Uchaguzi umeisha, tujitathmini upya

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Kichwa cha habari chajieleza.

Ukweli ni kuwa hakuna tutachoambulia zaidi ya wabunge viti maalumu wapatao 19.

Kubaki tunapiga kelele kuwa uchaguzi ulivurugwa haiwezi kutusaidia.

Kilichobaki tujitathimini tutaweza kusimama tena?

Nani alisababisha tukapoteza nanma hii? Atupishe haijalishi kama ni Mbowe au nani.

Huu ni ujumbe mujarabu kwa chama changu CHADEMA.
 
Ukitumia akili kidogo utaona tu kwamba wapinzani hawana cha kupoteza na hawajapoteza ila waliopoteza ni watanzania ambao sasa wanacharazwa viboko na kulipishwa ada na kunyang'anywa Uhuru wao bila kujali uwepo wa mahakama wala bunge.

Kama mnafikiri upinzani ni watu fulani kufungwa jela, kupigwa, kunyanyaswa na ujinga kama huo mnakosea Sana. Upinzani ni haki yako na mfumo wa kupata haki mbele ya manyang'au kama Cccm na wahalifu wengine kwenye jamii.
 
Kwa kawaida ya chaguzi za Kidemokrasia ni AJABU SANA MBOWE KAMA MWENYEKITI anabaki madarakani baada ya Matokeo mabaya kuliko wakati mwingine wowote tangu demokrasia ya vyama vingi nchini kwetu.

UONGOZI UNASISITIZA KUIBIWA KURA ILI KUKWEPA LAWAMA YA KUSHINDWA VIBAYA NA WAENDELEE KUBAKI MADARAKANI.

Muda sio rafiki tena kwako jiuzuru, mwachie Lissu ama yeyote atakaye saidia kututoa hapa.
 
Mataga mumekosa hoja sasa mnajiropokea tu, uzuri hizi namba hazina chama tunazisoma wote
 
Kichwa cha habari chajieleza.

Ukweli ni kuwa hakuna tutachoambulia zaidi ya wabunge viti maalumu wapatao 19.

Kubaki tunapiga kelele kuwa uchaguzi ulivurugwa haiwezi kutusaidia.

Kilichobaki tujitathimini tutaweza kusimama tena?

Nani alisababisha tukapoteza nanma hii? Atupishe haijalishi kama ni Mbowe au nani.

Huu ni ujumbe mujarabu kwa chama changu CHADEMA.
Hivi ni kweli hufahamu ni nini kilitokea ama kuchorana.
 
Chadema hawana hasara, hasara ipo kwetu wa Tanzania tumekosa wa kutusemea bungeni kwa maana ya kukosoa kilichokiovu! Saivi ukiambiwa lazima utoe 70,000 ya madawati huwezi kupinga lakini upinzani wangekuepo wangepiga kilele! Hapo hasara ni kwa nani?
 
Kwa kawaida ya chaguzi za Kidemokrasia ni AJABU SANA MBOWE KAMA MWENYEKITI anabaki madarakani baada ya Matokeo mabaya kuliko wakati mwingine wowote tangu demokrasia ya vyama vingi nchini kwetu.

UONGOZI UNASISITIZA KUIBIWA KURA ILI KUKWEPA LAWAMA YA KUSHINDWA VIBAYA NA WAENDELEE KUBAKI MADARAKANI.

Muda sio rafiki tena kwako jiuzuru, mwachie Lissu ama yeyote atakaye saidia kututoa hapa.
Mateka wa akili ni wakuwahurumia.
 
Kichwa cha habari chajieleza.

Ukweli ni kuwa hakuna tutachoambulia zaidi ya wabunge viti maalumu wapatao 19.

Kubaki tunapiga kelele kuwa uchaguzi ulivurugwa haiwezi kutusaidia.

Kilichobaki tujitathimini tutaweza kusimama tena?

Nani alisababisha tukapoteza nanma hii? Atupishe haijalishi kama ni Mbowe au nani.

Huu ni ujumbe mujarabu kwa chama changu CHADEMA.
Uko ndani ya CHADEMA, ulishiriki kwenye uchaguzi?

Tupe kwanza maoni yako kuhusu uchaguzi hasa hasa utendaji wa taasisi zifuatazo

1. Tume ya uchaguzi
2. Vyombo vya dola
3. Mahakama
4. Vyombo vya habari
 
Kwa kawaida ya chaguzi za Kidemokrasia ni AJABU SANA MBOWE KAMA MWENYEKITI anabaki madarakani baada ya Matokeo mabaya kuliko wakati mwingine wowote tangu demokrasia ya vyama vingi nchini kwetu.

UONGOZI UNASISITIZA KUIBIWA KURA ILI KUKWEPA LAWAMA YA KUSHINDWA VIBAYA NA WAENDELEE KUBAKI MADARAKANI.

Muda sio rafiki tena kwako jiuzuru, mwachie Lissu ama yeyote atakaye saidia kututoa hapa.
Lengo lenu ni kuona Mbowe anaachia uenyekiti chadema ili mpeleke majitu kama akina mashinji na mwanze kuipangia chadema mikakati yenu ya kishamba,Mbowe kawakosea nini??

Kwani yeye hana haki ya kuwa kiongozi?? Mmemharibia hoteli bado hamjaridhika tu,mkamharibia mashamba yake bado hamkuridhika,mkawa mnambambikia kesi za kila namna bado hamkuridhika tu,mkaona mmwondoe kwenye ubunge na kikosi kazi chake bado hamjaridhika tu, sasa mnataka ajiuzulu na mkishindwa hili mtatafuta mbinu za kumtanguliza mnakokujua ninyi kwa sababu ya siasatu,hivi ninyi ni viumbe wa aina gani??
 
Kwa kawaida ya chaguzi za Kidemokrasia ni AJABU SANA MBOWE KAMA MWENYEKITI anabaki madarakani baada ya Matokeo mabaya kuliko wakati mwingine wowote tangu demokrasia ya vyama vingi nchini kwetu.

UONGOZI UNASISITIZA KUIBIWA KURA ILI KUKWEPA LAWAMA YA KUSHINDWA VIBAYA NA WAENDELEE KUBAKI MADARAKANI.

Muda sio rafiki tena kwako jiuzuru, mwachie Lissu ama yeyote atakaye saidia kututoa hapa.

Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Sawa mwanachadema.
Swala la tathmini alitakiwi,litaibua mengi mno,mojawapo ikiwemo Mwenyekiti kuficha fedha na chama kukosa fedha kipindi cha kampeni,hata mabango tu ya mgombea Urais wenu amkuweka kwasababu ya mwenyekiti kuficha fedha za chama.
 
Kichwa cha habari chajieleza.

Ukweli ni kuwa hakuna tutachoambulia zaidi ya wabunge viti maalumu wapatao 19.

Kubaki tunapiga kelele kuwa uchaguzi ulivurugwa haiwezi kutusaidia.

Kilichobaki tujitathimini tutaweza kusimama tena?

Nani alisababisha tukapoteza nanma hii? Atupishe haijalishi kama ni Mbowe au nani.

Huu ni ujumbe mujarabu kwa chama changu CHADEMA.
Naona CCM mmeanza choko choko, si mmeshinda? Basi tulieni miongoze nchi.

Tanzania itakuwa kama Urayaa, halafu nilitaka kusahau ndg zangu. Ujumbe huu ndg yangu Wing Yi uufikishe kwa Rais wa China tunamuomba atufutie madeni yetu kwa sababu tunaamini China ni Matajiri-JPM akiwa Chato mbele ya Waziri.

Basi wananchi nchi hii tumeibiwa sana, na sasa imetosha kuibiwa. Tanzania sisi ni Matajiri na kila mmoja atembee kifua mbere tunataka kuwa Dona Kantri- JPM akiwa kwa wananchi huko Igunga Tabora kwa kina Shish baby.

Au nasema uongo ndg zangu? Mwinyi mlimpa 10, Mkapa Mungu amlaze mahali pema na yeye mlimpa 10, Mzee Kikwete pia mlimpa 10. Sasa mimi nimekosea nin ndg zangu?

Nireteeni yule mama mweupe mweupe, angalau yeye akisema naweza kusikiliza shida zake-JPM akiwa Temeke.

Nireteeni Gwajima Nireteeni Gwajima, nasema Nireteeen Gwajimaaa. Hapa alikuwa mgombea wa dada yangu 'nikaamua kumkata' na 'tukamleta Gwajima'- JPM Kawe.

Wanambeya nileteeni huyu mama Msomi angalau amenisumbua sumbua kudai maendeleo ya Mbeya-JPM Mbeya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom