Wanawake wa nguvu Tanzania: Amina Salim Ali

SPOILA

Senior Member
Jun 25, 2007
113
13
145.jpg

Mwakilishi wa Umoja wa Afrika katika Umoja wa Mataifa, Amina Salim Ali.

Huyu ni mwanamke mwingine wa shoka anayeiweka Bongo katika ramani ya kimataifa pamoja na kina dk. Asha-rose Migiro ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Nataifa pia Profesa Anna Tibaijuka bosi wa Shirika la kimataifa la makazi (UNHABITAT) na kadhalika
 
Mwawado

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
993
248
Kwa wale Waungwana wanaoishi Minneapolis/St.Paul na miji ya Karibu.Mama Amina Salum Ali atakuwepo huko Tarehe 04/oktoba -06/Oktoba kwa ajili ya kongamano la Uchumi /Biashara na Uwekezaji kwa Nchi za Afrika.Baadhi ya Viongozi mashuhuri Waafrika watakaohudhuria Mkutano huo ni;

- H.E Goodluck E.Jonathan (Makamu wa Rais wa Nigeria)
- H.E Welile Nhlapo (Balozi wa Afrika kusini/US)
- H.E Kwame Bawuah Edusei (Balozi wa Ghana/US)

Ili kupata maandalizi na ratiba nzima ya shughuli hiyo ingia hapa www.panafricantradesummit.org au wasiliana na Henry Ongeri Tel: 952-542-6438.
 
Freddie Matuja

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
1,390
2,649
Amina Salum Ali ameingia kwenye historia kama mwanamke wa kwanza Zanzibar kuingia katika 3bora ya kinyang'anyiro cha Urais kupitia CCM 2015.

Wengine walioingia kwenye 3bora JPM ambae alishinda uteuzi wa kupeperusha bendera na Dr. Asha Rose Migiro ambae ni balozi wa Tanzania nchini uingereza kwa sasa.

Amina Salum Ali, historia itaendelea kumwandika vema.
 
AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,484
2,507
Sasa hivi yupo wapi? Maana sijamsikia katika ufalme wa hussen Mwinyi
Sasa hivi ni mchambua mchele huko znz. Baada ya serikali kunitumia na kuamua kumtupa ..

Inasikitisha Sana ..mtu unapata nafasi ya ubalozi wa kudumu..Yani unatumika mpaka kufa kwako..unaiacha hio nafasi unakuja kwenye siasa uchwara za tz
 
Freddie Matuja

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
1,390
2,649
Sasa hivi ni mchambua mchele huko znz. Baada ya serikali kunitumia na kuamua kumtupa ..

Inasikitisha Sana ..mtu unapata nafasi ya ubalozi wa kudumu..Yani unatumika mpaka kufa kwako..unaiacha hio nafasi unakuja kwenye siasa uchwara za tz
ZanziNews : Mjue mama Amina Salum Ali, Mgombea pekee kutoka Zanzibar kwenye tano bora

Kwa mujibu wa wasifu wake kaanza kufanya kazi serikalini kama Naibu Waziri wa Fedha 1985 alikuwa mbunge na naibu Waziri fedha wa enzi za mzee Ruksa akiwa Rais wa nchi;
1986 akawa waziri wa nchi Ofisi ya Rais akijihusisha na mambo ya nje;

Nyakati Amina akiwa Waziri 1985, Rais wa Zanzibar wa sasa Dr. Hussein Mwinyi alikuwa A-level Tambaza na baadae akaenda Turkey kufanya shahada ya Udaktari MD.

2020 nadhani ni muda wa kumpumzika na wengine wenye nishati zaidi wafanye kazi kuijenga Tanzania au Zanzibar kwenye majukumu waliyopangiwa.
 
Papy ndombe

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
3,758
4,489
Sasa hivi ni mchambua mchele huko znz. Baada ya serikali kunitumia na kuamua kumtupa ..

Inasikitisha Sana ..mtu unapata nafasi ya ubalozi wa kudumu..Yani unatumika mpaka kufa kwako..unaiacha hio nafasi unakuja kwenye siasa uchwara za tz
Kuendekeza njaa
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom