuasi wake!!

Wafuasi wa Seif kutoka CUF walikuwa wengi na more influential kule Zanzibar kuliko Wafuasi wa ACT Asili!!

Matokeo yake, Zitto na ACT Asili hawana ubavu wa kufurukuta kule Zanzibar mbele ya ACT Makirikiri, kwahiyo akina Zitto watake au wasitake, lazima wataburuzwa tu na ACT Zanzibar!!

Na hii ndiyo sababu inayonifanya nisiamini ikiwa kweli Maalim Seif aliomba kujiunga CHADEMA kwa sababu kwavile CHADEMA ilishakuwa strong, asingeweza kuiburuza kama anavyoweza kuiburuza ACT kadri atakavyo!! CHADEMA tayari ilishakuwa na misingi imara ya uongozi na viongozi wake walikuwa very influential unlike ACT ambayo ilikuwa ukimtoa Zitto, hamna kinachobaki!!!

Ambacho alifanya Maalim Seif ni kama alichokuwa amefanya Mrema alipoondoka NCCR!!! Ingawaje wakati ule CUF ilikuwa na nguvu lakini ali-opt kenda TLP kwa sababu alijua angewaburuza atakavyo, na kwali, hadi kesho anaendelea kuwaburuza, fursa ambayo pale CUF asingeipata!!!
ACT ilianzishwaje
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom