Jf
Naona anguko la NHC baada ya kususua kwa biashara nyingi Mjini linakuja kwa kasi, huku wafanyabiashara Mjini wakizidi kufunga biashara kwa kasi.
Kinachokukwamisha ni kutojua kuwa wengi wa...
Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ambao wafuasi wa Chama cha Lumumba walidai ni wa kinyonyaji unatarajiwa kurejea rasmi. Sasa Bagamoyo kuwa kama Dubai.
========
Discussions are ongoing to get the...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge leo Jumanne Januari 5 amesema wanafunzi waliofaulu kuingia kidato cha kwanza mwaka huu watasoma kwa zamu kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa...
Nimempigia kura Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017 kama Mwafrika Bora wa 2017. Ni imani yangu kwamba Tanzania...
TUNDULISSU, ZITTO NEMBO YA UTANZANIA, TANURU KWA UDIKTETA.
Na: Suphian Juma
Sept 7, 2017 kama leo nakumbuka taarifa ya awali ya kushambuliwa risasi Mbunge Tundu Lissu huko Dodoma niliipata...
Unapokuwa Mwanasiasa makini lazima uingie field ili uonje machungu ya kile unachoropoka mara kwa mara kuwa hakipo ili watu wajue kweli na wewe unapata machungu!
Mtu yupo Belgium anazungumza...
Hatuwezi kuendelea kukaa kimya. Taifa letu linaaibika vibaya sana.
Wahusika wanajulikana. Wametajwa mara nyingi na mbinu wanazozifanya kwa kutumia wasanii wa kizazi kipya na waigizaji almaarufu...
Chifupa atishiwa kuuawa
2006-11-16 09:03:34
Na Rosemary Mirondo na Beatrice Philemon
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Bi. Amina Chifupa, ametishiwa kuuawa na watu wasiojulikana kupitia simu yake ya...
Hivi sasa tunaona baadhi ya viongozi wa kuteuliwa, wanachapa watu viboko hadharani huku vitendo hivyo vikirekodiwa na picha kusambazwa mitandaoni.
Binafsi naamini vitendo hivi vinajenga chuki na...
VIJANA TUKIZEEKA TUZEEKE KAMA MAALIM SEIF
Na: Suphian Juma; niliandika andiko hili Mei 11, 2019. Karibuni tusome tena, Vijana.
Kama ilivyo matamanio ya binadamu yeyote katika matarajio ya kuishi...
SAKATA la biashara ya dawa za kulevya limeibuka upya, baada ya Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), kusema ataanika majina ya vigogo wanaofanya biashara hiyo haramu.
Akizungumza bungeni juzi...
NINGEBARIKIWA MRIJA MMOJA WA UTU KAMA RAIS, NISINGEMVUA UBUNGE LISSU.
Na: Suphian Juma
Nipo kwetu kijijini nilipozaliwa ambapo kwa sasa nahangaika kupatengeneza kwa kodi za wananchi kuwa jiji la...
CCM NA SERIKALI YENU MSITULAZIMISHE VITA SINGIDA.
Na Suphian Juma.
Nipo kwetu mkoani Singida kusalimia kwa takribani wiki sasa. CCM tunajua mna kambi mnayowapa mafunzo ya kijeshi vijana wenu wa...
UFUATILIAJI WA MAJIBU YA RUFAA YANGU- SUPHIAN.
Napata simu, maswali ana kwa ana na jumbe nyingi za wananchi wa Jimbo la Singida Magharibi, marafiki, ndugu na jamaa kutoka sehemu mbalimbali nchini...
Wanabodi, Heri ya mwaka mpya wa 2021!
Nimekaa kwa muda nikitafakali, kujiuliza na kutafuta majawabu kuhusu mienendo ya viongozi kuwachapa bakora wananchi kufuatia tuhuma mbalimbali dhidi ya...
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo alikuwa ziarani wilayani Sengerema ndipo mbunge wa jimbo hilo mh Tabasamu akamchongea mkurugenzi Magesa kwa matumizi mabaya ya ardhi pamoja na fedha za wafadhili.
Jafo...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza kupungua kwa bei ya petroli kwa Sh31 kwa lita moja mwei huu.
Wakati petrol ikipungua, bei ya dizeli imeongezeka...
BoT, Police following up black market forex
SATURDAY DECEMBER 19 2020
The Bank of Tanzania headquarters. PHOTO | FILE
Summary
Since the government shut down the bureaux de change, the business...
JamiiForums ni bidhaa ya Kitanzania iliyoundwa na watanzania kwa ajili ya watanzania. Rais wetu amekuwa akisisitiza sana Raia wetu kutumia vitu vyetu ili kukuza uchumi wetu lakini naona yeye ana...
Aliyekuwa Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amejaribu kwa wakati kugombea Urais na sasa wakati hauko upande wake tena hivyo anawatia moyo vijana kugombea.
Membe amesema yeye...