Kama Ilani ya CCM 2015/2020 ilitekelezwa kwa zaidi ya 95 mbona Mawaziri wanatumbua tumbua watendaji kila kona?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,116
2,000
Najiuliza tu kwa kuwa wakati wa kampeni tuliambiwa katika maeneo mengi ilani ya CCM imetekelezwa kwa 100% na maeneo machache kwa zaidi ya 95% inakuwaje tumbua tumbua iendelee kwa kasi kubwa?

Kwa mfano Naibu waziri wa maji, Naibu waziri wa afya, Naibu waziri wa TAMISEMI, waziri mwenyewe wa Tamisemi na waziri wa maji kazi kubwa wanayoifanya kwa sasa ni kutumbua tu.

Nilidhani ziara za mawaziri zingekuwa za kuwapongeza watendaji zaidi kwa kutekeleza vema ilani ya CCM msimu uliopita badala ya tumbua tumbua.

Maendeleo hayana vyama!
 
gspain

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,580
2,000
Najiuliza tu kwa kuwa wakati wa kampeni tuliambiwa katika maeneo mengi ilani ya CCM imetekelezwa kwa 100% na maeneo machache kwa zaidi ya 95% inakuwaje tumbua tumbua iendelee kwa kasi kubwa?...
Bwashee, naona unaongea na simu!!
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
12,516
2,000
Najiuliza tu kwa kuwa wakati wa kampeni tuliambiwa katika maeneo mengi ilani ya CCM imetekelezwa kwa 100% na maeneo machache kwa zaidi ya 95% inakuwaje tumbua tumbua iendelee kwa kasi kubwa?...
Ukisikia MATAGA wanajitekenya afu wanacheka wenyewe ndiyo huku sasa!!
 
Queen Esther

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
2,125
2,000
Najiuliza tu kwa kuwa wakati wa kampeni tuliambiwa katika maeneo mengi ilani ya CCM imetekelezwa kwa 100% na maeneo machache kwa zaidi ya 95% inakuwaje tumbua tumbua iendelee kwa kasi kubwa?...
Wewe ni jipu lililoiva au ndg yako au rafiki yako! Naona unatengeneza mazingira ya kujilinda! Hapa Kazi Tu! Kama umekula hela mbichi utaitapika!
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,315
2,000
Ni utekelezaji wa sheria tu bwashee!

Kama kweli wameweza kuvunja rekodi na kuvuka lengo bila kuviziana, ni utekelezaji gani tena wa sheria wanafanya? Nijuavyo mimi TRA wanapelekewa kodi, na ndio kilichofanyika wanavunja rekodi na kuvuka lengo. Sasa hiyo kufuata tena kodi mtaani inatoka wapi? Akili za kuambiwa...
 
G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
10,744
2,000
Najiuliza tu kwa kuwa wakati wa kampeni tuliambiwa katika maeneo mengi ilani ya CCM imetekelezwa kwa 100% na maeneo machache kwa zaidi ya 95% inakuwaje tumbua tumbua iendelee kwa kasi kubwa?....
Nasema uwongo ndugu zangu, tumecheleweshwa munooo ... wapinzani wametuchelewesha kweri kweri.... huwezi ukakaa na mtu anakutukana harafu anataka umupelekee maendereo.. ingawa maendereo hayana chama ira loho inakataa.. nireteeni wa CCM ili niwatumbue. Hawa sijui hata wanatokea wapi siwezi kuwatumbua..nasema ukweri na msema kweriiii ni mpenzi wa Mungu
 
Ng'wale

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
2,993
2,000
Hahahaaaa.........!

Chadema wamesusa inabidi tuhojiane wenyewe bwashee.
Hata bunge likianza WABUNGE wa CCM watakua wanarushiana madongo wenyewe kwa wenyewe, hasa wale waliokua hawana hoja za msingi zaidi ilikua ni vijembe tu kwa WABUNGE wa upinzani. Kibajaji and the likes.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,116
2,000
Hata bunge likianza WABUNGE wa CCM watakua wanarushiana madongo wenyewe kwa wenyewe, hasa wale waliokua hawana hoja za msingi zaidi ilikua ni vijembe tu kwa WABUNGE wa upinzani. Kibajaji and the likes.
Wabunge wa CCM watarushiana madongo na Covid 19 kutoka Ufipa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom