Sijashangaa RC Chalamila na DC Kihongosi kuwachapa bakora wananchi, Wahehe hawatakagi ujinga!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,826
141,735
Ikumbukwe kuwa RC Chalamila na DC Kihongosi ni wazaliwa wa Iringa na makada waliotukuka wa CCM.

Awali RC Chalamila alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa kabla ya uteuzi na DC Kihongosi alikuwa mwenyekiti wa UVCCM.

Kwa kawaida siasa za Iringa bila bakora, utemi, mikwara na vitisho huwa hazinogi kwa sababu Wanyalu siyo watu wa maneno mengi wao wako kivitendo zaidi. Hivyo sikushangazwa na Chalamila wala Kihongosi kuwachapa bakora hao waliochapwa.

Kwa kifupi, Wahehe hawatakagi Ujinga.

RC Chalamila na DC Kihongosi endeleeni kuchapa kazi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Siku wakikushika tako pia hautashangaa.
Utawapigia Makofi
 
Ikumbukwe kuwa RC Chalamila na DC Kihongosi ni wazaliwa wa Iringa na makada waliotukuka wa CCM.

Awali RC Chalamila alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa kabla ya uteuzi na DC Kihongosi alikuwa mwenyekiti wa UVCCM.

Kwa kawaida siasa za Iringa bila bakora, utemi, mikwara na vitisho huwa hazinogi kwa sababu Wanyalu siyo watu wa maneno mengi wao wako kivitendo zaidi. Hivyo sikushangazwa na Chalamila wala Kihongosi kuwachapa bakora hao waliochapwa.

Kwa kifupi, Wahehe hawatakagi Ujinga.

RC Chalamila na DC Kihongosi endeleeni kuchapa kazi.

Maendeleo hayana vyama!
Ni kweli wahehe hawatakagi ujinga lakini sidhani kama Chalamila ana akili za kutosha.
 
Back
Top Bottom