Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

kanga

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,025
493
Nimejaribu kufuatilia uwezo na uelewa na mwenzetu huyu katika arena za kimataifa ni zero na uwenda akafanya vituko kama vya ndugu Mulugo aliyekuwa naibu waziri wa elimu kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe.

Hiyo ilitokana na kushindwa ngeli na kubaki kukariri tu.Upungufu huu wa exposure kimataifa na lugha ni tatizo na ndio maana watu wasio na uwezo kama akina Makamba wanajitia kimbelembele kama wapiga zomari kwa Magufuli huku wakinyendea nafasi kama washuri wake akibahatika kuwa rais kama shetani atabariki.Mungu yupo upande wa Legwanani the Great.

Hivi kama alikuwa mwalimu alifundisahaje huko? Natafuta wanafunzi wake angalau nipate expreience ya huyu ndugu yetu Magufuli.

==================

"I am a politicians". "I dont want to take this time as saying so many political...."

"Simple and clear is only congregations to you.."

Kwa kuwa alisoma katika mfumo wa lugha ya kiingereza na Katiba ya nchi inahitaji awe na kiwango sahihi cha elimu, huyu Mgombea Urais anayo hiyo elimu?

Kwa harufu ya degree za magumashi, ni dhahri alipishana na wahadhari mlangoni. Kwa mtino huu bado anasifa ya kugombea hata ubunge?

Last edited by a moderator:
Ha ha haa
Nimejaribu kufuatilia uwezo na uelewa na mwenzetu huyu katika arena za kimataifa ni zero na uwenda akafanya vituko kama vya ndugu Mulugo aliyekuwa naibu waziri wa elimu kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe. Hiyo ilitokana na kushindwa ngeli na kubaki kukariri tu.Upungufu huu wa exposure kimatiafa na lugha ni tatizo na dnio maana watu wasio na uwezo kama akina Makamba wanajitia kimbelembele kama wapiga zomari kwa makufuli huku wakinyendea nafsi kama washuri wake akibahatika kuwa raisi kama shetani atabariki.Mungu yupo upande wa Legwanani the Great.Hivi kama alikuwa mwalimu alifundisahaje huko natafuta wanafunzi wake angalau nipate expreience ya huyu ndg yetu mapadlock
 
Hiv rais wa china anajua hata english kweli?... mi nadhqn hiyo siyo ushu hasa kwa wazalendo...labda kuwe na sababu nyingine.....hasa yenye mashiko
 
IQ gani anashindwa kujua vitu vidogo km hali ya kisiasa mashaeiki ya kati. Hajui tofauti kati ya sadam na gadafi iraq na kuwait
 
Nimejaribu kufuatilia uwezo na uelewa na mwenzetu huyu katika arena za kimataifa ni zero na uwenda akafanya vituko kama vya ndugu Mulugo aliyekuwa naibu waziri wa elimu kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe. Hiyo ilitokana na kushindwa ngeli na kubaki kukariri tu.Upungufu huu wa exposure kimatiafa na lugha ni tatizo na dnio maana watu wasio na uwezo kama akina Makamba wanajitia kimbelembele kama wapiga zomari kwa makufuli huku wakinyendea nafsi kama washuri wake akibahatika kuwa raisi kama shetani atabariki.Mungu yupo upande wa Legwanani the Great.Hivi kama alikuwa mwalimu alifundisahaje huko natafuta wanafunzi wake angalau nipate expreience ya huyu ndg yetu mapadlock

Lugha gani ya kimataifa unayoizungumzia? Hoja nyingine pelekeni Facebook jamani. Sasa huyo Edo hata kiswahili tu kinamchemsha, iweje nje ya nchi!!? AU mnataka liwekwe shindano la kuhutubia ili tupime uwezo? What a shame. Go Mtikila go, fungua kesi fasta?
 
Hehehe mkuu unamlinganisha akili MaPadlock na EL, acha basi utani, EL hajakaribia IQ ya MaPadlock hata kidogo..

Unadhani ukiwa na PhD ndio una IQ kubwa? Vyeti na uwezo wa mtu kufikiri ni mambo mawili tofauti
 
Nimejaribu kufuatilia uwezo na uelewa na mwenzetu huyu katika arena za kimataifa ni zero na uwenda akafanya vituko kama vya ndugu Mulugo aliyekuwa naibu waziri wa elimu kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe. Hiyo ilitokana na kushindwa ngeli na kubaki kukariri tu.Upungufu huu wa exposure kimatiafa na lugha ni tatizo na dnio maana watu wasio na uwezo kama akina Makamba wanajitia kimbelembele kama wapiga zomari kwa makufuli huku wakinyendea nafsi kama washuri wake akibahatika kuwa raisi kama shetani atabariki.Mungu yupo upande wa Legwanani the Great.Hivi kama alikuwa mwalimu alifundisahaje huko natafuta wanafunzi wake angalau nipate expreience ya huyu ndg yetu mapadlock

Jamaa hata kutamka "the" inaweza kuwa kazi kubwa sana.
 
Magufuli ana athari ya lugha mama hivyo kata kiingereza chake kimeathiriwa.
 
Hauhitaji malugha kuwa rais unajiandaa kwenda kuomba nchi za watu ee Gaddafi alikisema kiarabu umoja wa mataifa
 
Naona Kilaza Lukuvi anamzunguka zunguka awe anapewa awakilisha mikutano ya kimataifa.

Mwambieni Lowassa ndiye RAIS
 
Wewe unaongelea lugha ya kimataifa. Lowassa hawezi kabisa hata kuongea lugha ya taifa.

Kila kukicha Lowassa anadhoofu kwa haraka sana kiafya na kifikra
 
Huko Tanga alisema: " Saddam alikuwa Rais wa Libya .... no samahani Saddam alikuwa Rais wa Kuwait na Gaddafi alikuwa Rais wa Iran"
Huyo ndiye Magufuli 4 Change.
 
Hiv rais wa china anajua hata english kweli?... mi nadhqn hiyo siyo ushu hasa kwa wazalendo...labda kuwe na sababu nyingine.....hasa yenye mashiko

Hajui english lakini anajua Gaddafi alikuwa rais wa Libya sio huyu mapadlock anaejua kilometa za barabara na sato walioko ziwa Victoria tu.
 
Hakika sasa nnaamini pasi na shaka yoyote ukawa wengi ni kama alivyosema Mkapa.

Hivi mtu anaona kujuwa lugha ya nje ndiyo kuwa na akili.

Hawa ndiyo wale wakiona mtoto wa Kingereza wa miaka 3 anaongea Kingereza wanashangaa na kumuona wa ajabu.

Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda, hatutofika kesho wala keshokutwa.
 
Kikwete anajifanya ana akili sana,anahakikisha Tanzania 2015 haipati rais bora ili utawala wake uonekane ulikuwa bora zaidi.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom