Ali Mwinyi akizungumza na WanaCCM wa Mkoa wa Kusini Pemba katika ziara yake ya kutoa shukrani kufuatia ushindi wa CCM

snow snow

Senior Member
Sep 12, 2014
118
88
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na WanaCCM wa Mkoa wa Kusini Pemba katika ziara yake ya kutoa shukrani kufuatia ushindi wa CCM wa uchaguzi mkuu uliofanyika octoba 28,mwaka huu.
 
Ushindi upi? Labda awapongeze kwa kufanya kikamilifu jaribio la ujambazi na wizi wa kura
 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na WanaCCM wa Mkoa wa Kusini Pemba katika ziara yake ya kutoa shukrani kufuatia ushindi wa CCM wa uchaguzi mkuu uliofanyika octoba 28,mwaka huu.
Ni jambo jema!
 
snow snow hivi we kijana utaacha uwongo wako lini? Mbona hatumuoni Mh. Rais akihutubia na kushukuru?
 
Back
Top Bottom