Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kauli ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, kuzitaka Halmashauri zilizonunua mashangingi ya bei mbaya mkoani Mwanza, kujieleza, imeendelea kuungwa mkono. Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya...
6 Reactions
73 Replies
11K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika amewaonya Watanzania waliozoea kupata ajira kwa mfumo wa kuwaandikia viongozi vikaratasi kuachana na mfumo...
4 Reactions
53 Replies
7K Views
Viongozi wa Afrika Kuna sehemu wanakwama katika utendaji wa kazi zao. Inawezekana si wakweli na wazalendo au Kama ni wakweli na wazalendo Basi tafsiri ya uzalendo inapaswa kutafsiriwa upya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TAKUKURU wawafikisha mahakamani Seth Na Rugemalila kwa uhujumi uchumi. ======= figganigga said=>TAKUKURU imesema inawashikilia Harbinder Singh Sethi na James Rugemalila kwa makosa ya uhujumu...
42 Reactions
829 Replies
122K Views
Tanzania 'using Twitter's copyright policy to silence activists' Twitter accounts of several activists were targeted by the copyright attack Twitter's policy that deals with the infringement of...
10 Reactions
88 Replies
10K Views
Serikali imesema sheria inaruhusu hati ya kumiliki viwanja kuandikwa majina ya familia ikiwemo mume, mke pamoja na watoto hatua ambayo itasaidia kuondoa migogoro ya mirathi. Akizungumza leo...
4 Reactions
134 Replies
17K Views
Wakati Nyerere akiwa hai alikuwa hapendi jina lake kutumika katika landmarks mbalimbali. Uwanja wa Nelson Mandela kule Sumbawanga ulikuwa umejengwa kama uwanja wa Nyerere lakini alipokwenda...
8 Reactions
76 Replies
10K Views
Kama wewe ni mtumiaji na msafiri utakubaliana na mimi kwamba wavunjaji wakubwa wa Sheria za barabarani ni Serikali, magari ya ST hayafwati Sheria zozote, hayasimami kwenye taa, yanatanua, huko...
7 Reactions
56 Replies
6K Views
Tunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi. Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Juzi nikiwa Dodoma nilimtembelea rafiki yangu ambaye ni afisa mwandamizi serikalini. Akanionesha muswada uitwao FINEST VALOR. Kwanza nikataka kumjua mwandishi. Nikaona ni Novatus Igosha. Japo...
17 Reactions
34 Replies
6K Views
TUJIKUMBUSHE.. "WAALIMU WENZANGU, HIVI MNAWAFUNDISHA NINI HAWA VIJANA?!" MWAKA 1995. KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU, CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) Moja ya maeneo ambayo Prof. Lipumba alifika...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Majuzi umetoa kauli tata kuhusu umiliki wa ardhi katika ndoa, tumekueleza kuwa uwe makini na kaulikauli hizi. Kisha naona unatoa kauli nyingine kutishiatishia wananchi kutwaa ardhi zao. Ni hivi...
7 Reactions
24 Replies
4K Views
Historia inazungumza wazi kuwa baada ya Uhuru wa Tanzania nchi haikuwa na wasomi wengi hivyo serikali iliwajibika kuandaa nguvu kazi itakayoweza kulihudumia Taifa hili. Hata hivyo, wasomi...
2 Reactions
7 Replies
714 Views
Vijana ni kundi kubwa, muhimu na linaloongoza kwa uwingi wa idadi kubwa ya watu hapa Tanzania na kwasasa inaarifiwa zaidi ya asilimia 65 ya Watanzania wote ni vijana. Vijana ni kundi kubwa lenye...
7 Reactions
167 Replies
11K Views
Jana Spika Job Ndugai kawadharau tena eti jiajirini wakati yeye ameajiriwa tena mpaka aliwahi kumpiga fimbo mpinzani wake ili aajiriwe. maana yake hata yeye anaogopa kujiajiri. Poleni kwa sababu...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Ni mwaka sasa tangu marehemu Omela Wangwe auwawe kwa kupigwa na Mwanajeshi ndani ya ofisi ya kata ya Kahama wilayani Ilemela. Marehemu hakukamatwa kwenye tukio lolote, bali alipigiwa simu ili aje...
11 Reactions
50 Replies
5K Views
Ni jambo la kujivunia kwamba tunapokuwa na viongozi waliojawa uzalendo mioyoni mwao basi yoyote anaweza kuongoza popote bila kujali au kuzingatia taaluma yake. Tanzania ni nchi inayopigiwa mfano...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Picha inayoonyesha mwonekano mzuri wa volkano ya Ol Doinyo Lengai, "Mlima wa Mungu" iliyoko Gregory Rift, Kusini mwa Ziwa Natron ndani ya Mkoa wa Arusha imechaguliwa kati ya picha 15 bora katika...
6 Reactions
115 Replies
15K Views
Kwa mujibu wa mwalimu mmoja aliyepo wilaya ya Uyui mkoa wa Tabora ambae yupo likizo kwasasa hapa mkoani Dar es Salaam anasema hivi! Kipindi cha kuelekea uchaguzi walimu waliambiwa na CWT pamoja...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Taarifa inayosambaa inaonyesha kwamba maboresho hayo yamefanyika kwanye shule 25 za Mikoa ya Iringa na Morogoro , ambapo wanafunzi elfu 14 wametajwa kunufaika na mpango huo. Mojawapo ya choo...
24 Reactions
134 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…