Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu habari, Mimi nilikuwa mfuasi wa CHADEMA kindaki ndaki, baada ya Mdee na wenzake 18 kuasi, nilifunguka akili na kubaini kuwa hawa watu wanawatumia vijana kama mtaji ili kujipatia ajira za...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Jf oyee Kwako Dkt. Ndugulile, vyombo hivyo Hapo juu vimekuwa vikilalamikiwa kwa kutokuwa makini, kweli vyombo hivi vinatumia gharama Kubwa kuwepo huku ufanisi Wa kazi upo chini sana. Nikianza na...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ni makosa ambayo wanayafanya Kwa mara ya Pili ndani ya vipindi muhimu vya Uchaguzi, Uchaguzi wa mwaka 2015 walikosea na hii tena wamekosea. Moja ya advantage kubwa ya Chama cha Mapinduzi wakiacha...
12 Reactions
77 Replies
6K Views
Binafsi naona Serikali hii mpaka sasa imeshajiweka katika mazingira magumu yatayopelekea kukubali mashariti magumu kutoka kwa mtu yoyote (wakiwemo wachina) anaetaka kuwekaza fedha zake katika...
15 Reactions
99 Replies
10K Views
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba amemtaka Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, kutafuta wataalamu mara moja wenye uwezo wa kutafsiri sheria zote za nchi kwa lugha ya Kiswahili Imeamriwa...
6 Reactions
73 Replies
8K Views
Lazima tukubali uchumi wa nchi yetu ili ukue kwa kasi katika kila kanda hasa kwenye miradi ya maendeleo kuna ulazima wa serikali kama wanaweza wagawe kanda za kiuchumi na kuwe na account...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Tume ya uchaguzi Zanzibar imesema wapiga kura takribani 566,000 ndio watakaoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu. Idadi hiyo inajumuisha wapiga kura wa Visiwa vya Unguja na Pemba waliojisajiri kwenye...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Siasa sio mbaya ila Wanasiasa ndio wabaya . Dada zetu walichagua njia ya moja ya kuchagua maisha tonge kwanza liende kinywani kufia chama badae. Njaa haina baunsa..muda wa akina Halima Mdee...
13 Reactions
78 Replies
9K Views
Serikali imevunja mkataba na Mkandarasi aliyekuwa akitekeleza mradi mkubwa wa maji wa Same, Mwanga na korogwe, kutokana na kushindwa kuukamilisha kwa wakati. Mradi huo ambao umegharimu zaidi ya...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Wanabodi, Salaam. Nimeona kupitia mitandao ya kijamii kuhusu utenguzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Igunga mkoani Tabora leo tarehe 28 Desemba, 2020. Kwa ujumla iwapo...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Nakumbuka kuna tume hii ambayo ilipigiwa chapuo na wakubwa wa government kuwa ndio itakayokuwa suluhu ya tofauti kubwa ya mishahara katika utumishi wa umma. Je hii tume mpaka leo haijakamilisha...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Endapo mtu atalipwa mshahara na posho Kama Mbunge huku kikatiba akiwa Hana sifa ya Ubunge awezi kushtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumu pale atakapoingia kiongozi mzalendo na anayesimamia katiba...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Mtakuja na nyuzi zenu za kusifu serikali na kupiga matarumbeta but ukweli ni kuwa hii nchi under ccm ni good for nothing Hebu imagine miaka 60 ya uhuru hadi leo maji tu bado ni shida. Miaka 60...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Nakumbuka enzi zile ,nikimaliza lasaba natafuta meli ! Baharia ndio moja ya kazi za zama zile za geza ulole ,baada ya hapo ikaingia krosiboda na hata kuingia nchi za wazung baadae ndio ikafikia...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Hawa Kundani (mwenye vazi jeusi), anayedai kuzaa na kutelekelezwa na mbunge wa Dimani, Abdallah Sharia Ameir, akiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kuvamia kikao cha Kamati ya Bunge ya Katiba...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Anaandika Profesa Joseph Mbele Mimi ninaufahamu vizuri utamaduni wa vyuo vikuu vya Marekani, kwa sababu nilisomea kule na ninafundisha kule. Nimeshatoa mihadhara katika vyuo vingi, sio Marekani...
166 Reactions
323 Replies
43K Views
Katika watu ambao hutakiwi kuwaamini dakika moja mbele ni Watanganyika hawaminiki kwa kitu chochote ni walaghac mabazazi,waongo wenye tamaa zisiso koma Hawamiki katika kitu chochote ni wao...
4 Reactions
68 Replies
5K Views
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuweka taarifa ikionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 hadi 2020 imeweka bayana kipengele cha Bima ya Afya kwa wote. Ilani hiyo chini ya Jemedari wetu mbeba maono...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Leo nikiwa kikazi Dubai ninasoma gazeti la Asubuhi GULF NEWS, JIJI la DUBAI latangaza budget yake ya 2021 kuwa ni US$ 15.5 Billions, Dubai lina wakazi 3.31m, Uchumi wa Dubai unategemea Biashara...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Dk. John Pombe Joseph Magufuli I. UTANGULIZI Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020 umekwisha, ukiwa unasindikizwa na ukosoaji...
9 Reactions
89 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…