Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,599
Ni kwenye trading session ya jana 28.12.2020 Dar es salaam stock exchange, sijajua kama NMB wame buy back au kuna local investor amenunua, au zimebadilisha ownership kwa foreign investor mwenzao (ntazidi kufuatilia)

Ikiwa kama NMB wame buy back au local investor amenunua, ina maana inakuwa moja kwa moja na impact kwenye uchumi wetu, in terms of capital outflow ya Dola takribani $ 183 Million zitaondoka kwenye uchumi wetu kuwalipa Rabobank mchuzi wao.

Ikiwa kama kuna another foreign investor amezinunua, hapo hakuna impact yoyote kwenye uchumi maana hakutakuwa na capital outflow ya Dola. Japokuwa nimeangalia jana kwenye report ya broker, sijaona kama kuna investor wa nje amezinunua (more likely ni buy back ya NMB) ambayo itaipa serikali kuwa shareholder mkubwa.

Kwa angle nyingine pia, naona kama kuna uwezekano wa serikali kuwa shareholder mkubwa wa NMB endapo kama NMB wame buy back which means shareholder mkubwa atakuwa ni Hazina (Treasury Registrar) kitu ambacho mimi nakiona hakina afya hata kidogo ukizingatia historian a performance ya benki zinazomilikiwa na serikali.

dse.jpg

nmb.jpg

Sijajua sababu haswa iliyowafanya kuondoka Tanzania, kuna possibilities nyingi, labda watu wa NMB wanaweza kuwa wanaelewa vema nini kinaendelea. Kama ni decision yao kama wao inawezekana labda wameona outlook ya banking industry kwa Tanzania labda sio nzuri kwa mbeleni ndio maana wameamua kuondoa mtaji wao au sijui kama ni msukumo kutoka serikalini kutaka kui-contro, benki ya NMB which means labda 'Rabobank Kafukuzwa'... nadhani siku chache za mbeleni tutajua nini haswa ndo sababu.

Lakini kwa namna na sababu yoyote, bado hii exit ya Rabobank sio kitu ambacho nakiona kama kina afya kwa NMB kama benki, na pia kinaweza kuwa na impact kwenye FDI kwa Tanzania.

Mjumbe hauawi
N. Mushi
 
Ni kwenye trading session ya jana 28.12.2020 Dar es salaam stock exchange, sijajua kama NMB wame buy back au kuna local investor amenunua, au zimebadilisha ownership kwa foreign investor mwenzao (ntazidi kufuatilia)....
Information not complete, hujui kwanini kaondoka. Hujui hisa zake kamuuzia nani.Hujui kama ni serikali au ni local au foreign investors.
Ila una wasisi na outcome.
 
Ni kwenye trading session ya jana 28.12.2020 Dar es salaam stock exchange, sijajua kama NMB wame buy back au kuna local investor amenunua, au zimebadilisha ownership kwa foreign investor mwenzao (ntazidi kufuatilia)

Ikiwa kama NMB wame buy back au local investor amenunua, ina maana inakuwa moja kwa moja na impact kwenye uchumi wetu, in terms of capital outflow ya Dola takribani $ 183 Million zitaondoka kwenye uchumi wetu kuwalipa Rabobank mchuzi wao.

Ikiwa kama kuna another foreign investor amezinunua, hapo hakuna impact yoyote kwenye uchumi maana hakutakuwa na capital outflow ya Dola. Japokuwa nimeangalia jana kwenye report ya broker, sijaona kama kuna investor wa nje amezinunua (more likely ni buy back ya NMB) ambayo itaipa serikali kuwa shareholder mkubwa.

Kwa angle nyingine pia, naona kama kuna uwezekano wa serikali kuwa shareholder mkubwa wa NMB endapo kama NMB wame buy back which means shareholder mkubwa atakuwa ni Hazina (Treasury Registrar) kitu ambacho mimi nakiona hakina afya hata kidogo ukizingatia historian a performance ya benki zinazomilikiwa na serikali.

View attachment 1662012
View attachment 1662013

Sijajua sababu haswa iliyowafanya kuondoka Tanzania, kuna possibilities nyingi, labda watu wa NMB wanaweza kuwa wanaelewa vema nini kinaendelea. Kama ni decision yao kama wao inawezekana labda wameona outlook ya banking industry kwa Tanzania labda sio nzuri kwa mbeleni ndio maana wameamua kuondoa mtaji wao au sijui kama ni msukumo kutoka serikalini kutaka kui-contro, benki ya NMB which means labda 'Rabobank Kafukuzwa'... nadhani siku chache za mbeleni tutajua nini haswa ndo sababu.

Lakini kwa namna na sababu yoyote, bado hii exit ya Rabobank sio kitu ambacho nakiona kama kina afya kwa NMB kama benki, na pia kinaweza kuwa na impact kwenye FDI kwa Tanzania.

Mjumbe hauawi
N. Mushi
Taarifa zaidi....
 
NMB ndio bank inayozungusha fedha zake kwa kasi kwa mwananchi wa kawaida hapa tanzania endapo wataondoka na mtaji wao ni pigo kubwa kwa uchumi wetu ni fimbo hii, tatizo nchi za wenzetu wanajua kuona mbeleni kwa haraka sana juu ya kitu gani kitakuja na kujiepusha na balaa la aina yoyote
 
82 Reactions
Reply
Back
Top Bottom