Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Juzi nilikuwa mpaka wa Kenya na Tanzania eneo la Sirari, nilitokea Arusha nikapita Serengeti, Nyamongo, Nyamwaga hadi Sirari, njiani nilikuwa nakutana na vijana wa bodaboda wakikimbiza pikipiki...
16 Reactions
112 Replies
22K Views
Unajua ndugu zangu, niwaambie ukweli kabisa yapo mambo unapo ongoza Taifa hupaswi kuyafanyia majaribio au mzaha maana mambo hayo ukiyafanyia majaribio au mzaha basi mwisho utajitekenya mwenyewe na...
5 Reactions
4 Replies
894 Views
Na: MC Wenceslaus Dodoma. 12.01.2021 Habari za leo ndugu watanzania wenzangu na wazalendo wote wa Tanzania hii! Ni matumaini yangu kuwa tunaendelea kuwajibika vema katika ujenzi wa uchumi wa nchi...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Chama cha wananchi CUF kimeipa kazi kampuni moja maarufu ya uwakili ya uholanzi kuwasilisha katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ( ICC ) VIELELEZO vinavyowatuhumu viongozi wa serikali ya...
31 Reactions
383 Replies
53K Views
Leo jioni nimetembelea kijiwe cha kahawa, wazee wakawa wanajadiliana mithali inayisema "mkataa kwao ni mtumwa!" Wazee hao walielezea jinsi ambavyo watu wengi wamekuja mjini wakatelekeza kwao...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu humu ndani leo nilikuwa nafuatilia mapokezi ya Rais wa Msumbiji nimeshtushwa sana na mabadiliko ya nembo yetu ya Taifa hapo kwenye meza ya kuzungumzia viongozi (podium) Nani kaleta wazo...
5 Reactions
37 Replies
11K Views
Tunakumbushana tu. Tundu Lissu alikuwa na dada yake Bungeni Zitto Kabwe alikuwa na dada yake Bungeni. Dkt. Slaa alikuwa na mtalaka wake Bungeni Ndesamburo alikuwa na mwanae pamoja na mkwewe...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nchi nyingi huwa nasoma kwamba kwa mfano Serikali imechukuwa tuseme uamuzi x Wananchi wa hiyo nchi wanapinga wanakwenda Mahakamani kushitaki kwamba uamuzi huo ni kinyume na Katiba ya nchi yao...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Zanzibar inaadhimisha miaka 57 ya Mapinduzi leo na baadhi ya masuala aliyozungumzia Rais Hussein Mwinyi katika hotuba yake ni kama ifuatavyo: Dkt. Hussein Mwinyi amesema Zanzibar inapaswa kuleta...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
BANDARI ya Nyamirembe, Wilaya ya Chato mkoani Geita, inatarajiwa kukamilika Agosti 23, mwaka huu. Mradi wa ujenzi huo uliogharimu Sh bilioni 4.1 ambazo ni fedha za serikali, unajengwa na...
10 Reactions
160 Replies
20K Views
Muonekano wa jengo la TANESCO wilayani Chato, Mkoa wa Geita, mara baada kukamilika ujenzi wake mwezi Aprili mwaka 2020.
1 Reactions
48 Replies
9K Views
Duka la MSD tayari limefunguliwa chato wakati halipo Katoro wala Geita... Uwanja Wa ndege unaendelea kujengwa Wa kiwango cha kimataifa pale chato.. Shule ya kisasa kama fadhila pale rais...
109 Reactions
692 Replies
129K Views
Naomba kuuliza, Kiongozi kutumia fedha za umma kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao kijijini maana yake ni nini? 1) Uzalendo 2) Ubinafsi 3) Matumizi mabaya ya Madaraka 4) Ushamba 5)...
10 Reactions
98 Replies
9K Views
TAASISI ILIYORASIMISHWA KUWATAPELI WANYONGE Bodi ya Mikopo imewanufaisha watanzania wengi sana ikiwa ni pamoja na kuwajengea watanzania misingi ya kielimu kwa ajili ya future katika maisha yao ...
27 Reactions
127 Replies
14K Views
Wana jf Mwanzoni watu walilalama sana uamuzi wa serikali kuuza nyumba zake, hii imeleta matokeo chanya na faida nyingi. Kwanza imewaondolea watumishi wa umma hadha ya kufukuzwa katika nyumba...
6 Reactions
42 Replies
6K Views
Geita haijaumbwa ili iwe mashimo baada ya kuchimba madini bali inastahili maendeleo kama mikoa mingine. Nimeona niseme hili maana ujenzi wa kimaendeleo wa uwanja wa ndege na hospitali ya Rufaa...
6 Reactions
49 Replies
6K Views
Salaam Wana JF, Leo ni tarehe 12, January siku ambayo tunakumbuka historia ya Mapinduzi Matukufu yaliyofanyika huko visiwani Zanzibar mwaka 1964, kuna historia ndefu Juu ya mapinduzi haya, Andiko...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema serikali inatambua ukubwa wa tatizo la ajira linalowakabili vijana na tayari imeanza kuchukua hatua kutekeleza ahadi zilizotolewa wakati wa kampeni za...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna vitu hapo awali nilikuwa sielewi kabisa, kuna wakati wanasiasa halisia walikuwa wanakosea kabisa na hata mtoto ukimuuliza anakwambia kuwa hilo ni kosa lakini wanasiasa wa mtandao walikuwa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mfungwa wa kisiasa Kamanda Mdude Nyagali leo ametimiza siku 244 Jela ambako amewekwa kwa kesi isiyo na dhamana Kwa mara ya kwanza alishitakiwa kwa makosa ya Uhujumu uchumi lakini baada ya...
20 Reactions
84 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…