Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

%KUBWA NILIAMINI KUWA MH: RAIS NI MSEMA KWELI NA MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU, ILA HILI LA LEO LA MH: RAIS KUTAKA REGULATION ZIBADILISHWE ILI, ILI WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA WAKARA WA MADINI...
13 Reactions
33 Replies
4K Views
Mbowe amesema katika saa 72 zijazo Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania na Mimi nitakuwa Waziri mkuu Chanzo: Mwananchi online ==== Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani...
65 Reactions
310 Replies
29K Views
Walioweka mfumo wa Mihimili 3 yaani Serikali, Mahakama na Bunge hawakuwa wajinga, walijua wanafanya nini na walikuwa na nguvu za Umungu lkn bado waliona umuhimu wa kuwa na Mahakama na Sheria...
27 Reactions
91 Replies
7K Views
Kwa kawaida huwa tunasema tunayo mihimili mitatu inayojitegemea yaani Serikali, Bunge na Mahakama. Ni ukweli pia kuwa mkuu wa serikali ni Rais, mkuu wa bunge ni Spika na mkuu wa mahakama ni Jaji...
10 Reactions
79 Replies
6K Views
JE KATI YA QNet NA SERIKALI NANI AMEMTAPELI MWANANCHI? Habari kubwa Tanzania kwenye ulimwengu wa biashara ya mtandao Juma hili ni QNet! Wengi wanaifananisha QNet na DECI hii ni makosa sana! QNet...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Wakati naandika makala ambayo itatoka kwenye gazeti moja la leo kuhusu Magufuli na kwanini hana chaguo jingine lolote isipokuwa kujiuzulu nilijadiliana na ndugu yangu mmoja na tukajikuta...
50 Reactions
314 Replies
35K Views
Natanguliza kutoa onyo kwa Watanzania kuacha wivu hasa kwa wakazi wa mkoa wa Geita linapokuja suala la maendeleo. DPP ametumia mamlaka aliyonayo kisheria na kuteleza hukumu ya utaifishaji wa bil...
6 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari wadau! Juzi watu walikuwa wanapiga kelele kitendo cha mkuu wa wilaya Kenani Kihongosi kutandika viboko wale wahuni walioiba madawati ya shule. Binafsi nikawa na cheka tu maana...
5 Reactions
43 Replies
9K Views
Ndugu waandishi wa habari ninawashukuru kwa ujio wenu na ni matarajio yetu kuwa mtawahabarisha wananchi yale yote tutakayoyaeleza. Ndugu waandishi wa habari, kama mnavyofahamu nchi yetu ilifanya...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Masoud Ali Mohammed amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Mjini pamoja na Mkurugenzi wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wilfred Lwakatale ashauri tubadili mfumo wa kupata wawakilishi, kuna mifumo mingi ya kutumia tujifunze kutoka nchi zingine amesema kuna mfumo ambao vyama vinapata wawakilishi kutokana na idadi ya...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
An open letter to His Excellency, President John P. Magufuli, President of Tanzania WATER, WATER EVERYWHERE - BUT NO WATER FOR THE RESIDENTS OF TARIME, TANZANIA? In our Holy Bible: Ecclesiastes...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jioni ya leo, TRA imevamia na kufunga ofisi moja ambayo ilikuwa bado haijaanza kufanya kazi wakidai kodi. Hii ni kampuni ya Waturuki inayohusika na kutengeneza tiles za majengo. Mashine zililetwa...
39 Reactions
247 Replies
25K Views
Nimemsikiliza Waziri Mpango wakati akiongea na maafisa wa TRA nchini kuhusu kukusanya kodi na kufikia lengo la tr.2. Nimependa na kuafiki kwa vile miradi mingi itakamilika kwa fedha ya ndani...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Nimemsikiliza mbunge wa Geita mjini ndugu Costantine Kanyasu kwa kweli anashangaza sana. Nini kimemfanya akurupuke kuanza kutoa maoni kama haya kabla ya uchunguzi? Nilimsikiliza waziri Jaffo...
15 Reactions
235 Replies
20K Views
Katika kutungua eneo la kanda ya ziwa especially mkoa wa kagera na Geita naunga mkono juhudi za serikali kutengeneza maeneo yamkakati na yakudumu katika eneo lile. Ujenzi wa uwanja, mbuga ya...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Naibu Waziri, Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Dr. Hamisi Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza hospitali ya Amana mara baada ya kuapishwa..
2 Reactions
200 Replies
31K Views
Kwa maoni yangu hapa kuna swali fikirishi, tuna miaka 5 mbele yetu ambayo tunaelekea kumaliza siku 60 toka tumalize uchaguzi. Tulipoanza miaka m5 ya awamu hii tulikuwa na tabia ya kuhesabu siku...
0 Reactions
1 Replies
754 Views
Nimetafakari kwa kina sana, ile Chadema ya Lowasa na hii ya Lissu nikaona kwamba practically Chadema imeshajifia toka uchaguzi uishe, migogoro imekuwa mikubwa sana baina ya viongozi wakubwa kabisa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…