TCRA yapewa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi kwani hawana imani na vifurushi vya intaneti.

Pia, Waziri Ndugulile ameiagiza TCRA kuhakikisha chaneli tano za bure za runinga zinazotakiwa kuonekana hata baada ya malipo ya king'amuzi kuisha zinaonekana. Amedai baadhi ya chaneli hizo hazionekani kwenye baadhi ya ving’amuzi.
 
Back
Top Bottom