Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ikumbukwe kuwa RC Chalamila na DC Kihongosi ni wazaliwa wa Iringa na makada waliotukuka wa CCM. Awali RC Chalamila alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa kabla ya uteuzi na DC Kihongosi alikuwa...
5 Reactions
55 Replies
6K Views
Hii ndio awamu ya sasa nchini Tanzania ambapo kila kiongozi anayo mamlaka ya Uteuzi kwenye eneo lake, kama ambavyo Mh Diwani amefanya. Bado haijafahamika kama wateule hawa wataapishwa lini ili...
4 Reactions
53 Replies
7K Views
Ingawa ni jambo jema kwa serikali kutoa elimu bure ili kusaidia watoto watokao kaya maskini kupata elimu ya msingi lakini huu mpango unafaa kuangaliwa upya kwa sababu utekelezaji wake una hasara...
14 Reactions
37 Replies
4K Views
Ninasikitika sana ninapoona watu hawalitakii mema Taifa lao. Hivi hamjui kuwa tunaelekea pazuri? Kwa nini ubeze mradi kama SGR, JNHP au barabara na miundo mbinu inayoimarishwa? Jamani naomba...
-1 Reactions
19 Replies
1K Views
Sijapendezwa na kelele za malalamiko ya raia kuhusu kuonewa na vyombo vya serikali. - Takribani mwezi mmoja na nusu uliopita kumekuwa na sauti kali sana ya vilio vya raia kulalamika kuhusu TRA...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Salaam,nimeskia katika Radio moja ikisoma Magazeti kuwa Tahariri inamlaani Dr(mb)Hamis Kigwangala kugomesha madaktari wenzake, Napenda mnisaidie kujua ni sawa kwake kama Mbunge kfanya hivyo?au...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewataka wananchi wavumilie anapokwenda kuchukua maamuzi magumu ili kukomesha ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma Zanzibar Amesema hayo eleza hayo alipokuwa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
China imesema itaangalia namna ya kushirikiana na Tanzania katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo reli ya kati kwa kiwango cha kisasa (standard gauge railway) na bwawa la...
27 Reactions
182 Replies
21K Views
Rais Magufuli nilikusema kuhusu miradi inayoeendelea chato kupitia uzi huu Miradi inayoendelea chato inahitaji mjadala wa kitaifa ila sikujibiwa kilichofuata ni mimi kutukanwa na wafuasi wako...
22 Reactions
57 Replies
5K Views
HALI YA SASA YA SHULE YA ST. JUDE UTANGULIZII 1. Shule ya St Jude inatoa asilimia 100 ya elimu bure na bora kwa Zaidi ya watoto 2000 kuanzia shule ya msingi, sekondari na elimu ya juu kwa...
45 Reactions
414 Replies
45K Views
Wakati Tanzania tukiwa mbioni kupeleka balozi wetu Israel, Afrika Kusini imeamua kumwondoa balozi wake Israel kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na Israel dhidi ya...
21 Reactions
234 Replies
20K Views
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na WanaCCM wa Mkoa wa Kusini Pemba katika ziara yake ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kila nikikumbuka kauli hii ya aliyekuwa mbunge wa Nyassa John Komba RIP aliyoitoa bungeni kwamba CCM ni kama Kokoro huwa inanitafakarisha sana. Sasa kama CCM ni kokoro chama kikuu cha upinzani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), umeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 30 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 84 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kujenga...
5 Reactions
121 Replies
13K Views
Mhe Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, mtoto wako kaunyea mkono "msamehe". Mkurugenzi kafanya mengi Kajenga Zahanati, Kadhibiti mianya ya rushwa, Kajenga shule za msingi Kaongeza mapato ya...
4 Reactions
65 Replies
10K Views
Inauma, inauma Sana! Umeanza kuipenda CCM tangu utoto, ukashiriki chipukizi kisha ukaingia UVCCM. Umesaka mpk vyeti vya elimu ya juu ili uwe na sifa zote za kupewa nafasi ndani ya chama...
21 Reactions
64 Replies
8K Views
Tukio liko mubashara TBC Karibu. Updates; Jumla ya wabunge wanne wa ACT wazalendo wanakula kiapo cha uaminifu mbele ya Spika Job Ndugai. Walioapa 1. Khalifa Mohamed Issa Mbunge wa jimbo la...
10 Reactions
133 Replies
14K Views
1. Amempongeza kwa ushindi. 2. Amempongeza kwa kukabiliana na Corona 3. Amempongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa miaka 5 iliyopita 4. Amesema anaiona Tanzania kuwa nchi itakayo ongoza kwa uchumi...
9 Reactions
100 Replies
12K Views
Serikali imeanzisha kampeni kuhamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) iliyoboreshwa ili kufikia zaidi ya asilimia 20 ifikapo mwishoni mwa mwaka 2021. Kwa mujibu wa Mkurugenzi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo Waziri wa TAMISEMI ametangaza matokeo ya vijana waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Kwanza, ambapo zaidi ya wanafunzi 74,000 wamekosa nafasi kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa. Jambo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…