Bei ya Petroli yashuka. Bei ya Dizeli na Mafuta ya taa zapanda

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza kupungua kwa bei ya petroli kwa Sh31 kwa lita moja mwei huu.

Wakati petrol ikipungua, bei ya dizeli imeongezeka kwa Sh9 wakati ile ya mafuta ya taa ikipanda kwa Sh29 kwa lita moja.

Mabadiliko ya bei hizo za jumla na rejareja ni kwa mafuta yaliyopokelewa Bandari ya Dar es Salaam.

Mabadiliko hayo yametajwa kusababishwa na kinachoendelea katika soko la dunia na gharama za usafirishaji.

Bei ya jumla ya petroli imepungua kwa Sh31.1 kwa lita sawa wakati dizeli ikiongezeka kwa Sh8.74 na mafuta ya taa yakiongezeka kwa Sh29.31 kwa lita moja.

Kwa mujibu wa Ewura bei hizo mpya zitaanza kutumika kuanzia kesho.

Kutokana na hali hiyo, Ewura imesema kampuni za mafuta ziko huru kuuza bidhaa za mafuta kwa kuzingatia bei kikomo (price cap) kama ilivyokokotolewa na kanuni iliyopitishwa

“Pia vituo vyote vya mafuta vinatakiwa kuchapisha bei katika mabango yanayoonekana bayana yakiwa na punguzo, vivutio vya biashara au promosheni zinazotolewa na kituo husika,” ilieleza taarifa hiyo. Pale ambapo inawezekana kuchagua, wateja wanashauriwa kununua mafuta katika vituo vinavyouza mafuta kwa bei nafuu zaidi ili kushamirisha ushindani. Ewura imesema ni kosa kuuza mafuta bila kuweka bango la bei linaloonekana vizuri kwa wateja.

“Adhabu kali itatolewa kwa kituo ambacho hakitotekeleza matakwa ya kisheria kwa mujibu wa kanuni husika ikiwamo kutoa risiti za mauzo za kielektroniki na wanunuzi wahakikishe wanapata stakabadhi hizo za malipo zinazoonyesha jina la kituo, tarehe, aina ya mafuta yaliyonunuliwa na bei kwa lita,” imesema.
 
Duh, Nchi hii ya kijima kweli. Hadi leo mwaka 2021 kuna dunia inatumia mafuta ya taa kama nishhati ya nyumbani?
 
Duh, Nchi hii ya kijima kweli. Hadi leo mwaka 2021 kunq dunia inatumia mafuta ya taa kama nishhati ya nyumbani?
Hata wazungu wanaitumia. Nadhani tatizo lako ni lile jiko la mchina linalotumia tambi. Yapo majiko yanayotumia mafuta ya taa kama gesi. Hayatumii tambi bali bali hiyo kerosine liquid yanaibadilisha kuwa kwenye kerosine gas. Ninadhani pia unajua kuwa jet engines za ndege zinatumia mafuta ya taa.

Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza kupungua kwa bei ya petroli kwa Sh31 kwa lita moja mwei huu.

Wakati petrol ikipungua, bei ya dizeli imeongezeka kwa Sh9 wakati ile ya mafuta ya taa ikipanda kwa Sh29 kwa lita moja.

Mabadiliko ya bei hizo za jumla na rejareja ni kwa mafuta yaliyopokelewa Bandari ya Dar es Salaam.

Mabadiliko hayo yametajwa kusababishwa na kinachoendelea katika soko la dunia na gharama za usafirishaji.

Bei ya jumla ya petroli imepungua kwa Sh31.1 kwa lita sawa wakati dizeli ikiongezeka kwa Sh8.74 na mafuta ya taa yakiongezeka kwa Sh29.31 kwa lita moja.

Kwa mujibu wa Ewura bei hizo mpya zitaanza kutumika kuanzia kesho.

Kutokana na hali hiyo, Ewura imesema kampuni za mafuta ziko huru kuuza bidhaa za mafuta kwa kuzingatia bei kikomo (price cap) kama ilivyokokotolewa na kanuni iliyopitishwa

“Pia vituo vyote vya mafuta vinatakiwa kuchapisha bei katika mabango yanayoonekana bayana yakiwa na punguzo, vivutio vya biashara au promosheni zinazotolewa na kituo husika,” ilieleza taarifa hiyo. Pale ambapo inawezekana kuchagua, wateja wanashauriwa kununua mafuta katika vituo vinavyouza mafuta kwa bei nafuu zaidi ili kushamirisha ushindani. Ewura imesema ni kosa kuuza mafuta bila kuweka bango la bei linaloonekana vizuri kwa wateja.

“Adhabu kali itatolewa kwa kituo ambacho hakitotekeleza matakwa ya kisheria kwa mujibu wa kanuni husika ikiwamo kutoa risiti za mauzo za kielektroniki na wanunuzi wahakikishe wanapata stakabadhi hizo za malipo zinazoonyesha jina la kituo, tarehe, aina ya mafuta yaliyonunuliwa na bei kwa lita,” imesema.
Amazing, kila mtu awe na kisima cha kuhifadhia mafuta ili yakishuka ununue mengi reserve ya kutoka itakayotumika wakati yakipanda.
 
Hata wazungu wanaitumia. Nadhani tatizo lako ni lile jiko la mchina linalotumia tambi. Yapo majiko yanayotumia mafuta ya taa kama gesi. Hayatumii tambi bali bali hiyo kerosine liquid yanaibadilisha kuwa kwenye kerosine gas. Ninadhani pia unajua kuwa jet engines za ndege zinatumia mafuta ya taa.

Hii tunaiita ngumi ya pua!!!! Asante sana, mkuu.
 
EWURA kwenye nishati ya mafuta na gesi wanafanya vizuri sana ku - control bei...

Katika maeneo ya sekta zingine hali ni ya shida na hovyo sana mfano umeme bei ni za juu sana kiasi ambacho watu hawawezi kutumia nishati ya umeme kupikia na uzalishaji kwa ukamilifu wake...

Njoo TARURA, barabara za vijijini ni hovyo na zina hali mbaya sana...

LATRA & SUMATRA hali ni ya hovyo sana. Watoa huduma za usafiri wanafanya vile watakavyo na bahati mbaya polisi ni kama walishafika bei walishashindwa kuthibiti hali...
 
Back
Top Bottom