Profesa Lipumba: Liwale hakupo shwari, Polisi wameua watu wawili sababu ule uchaguzi haukuwa huru na haki

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
"Polisi wameua watu wawili Liwale kwa sababu ya uchaguzi haukuwa huru na haki sasa CCM kama hamtaki vyama vyingi mtuambie".-Prof. Lipumba.

#UzinduziWaKongamanoLaKudaiTumeHuruNaKatibaMpya

#OfisiKuuYaChamaBuguruni.
 
"Polisi wameua watu wawili liwale kwa sababu ya uchaguzi haukuwa huru na haki sasa CCM kama hamtaki vyama vyingi mtuambie".-Prof. Lipumba.

#UzinduziWaKongamanoLaKudaiTumeHuruNaKatibaMpya

#OfisiKuuYaChamaBuguruni.
Hivi bado huyu prof Pumba bado ana lal ofisini kwa ulinzi wa Ccm?
 
Dpmw-LYXUAAsrws.jpg
 
Kwa hili nawaunga mkono CUF.... Katiba mpya na Tume Huru inapaswa kuwa ajenda ya kudumu ya upinzani otherwise tutakua wasindikizaji kila chaguzi.

Uko sahihi mkuu, utashangaa CUF wanahimiza katiba mpya, lakini moto ukiwaka vizuri wa kudai hiyo katiba wanaitwa na watawala wanatumika kufubaza hilo joto. Wapambanie lakini sio wa kuwaamini kabisa katika hili. Nasubiri lile kongamano la askofu Mwamakula mwezi januari, hilo wangalau litabeba imani zetu.
 
Back
Top Bottom