Air Tanzania 2017 na 2018 hasara bilioni 25 nadhani ni wakati sahihi wa kufikiri namna sahihi ya kutengeneza faida

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
ENwMpxDXUAAWgi-.jpg
FB_IMG_1578664848768.jpg
ENwMpw8XUAA630W.jpg
 
Huyu ZZK ni kibaraka tu, anapambana kumkatisha tamaa Rais wetu JPM..

ATCL inapiga kazi balaa, inajaa kila siku na imeongeza route za kutosha na Watanzania sasa wanapanda ndege kwa wingi..Zinaleta watalii wakutosha, Juzi tu zimepata mkataba wakuleta watalii kutoka Israeli.. Twiga yuko angani hawa CDM na ACT hawapendi tu maendeleo ya Taifa letu..
 
number haidanganyi ewe mtu wa lumumba ni jambo la muda wewe bembeleza mkate wako mkono uende kinywani. kama ni kweli ukweli utajulikana kama ni uwongo nao utajulukana tu sina haja ya kusifia mtu yeyete awamu hii.
 
Shirika alijafilisika isipokuwa uwiano wa mapato na uwezo wa kulipa madeni ya muda mfupi inatajwa kama moja ya changamoto waliyonayo (liquidity issues).

Chanzo cha hasara ni gharama za uende shani ningekuwa serikari ningeanza kuangalia purchases zao hizi taasisi zao viongozi wake wana michezo ya kushirikiana na suppliers ku over charge bidhaa/huduma wanazonunua na kuhujumu mapato.

All in all ni biashara ni mbaya the cost of running the business and expenses seem to be very high, I don’t know if that is the industry norm.

Waweke financial statement yote tuone uozo uliomo humo ndani, I cant say I am suprised ukimsikia tu yule mkurugenzi unaona hapo hakuna biashara.
 
Back
Top Bottom