Safu mpya BAWACHA mbioni kufahamika

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Chadema ipo mbioni kuziba nafasi za viongozi wa jumhia mbalimbali ikiwemo ya wanawake ambazo zipo wazi baada ya viongozi kuvuliwa uanachama. Mchakato wa kupata watu wa kuziba nafasi hizo unaendelea huku baadhi ya wanavyuo wakielezwa kupewa nafasi kwa lengo lakutengeza viongozi wapya. Timu ya makachero imeshaingia kazini kusaka watu wenye ueledi na wasio na doa la rushwa Wala tuhuma za jinai.....tutegemee akina Halima wapya kuzaliwa soon. Mapambano yanaendelea
 
Yes, maisha ni kusonga mbele hakuna kurudi nyuma, wale jamaa zangu hata kama wakirudishwa kwa msamaha wawe wapenzi wa Chadema tu kama mimi.
 
Ni hatari kutoa watu chuop na kuwapa madaraka wakati mikikimiki ya siasa haswa awamu hii ya tano hawajaipata. Wapo wamama wazuri tuu waiopitia suuba za awamu hii wanafaa na sii rahisi kuwanunua. Hao wa chuo bado sana rahisi kununuika.
 
Wapo wengi tuu kina Devotha Minja, Suzan Kiwanga, Catherine Ruge, Upendo Peneza na wengi wengi tuu waioiva
Mbona majina yale yale! Huko hakuna "grooming" kwa vijana!? Halafu, mnasema mnawasaka! Kwa hiyo hamna kanzidata ya wanachama wenu na sifa zao! Mnapuyanga tu! Basi kweli kwisha habari yenu.
 
Natarajia kumuona Halima James Mdee na genge lake kwenye nafasi za juu kabsa
 
Rushwa ya Ngono hapa ni lazima ichunguzwe,,,Mbowe hajawai kutoa nafasi bure...kamwe.
 
Mbona majina yale yale! Huko hakuna "grooming" kwa vijana!? Halafu, mnasema mnawasaka! Kwa hiyo hamna kanzidata ya wanachama wenu na sifa zao! Mnapuyanga tu! Basi kweli kwisha habari yenu.
Kwani hao walitoka wapi
 
Back
Top Bottom