Ijue mipango mikuu ya kiuchumi ya serikali ya China 2021 ukiwa unasherekea mwaka mpya bila mpango wowote

winnerian

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
334
530
1. Wameshaanda mkakati mpya wa kuendelea kuiteka Africa na visiwa vyake vyoete kiuchumi, kiteknolojia na kijamii.

2. Makampuni makubwa yameshapewa zana za kazi kuingia kwa kasi ya 5G Africa na duniani kote kufanya biashara na kurudisha faida yote China (hawana mchezo wanachukua mpaka mia)

3. "TRA" yao imeshapewa muongozo wa kusamehee kodi zote makampuni yote yanayofanya biashara nje ya China, duniani huko na kurudisha hela nyumbani.

4. Wafungwa wote wenye vipaji na utaalamu wapo standby kuja kutumika ili kupunguza gharama za makampuni ya serikali (ambayo ni yote tu kwa ujumla).

5. Wameshaanda list ya nchi zote zenye manufaa kwao na kwa namna gani waanze kuziingia na kuzinglaghai zikubali kuingia mkenge ili wazinyonye to the maximum.

6. Sheria na kanuni za kazi na ajira zimeshapitiwa upya kuendana na kasi ya dunia (hawa jamaa hawana kuremba).

7. Viwanja vya ndege vingine vinaongezwa kuongeza kasi ya usafirishaji na biashara ya nje.

8. Sheria za kijinga ambazo hazina tija kwa watu wa china zimeshapigwa chini na zile zenye manufaa kwa watu wa China zimeibuliwa na tayari zinafanya kazi.

Nchi nyingi za Africa bado hazitambui cha kufanya kuwawezesha watu wao kufanya mambo makubwa sababu viongozi wa kisiasa hawataki kuone watu wao wanafunguka na kuwa wenye nguvu kiuchumi, kiteknolojia, na kijamii.

Bado wengu wao wanatamani kutawala wajinga wasiojitambua, wasiokuwa na uelewa dunia inavyonda kwa kasi.
ZABUNI ZOTE NYETI WANAGAWA KWA HAWA WACHINA na kufurahia wananchi wao kuwa vibarua watumwa katika kampuni kubwa za china.
 
Kwni meko anasemaje kuhusu Hilo
Na hapa ndio vingozi wetu wanatamani tubaki milele.

Kutokuwa na uwezo wa kudadavua mambo na kuyatazama kwa picha jicho kubwa kuona ndani kabisa na kuibuka na hoja yenye kuzima udhaifu wao.
 
Kwni meko anasemaje kuhusu Hilo
Anazidi kutengeneza wanyonge ili iendelee kuwa serikali ya wanyonge.

Kama unabisha waulize wanaojiita watumishi wa umma kaposho wanakopata mara ya mwisho kaliongezwa lini kwa mujibu wa sheria. Hao ni wanyonge kiuchumi
 
Unajua nilidhani ujinga woote tuliuacha 2020 mwaka huu ni kazi nikasahau hata wapumbavu huwa wanazeeka....hongera kwa kuonesha upumbavu wako
China wananyongwa au kuchinjwa au wakisamehewa wanafungiwa ndani maisha yao yote. Ila huku ndio mnakuwa viongozi wa kuwaongoza wengine.
 
Na hapa ndio vingozi wetu wanatamani tubaki milele.

Kutokuwa na uwezo wa kudadavua mambo na kuyatazama kwa picha jicho kubwa kuona ndani kabisa na kuibuka na hoja yenye kuzima udhaifu wao.
Udhaifu wa mwafrika Ni faida kwa mijitu Kama Humphrey Polepole na lichama lake la CCM tukipata Uhuru lazima washtakiwe
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom