Mtanzania amka CCM ndio wezi wa rasilimali zetu na mafisadi papa

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
2,476
2,651
Wasalaam, napenda kuanza kwa kunukuu kauli ya mheshimiwa sana amekuwa akitamka Mara kwa Mara kwamba hii nchi tumeibiwa na kuchezewa sana. Mh amesahau ama amevaa miwani ya mbao makusudi ili asione mbele wala nyuma ya kuwa tangu tupate Uhuru tumeongozwa na ccm na kwa miongo kadha ccm imekuwa wakala mtiifu kwa kugawa utajiri wa Tanzania kwa makampuni ya kibeberu.

Napenda tujiulize ina maana mh sana kweli hajui kuwa umasikini wa watanzania umetengezwa makusudi na wana ccm ili kututawala milele? Kweli hajui mafisadi anaulalamikia kila Leo wapo ccm na ndio waliompa yeye uheshimiwa sana? Anadiriki VP kuwasimanga mabosi Wake bila kutoa solution nini kifanyike. Tujiulize km ccm sio mafisadi papa wameshindwa nini kuwakamata wanaoitwa mafisadi na kuwapeleka mahakama ya mafisadi kisha kumwagiza hakimu awafunge hao mafisadi?

Mwisho watanzania tuache ushabiki wa kisiasa tufumbue macho tuamke usingizini tutambue kuwa mafisadi na wezi wote wakubwa wa Tanzania ni zao la ccm na ndio maana wanalindana hata milele. Naamini adui mkubwa wa Tanzania ni ccm siku ccm akifa hakika taifa hili litasonga mbele, tusitegemee ufisadi na wizi utaondolewa na maccm maana hawa wanaoneana aibu na ndio maana hadi Leo mahakama ya mafisadi imekosa wateja zimebaki propaganda tupu.
 
Mlituambia nini kuhusu yule mgombea urais wenu? Miaka 8 mnapiga watu sound, halafu bila haya unataka ku-rewind tena! Tavuta wachovu wenzako.
 
Magufuli alikuwa ni miongoni mwa mawaziri waandamizi wa serikali zilizopita aliyeshiriki kila hatua katika kufisadi nchi hii kwa kuingia mikataba ya wizi na dhuluma kwa wananchi wa nchi hii, wala hakuwahi kuongea kama tunaibiwa/tunaiba

Magufuli wakati akiwa waziri aliwahi kuuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupa na nyingine akazigawa kwa ndg zake akiwamo mwanafumzi Sundi ambaye hakuwa mtumishi wa umma kwa wakati huo, hivyo hakuwa na sifa za kuwa miongoni mwa wanufaika wa nyumba hizo

Magufuli kipindi yuko waziri aliwahi kununua kivuko kibovu cha Bagamoyo kwa thamani ya bilioni 8 ilihali thamani yake halisi ikiwa bilioni 4. Baada ya kuingia madarakani akapiga marufuku kukijadili kuvuko kile hadi akaamua kukipeleka jeshini ili wakosoaji wake wakose haki ya kukizungumzia maana vifaa vya jeshi unaambiwa siri

Magufuli wakati akiwa Waziri katika historia yake hajawahi kuwa adui wa rushwa ila kashiriki sana rushwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ndo umeamka? Kama umezaliwa jana tu ndo sio zao la CCm. Hata ww ni mwizi pia, kadri unavyokwepa kulipa ushiru wa aina yoyote ujue nawe ndio wale wale. Tusilaukiane, nchi yetu wote kila mtu atakula pale alipo. Najua ni njaa ndo inakupa nguvu ya kuandika yote haya. Ukishika uongozi nawe utakula. Hapa hakuna upinzani wala Ccm, watz wote ni wezi kwa njia moja au nyingine.
 
Kweli umelishwa matango pori mkuu, bado unaitetea ccm? Nimezungumzia wizi wa rasilimali zetu na mfumo was ufisadi ccm ndio wakala
 
Wasalaam, napenda kuanza kwa kunukuu kauli ya mheshimiwa sana amekuwa akitamka Mara kwa Mara kwamba hii nchi tumeibiwa na kuchezewa sana. Mh amesahau ama amevaa miwani ya mbao makusudi ili asione mbele wala nyuma ya kuwa tangu tupate Uhuru tumeongozwa na ccm na kwa miongo kadha ccm imekuwa wakala mtiifu kwa kugawa utajiri wa Tanzania kwa makampuni ya kibeberu.

Napenda tujiulize ina maana mh sana kweli hajui kuwa umasikini wa watanzania umetengezwa makusudi na wana ccm ili kututawala milele? Kweli hajui mafisadi anaulalamikia kila Leo wapo ccm na ndio waliompa yeye uheshimiwa sana? Anadiriki VP kuwasimanga mabosi Wake bila kutoa solution nini kifanyike. Tujiulize km ccm sio mafisadi papa wameshindwa nini kuwakamata wanaoitwa mafisadi na kuwapeleka mahakama ya mafisadi kisha kumwagiza hakimu awafunge hao mafisadi?

Mwisho watanzania tuache ushabiki wa kisiasa tufumbue macho tuamke usingizini tutambue kuwa mafisadi na wezi wote wakubwa wa Tanzania ni zao la ccm na ndio maana wanalindana hata milele. Naamini adui mkubwa wa Tanzania ni ccm siku ccm akifa hakika taifa hili litasonga mbele, tusitegemee ufisadi na wizi utaondolewa na maccm maana hawa wanaoneana aibu na ndio maana hadi Leo mahakama ya mafisadi imekosa wateja zimebaki propaganda tupu.
Imefika wakati kila mmoja apambane na yake. Hata akina Mbowe watachoka kupambana kwa ajili ya watu waliokaa sana kimya.
 
Adui wa TZ siyo CCM bali Watanzania wenyewe. Hii nikiwa na maana wana CCM, Wapinzani, na wasio na vyama. Huwezi ukaniambia TZ yenye watu karibia milioni 50, wana CCM karibu millioni 10, eti wezi ni hao millioni 10. Kwanza mfano mdogo tu wa utafunaji wa ruzuku katika vyama vya siasa. Je, ni CCM tu inaiba hizo pesa. Mara ngapi imethibitishwa na wizi wa kijanja wa viuongozi wa vyama vya upinzani kuhusu ruzuku. Je, huo hatuuoni kama wizi. Tofauti ya CCM na upinzani ni kuwa CCM iko madarakani na ni rahisi kunyoishewa kidfole. Mimi katika maisha yabgu hapa duniani sijawahi kuona mahali popote duniani ambapo wizi na ufujaji wa mali za umma upo chama fulani tu. Ukweli ni kuwa haya tunayoyalalamikia kuhusu CCM, kibao kikigeuka tutawalalamikia upinzani, maana mwenye serkali ndiyo anategemewa kuubeba huu mzigo. Sasa ni zamu na haki CCM kulaumiwa, lakini kesho mambo yakibadilika itakuwa zamu ya CHADEMA, ACT, NCCR au chama chochote kitakachokuwa kwenye madaraka.
 
Back
Top Bottom