Wahenga wanasema kuuliza si ujinga na hakuna swali la kijinga ila kunaweza kuwa na jibu la kijinga. Mimi ninamwandikia waziri mkuu barua ya wazi ili kujua ukweli maswali yanayonisumbua. Barua...
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema, (CHADEMA) amesema fedha alizokopeshwa na serikali kwa ajili ya kununulia gari atazitumia kuanzisha taasisi ya kukopesha wanawake ili kuwawezesha kuinuka...
Ndugu watanzania wenzangu hasa wapenda mabadiliko mtakumbuka kwamba kamati ya maadili siku za nyuma (miezi 3 imepita) iliwaita wanachama wake wanaotangaza nia ya kuutaka Uraisi na kuwazua...
Kiroho safi niwapongeze viongozi wa vyama vya CHADEMA, CUF na NCCR kwa mashirikiano katika suala hili la mchakato wa katiba mpya. Wanachama na wapenzi wa vyama hivyo na wapenda mabadiliko...
Salaam,
Wakati fulani namkumbuka babu wa Loliondo.Jambo linalonifikrisha hasa na kunipa raha kweli juu ya babu wa Loliondo, ni jinsi alivyokuwa ameweza kuwashika watu, wananchi wa kawaida kwa...
Asilimia kubwa ya Watawala wetu hawa amini Mawazo ya wadau bali mawazo na Ushauri wa waganga wa Kienyeji!!
Ukweli ni kwamba hapa tulipofikia hata mtu wa Kawaida anaweza kusitisha Bunge la Kabina...
Ally Kessy mbunge(CCM)akitoa taarifa kwa Naibu Spika kuhusiana na serikali kupata hasara ya Tsh 4.9Bilion za kutotumia dawa zilizoagizwa na kuisha muda.
Kawalamu mawaziri na serikali kwa ujumla...
BABA MTU ANASEMA TUKIKUANGALIA SURA TUSEME HUYU NAYE KWELI ANAPINGA RUSHWA NA UFISADI KWELI
Je Wewe Ni Mla Rushwa Wewe Kweli?
Je Wewe ni Fisadi Wa Nchi Kweli?
KAULI YA JANA TAREHE...
KATIKA UCHAGUZI MKUU HUU TUSIRUHUSU MAFISADI WALICHEZEE TAIFA Edward Lowassa ni balaa kwa Taifa! Democratic Party (DP) inatarajia kufikisha Mahakamani chama cha CCM pamoja na wanachama wake sita...
Salaam Wakuu,
Leo 04/01/2021 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, anazungumza na waandishi wa habari baada ya kikao kazi na askari wa Kikosi cha usalama barabarani wa mikoa ya Kanda...
Pamoja na kwamba ukuaji na ueneaji wa Magodown ni ishara ya ukuaji wa shughuli za kiuchumi na uongezekaji wa vipato na ukusanyaji kodi kwa Serikali lakini usiporatibiwa vizuri unaweza kuleta ugumu...
Biblia inaonya ashupazae shingo ikivunjika haitapona tena.
Sawa hatukuweka lockdown tukavuka ila sio chanjo, hili sio swala la kidola ni suala la dunia (WHO) linasimamiwa na dunia na mataifa...
Hakuna mtu muelewa na mpenda haki asiyetambua kwamba Serikali imefanya ukatili wa Hali ya juu kwa kitendo cha kuondoa fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii.
Ipo idadi kubwa sana ya...
Waziri wa mambo ya nje Prof. Kabudi amehudhuria hafla ya uzinduzi wa ripoti ya Building Bridge Initiatives (BBI) nchini Kenya ambayo imehudhuriwa na viongozi wote wakuu wa Jamhuri ya Kenya...
Wanabodi,
Ukizingatia changamoto tulizo kuwa nazo ni vyema kuona kwamba tumevuka mwaka 2020 salama.
Kitu ambacho ningependa kujadili na wenzangu leo ni hali ambayo imekuwa ikijitokeza na...
Mhe. Halima Mdee na wenzake wakiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge, Job Ndugai, baada ya kula kiapo hivi karibuni.
"Sasa ni wazi kwamba, mimi na wabunge wenzangu 18, tulionyanganywa...
Akitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania, Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa, amesema kwa hali ilivyo...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii...
Na Mwandishi Wetu
Barabara ya Himo-Kilema ijulikanayo kama barabara ya Nyerere ni moja kati ya barabara muhimu katika jimbo la Vunjo kwani inahudumia taasisi takribani 30 za kijamii na yenye...
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mh Chongolo amesema wale wote waliokamatwa katika zoezi la kukamata wanaowatumikisha walemavu wametenda kosa la jinai.
Chongolo amesema wahusika wa miradi hii...