Uchumi wa Tanzania kuwa kama China ifikapo 2050 kama tutapata Magufuli wengine watatu baada ya 2025

May 3, 2019
53
144
UCHUMI WA TANZANIA KUWA KAMA CHINA IFIKAPO 2050 KAMA TUTAPATA MAGUFULI WENGINE WATATU BAADA YA 2025.

Leo 13:15pm,28/07/2019.

Kimsingi umaskini wa Tanzania ni umaskini wa kipato,ila takwimu zitaendelea kuielezea Tanzania kama Taifa tajiri kwa kuwa lina rasilimali nyingi kama Madini,Mito,Bahari na Maziwa makubwa,Ardhi kubwa yenye rutuba isiyo na watu wala kuwekezwa na yeyote yule,yumkini Tanzania ina watu Milioni sitini,mito inayotiririsha maji Mwaka mzima,Taifa la Tanzania lina rasilimali ya utalii na nyingine, lakini hoja inayokuja ni je zinatumiwa vipi!?

Kwa miaka hamsini tumekosa jibu la kwa nini Tanzania hatupigi hatua mbele licha ya utajiri mkubwa wa maliasili tulizonazo na sasa jibu tunapata katika awamu hii ya tano ya Rais John Magufuli,kwamba kumbe tukiamua tunaweza,Utendaji kazi makini,dhamira na Uzalendo wa dhati wa Rais Magufuli umetupa muarobaini wa kwa nini Tanzania imeshindwa kupiga hatua kwa miaka hamsini na sasa chini ya Jemedari Magufuli,Taifa limeanza kupiga hatua kwenda mbele.

-Kwa nini Tanzania haijapiga hatua mbele kwa miaka 50 iliyopita!?

Ni sawa tuna rasilimali nyingi,na rasilimali mojawapo ni madini,Sasa madini yanachimbwa, lakini wawekezaji ndiyo wengi,Mwekezaji ni mzungu,kaburu,beberu au bwenyenye sasa Tanzania itapataje faida!?

Sekta hii ya madini haina mwingiliano wa moja kwa moja na watu, na kama watu wa kawaida hawahusiki moja kwa moja inakuwa vigumu kuinuka kimapato,sasa ni vyema madini yakanufaisha mtaa husika,Wilaya husika,Mkoa husika na nchi husika kabla ya kwenda kunufaisha nchi za nje.

Tumeona hili likifanyika Afrika ya kusini,kila kwenye mgodi wa dhahabu kuna kiwanja cha kisasa kikubwa cha mpira,kila kwenye mgodi wa dhahabu kuna hospitali kila mtaa,kila Wilaya na kila Mkoa,kila kwenye mgodi wa dhahabu kuna huduma bora za kijamii ikiwemo barabara bora,Kiwanja kikubwa cha ndege,Shule bora kila mtaa,na ajita zaidi ya Milioni moja kwa Wananchi wa eneo husuka,

Ili mtu awe na kipato ni lazima afanye kazi.Kama watu wengi hawafanyi kazi ni lazima umaskini utaendelea,lakini tunayo nafasi ya kutumia maliasili zetu kutengeneza ajira zaidi ya milioni kila Mwaka.

-Miaka 30 iliyopita na Wimbi la Viongozi wasiotambua wanafanya nini na kwa manufaa ya nani!?

Tumekuwa na tatizo la viongozi wetu kutokutambua wanafanya nini ? kwa manufaa ya nani ? kwa sababbu kwa sera tunazotangaziwa magazetini na kelele za kupongeza bungeni zimekuwa si zenye kuleta tija kwa Taifa la Tanzania.

Kelele zilizopata kutoka bungeni zimekuwa hazitulengi wananchi moja kwa moja hivyo hazikuleta mabadiliko chanya lakini kwa sasa tunao badiliko chanya kutoka kwa Rais Magufuli mwenyewe na huku chini bado watu wapo kwenye usingizi mzito na kuamka hawataki.

Rais John Magufuli ametuletea badiliko la kifikra kumbe tunaweza kubadilika na kuachana na njia zetu ovu za zamani,mabadiliko ya sera,mabadiliko yanayolenga kubadili maisha ya mwananchi moja kwa moja.

Rais Magufuli ametuletea Sera ya Viwanda ili kuleta uwekezaji utakaozalisha ajira za kutosha na zinazokidhi mahitaji yetu,

-Hitaji la Wataalam wa kuvuna Maliasili zetu na kuzifanya zilete tija kwa Taifa la Tanzania.

Tuna maliasili nyingi kiasi hiki lakini vyuo vyetu vikuu havizalishi wataalamu katika kuzivuna na kutumia rasilimali tulizonazo.

Tuna Chuo Cha Kilimo Sua,katika kilimo tumejitahidi kubadili majina na kauli mbiu za kuhamasisha kilimo kwa kuwaachia wakulima wajiendee kama kuku wa kienyeji huku tukiendelea kuweka mazingira yasiyo rafiki kwa mkulima ambaye ndiye kundi kubwa la watanzania masikini.

-Mh Bashe na utaalamu Mpya katika maono yake juu ya Kilimo hapa Tanzania.

Tumeona ingizo jipya katika Wizara ya Kilimo, kilimo kikatusaidie kupiga hatua na tusiendelee kushika nafasi za juu kama nchi masikini zaidi wakati tunaweza kuufuta ndani ya miaka mitano tu kama tutakuwa na nia ya dhati kama alivyo Mh Rais wetu,Ndugu John Magufuli.

Maoni yangu kwa Mh Bashe ambaye anategemewa kwenda kuleta badiliko katika Kilimo hapa Tanzania ni kwamba tupitie sera zetu upya pasipo na sera tuziweke na tuhakikishe zinamlenga mwananchi katika maisha yake yakila siku vinginevyo tutaendelea kuwa na watu wasiofanyakazi huku tukilia umaskini ilihali tuna ardhi yenye rutuba,mvua zinazonyesha na mito inayotiririsha maji Mwaka mzima.

-Rais John Magufuli ndiye Rais wa kutekeleza mabadiliko ili Tanzania ipige hatua mbele.

Rais wa Tanzania, Daktari John Magufuli ametekeleza ndoto ya baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere toka miaka ya 70 baada ya kutambua kuwa nishati ya Umeme ni kichocheo cha maendeleo katika sekta zote zitakazoitoa Tanzania kwenye umasikini hadi kuifanya Taifa Tajiri duniani.

Kuupitia utekelezwaji wa mradi mkubwa wa Umeme wa Mto Rufiji,nchi yetu imeudhihirishia ulimwengu kuwa sisi ni Taifa huru linaloweza kujiamulia mambo yake kwa kuzingatia vipengele vyake,Rais Magufuli meonyesha Ulimwengu kuwa anaweza akaibadili Tanzania toka kwenye fikra duni za kinyonge hadi fikra chanya za kujikomboa kiuchumi na Tanzania kuwa nchi tajiri kama ilivyo China.

-Morogoro na Tanga zimepoteza Viwanda zaidi ya ishirini na ajira zaidi ya Milioni moja.

Toka kupotea kwa viwanda vya kuzalisha vyombo vya udongo pale Morogoro "Ceramics",Viwanda vya kuzalisha Viatu "Moro Shoes" Viwanda vya kuzalisha katani pale Tanga,Uchumi umekuwa ukiwanufaisha watu wachache, zaidi umekuwa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam, Mwanza na Arusha.

-Ahsante Rais Magufuli kwa kubadilisha Sera za Uchumi.

Ni hatua nzuri ya kubadilisha sera za uchumi ili kupunguza pengo la kiuchumi lililopo kati ya maeneo ya mijini na vijijini.

Kubadilishwa kwa Sera za Viwanda na ajira kuwepo Dar es Salaam tu kutabadili hali kubwa ya matabaka ya watu wenye ajira na wasio na ajira,watu wenye uwezo wa kiviwanda kwa uzalishaji na watu ambao hawana Viwanda, kuondoa watu walionacho wanaozidi kupata huku maskini wakizidi kuwa maskini.

Sekta ya viwanda haina budi kuboreshwa kwa kuhakikisha kuwa inakua.Katika sekta ya Kilimo tuakikishe inakuwa uti wa mgongo wa Taifa na inaajiri watu wengi,na ipate rasilimali za kutosha lakini watu katika sekta hiyo wajiepushe na ubadhirifu.

-Sekta ya Madini,Tanzanite,Dhahabu na Almasi sasa kunufaisha Taifa.

Madini kama Tanzanite ambayo yanapatikana Tanzania peke yake bado hayajawanufaisha Watanzania na inasemekana yamekuwa yakiuzwa nchi jirani badala ya soko lake kuwa nchini,Ahsante kwa Awamu ya tano kwa kujenga vituo rasmi vya kuuzia madini hapa nchini Tanzania.

Dhahabu na almasi ni madini mengine ambayo kama yangetumiwa vyema Tanzania isingetupwa mbali katika takwimu za uchumi duniani. Pia gesi ni rasilimali nyingine ya kuwaondoa watu kwenye umaskini.

Mbali na hayo Taifa lina raslimali nyingine kama vivutio vya kitalii na mapema mwaka huu vivutio vyake vitatu Mlima Kilimanjaro, Hifadhi za Ngorongoro na Serengeti vilishinda katika maajabu saba ya asili barani Afrika,lakini tatizo letu,Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam hakitoi wataalam wa kwenda kuvuna rasilimali hii na kuingiza nchini fedha ya kigeni na kuongeza pato la Taifa.

-Uzalishaji wa ajira bora na Maendeleo endelevu.

Uzalishaji wa ajira bora na uwezeshaji wa
maendeleo endelevu utahitaji uwekezaji katika
bidhaa tofauti tofauti ili kujenga sekta ya viwanda
iliyo imara,Tuna haja ya kuzalisha bidhaa nyingi na tofauti tofauti.

Kiuchumi matukio
ya kasi ya uzalishaji yanayoongozwa na viwanda
yamezalisha ajira nyingi zaidi kuliko sekta ya
huduma au kilimo.

Kukuza uchumi wa viwanda Tanzania kutasaidia kuleta
ajira zenye staha na ukuaji wa uchumi himilivu, na
vilevile, kuna haja ya kuruhusu makampuni kukua
bila vikwazo. Hivyo, sera ya viwanda na namna
ambavyo nchi zitajenga uchumi wa viwanda ni
masuala muhimu.

Nimalizie kwa ombi la kuondoa vikwazo vya kibiashara,kutopuuza namna ambavyo kaya masikini zinaathiriwa zaidi na orodha ya kodi kwa bidhaa nyeti kama mchele na sukari,majadiliano yafanyike kati ya wafanyabiashara na watunga sera, ili kuweza kuhamasisha biashara.

Nifikie tamati, kumshukuru Mungu kwa kuibariki Tanzania,Bariki na kumlinda Rais wetu John Magufuli,tupe neema sisi Watanzania kuweza kuvuna rasilimali zetu na kuzitumia vyema kuiendeleza nchi yetu ya Tanzania,tutumie rasilimali nyingi tulizonazo kuzalisha bidhaa tofauti tofauti na kutengeneza ajira zaidi ya milioni moja kila Mwaka.

Nikiishia hapa,Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854.
 
Uchumi wa marekani au china ni Rais gani ameufikisha hapo ulipo?? usifananishe uchumi wa nchi na uchumi wa familia. kenya au Uganda, Rwanda, Sudan, Congo, Zimbabwe ukiona nao wana uchumi mzuri basi na TZ itakuwa na uchumi mzuri, na ni ngumu kuchomoza mmoja kuwa na uchumi mzuri kumzidi mwenzake labda kwa mazingira flan flan. Hali ya umaskini ulioko vijiji vya Mtwara na Lindi sidhani kama ni tofauti sana na vijiji vya shinyanga na Tabora au Morigoro na nchi nazo zinaenda hivohivo.
 
Analysis yako ni nzuri Sana kwa watu wenye upeo mkubwa ila mpumbavu atajikita zaidi kuhoji number yako ulioweka kuliko hoja ulioweka mtu wa aina hii Wala usipate nae tabu ujue hoja yako ni kubwa kuliko uwezo wake wakufikiri.
 
Hizo Analysis zimejaa Serikalini toka Enzi ya Awamu tatizo ni utekelezaji hivyo kufanikiwa hicho usemacho kwa Nchi hii ni ndoto miaka 60 ya Uhuru,Raslimani kila Mkoa Watanzania Maskini wa Kufa
Bro analysis yako imekaa vizuri sana.....subiri waje wapinga kila kitu
 
Aisee ndefu sana hii kiongozi ya na kuisoma mpaka iishe ni mtihani wa hatari
 
Umenikumbusha mbali kuna wimbo tuliimba tukiwa watoto kuadhimisha miaka kumi ya uhru kunabeti moja ilisema,"Wazee nao pia wamejuwa kusoma pongezi kwa baba Nyerere" sasa natafakari Wazee wa sasa wamejua kukariri tu ohoo kunasamaki bilioni mayai laki kadha tunadhahabu tani kadhaa tukiuza kilamtu anapata Noha na chenji inabaki kweli kwa ndoto hizi uchumi wa China tuna ukaribia .kabla ya kupeleka choo vha kiflash kijijini wapelekee maji na elimu ya kuvitumia na uwape njia ya kupata uwezo wa kulipia bili ya maji ya mwezi
 
Hapo unaposema wakipatikana maraisi kama Magufuli mimi ndio namashaka. Ni vigumu mno kumpata mtu kama Raisi Magufuli kwa sasa na hata siku zijazo ukitaka kujua hilo wewe angalia ni mambo mangapi anaazisha lakini wasaidizi wake ni kama wanakuwa hawamuelewi na utekelezaji wake unakuwa ni aidha wakusuasua au ni kwa shingo upande. Na wengine wanaogopa kufanya maamuzi ya kuwawajibisha watendaji wabovu wakiogopa kupoteza uungwaji mkono pale watakapotaka kugombea uraisi kwa siku sizajazo sijui hawajifunzi kwa yakiyotokea 2015.

Angalia swala la ufisadi ni kama yeye ndio analitilia mkazo sana wengine ni kama wanasubiri atoke waendelee pale walipoishia, jiulize ni mawaziri wangapi wametumbuliwa kwa kushindwa kutenda kile Raisi anataka.
Pia angalia sera ya viwanda ni nani anayepigia kelele vivyo hivyo ulipaji wa kodi.

Tuwe wakweli ili angalau tupate hali nzuri ya kiuchumi au uchumi wa kati hatuhitaji mtu kama Magufuli bali tunamuhitaji Magufuli kwa muda mrefu sana.
 
Kama wananchi watamuunga mkono kwa dhati hasa swala la uzalendo tutafikia kiwango kikubwa cha maendeleo. Wachina wamefanikiwa kwa kuwa kila mchina ni mzalendo.
 
Wachina wamefanikiwa kwa kuwa kila mchina ni mzalendo.
Wewe Jose nani kakudanganya tumia akili kidogo kwenye tope unaweza kukimbia? Usidanganyike bila vitu kusuginana hakuna kusogea hata darasa la wajinga mkikutana walio bora mtapitwa mbali sana
 
Hapo unaposema wakipatikana maraisi kama Magufuli mimi ndio namashaka. Ni vigumu mno kumpata mtu kama Raisi Magufuli kwa sasa na hata siku zijazo ukitaka kujua hilo wewe angalia ni mambo mangapi anaazisha lakini wasaidizi wake ni kama wanakuwa hawamuelewi na utekelezaji wake unakuwa ni aidha wakusuasua au ni kwa shingo upande. Na wengine wanaogopa kufanya maamuzi ya kuwawajibisha watendaji wabovu wakiogopa kupoteza uungwaji mkono pale watakapotaka kugombea uraisi kwa siku sizajazo sijui hawajifunzi kwa yakiyotokea 2015.

Angalia swala la ufisadi ni kama yeye ndio analitilia mkazo sana wengine ni kama wanasubiri atoke waendelee pale walipoishia, jiulize ni mawaziri wangapi wametumbuliwa kwa kushindwa kutenda kile Raisi anataka.
Pia angalia sera ya viwanda ni nani anayepigia kelele vivyo hivyo ulipaji wa kodi.

Tuwe wakweli ili angalau tupate hali nzuri ya kiuchumi au uchumi wa kati hatuhitaji mtu kama Magufuli bali tunamuhitaji Magufuli kwa muda mrefu sana.
kwel kabisa yani mzee anapambana sana ila wasaidiz wake kama hawamuelew hiv aise, dawa hapa tumpe tu atawale mpka achoke yy naamin akitawala hata.miaka 30 hiv atapatikana tu mrith wake.
 
Hayo ndiyo yameifikisha Libya ilipo sasa Mfumo wa Uongozi Mzuri ndiyo dawa,nakumbuka huko kanda ya Ziwa kulikuwa na matajiri kibao walipo twaliwa na Utajiri wao umepotea mfano Lupondije na banabakwe wapowapi ? Hivyo na Rais Mungu akimpenda sana sisi tubaki tunagombania Sgr Stigla Bombardier? Mfumo ndio dawa
 
UCHUMI WA TANZANIA KUWA KAMA CHINA IFIKAPO 2050 KAMA TUTAPATA MAGUFULI WENGINE WATATU BAADA YA 2025.

Leo 13:15pm,28/07/2019.

Kimsingi umaskini wa Tanzania ni umaskini wa kipato,ila takwimu zitaendelea kuielezea Tanzania kama Taifa tajiri kwa kuwa lina rasilimali nyingi kama Madini,Mito,Bahari na Maziwa makubwa,Ardhi kubwa yenye rutuba isiyo na watu wala kuwekezwa na yeyote yule,yumkini Tanzania ina watu Milioni sitini,mito inayotiririsha maji Mwaka mzima,Taifa la Tanzania lina rasilimali ya utalii na nyingine, lakini hoja inayokuja ni je zinatumiwa vipi!?

Kwa miaka hamsini tumekosa jibu la kwa nini Tanzania hatupigi hatua mbele licha ya utajiri mkubwa wa maliasili tulizonazo na sasa jibu tunapata katika awamu hii ya tano ya Rais John Magufuli,kwamba kumbe tukiamua tunaweza,Utendaji kazi makini,dhamira na Uzalendo wa dhati wa Rais Magufuli umetupa muarobaini wa kwa nini Tanzania imeshindwa kupiga hatua kwa miaka hamsini na sasa chini ya Jemedari Magufuli,Taifa limeanza kupiga hatua kwenda mbele.

-Kwa nini Tanzania haijapiga hatua mbele kwa miaka 50 iliyopita!?

Ni sawa tuna rasilimali nyingi,na rasilimali mojawapo ni madini,Sasa madini yanachimbwa, lakini wawekezaji ndiyo wengi,Mwekezaji ni mzungu,kaburu,beberu au bwenyenye sasa Tanzania itapataje faida!?

Sekta hii ya madini haina mwingiliano wa moja kwa moja na watu, na kama watu wa kawaida hawahusiki moja kwa moja inakuwa vigumu kuinuka kimapato,sasa ni vyema madini yakanufaisha mtaa husika,Wilaya husika,Mkoa husika na nchi husika kabla ya kwenda kunufaisha nchi za nje.

Tumeona hili likifanyika Afrika ya kusini,kila kwenye mgodi wa dhahabu kuna kiwanja cha kisasa kikubwa cha mpira,kila kwenye mgodi wa dhahabu kuna hospitali kila mtaa,kila Wilaya na kila Mkoa,kila kwenye mgodi wa dhahabu kuna huduma bora za kijamii ikiwemo barabara bora,Kiwanja kikubwa cha ndege,Shule bora kila mtaa,na ajita zaidi ya Milioni moja kwa Wananchi wa eneo husuka,

Ili mtu awe na kipato ni lazima afanye kazi.Kama watu wengi hawafanyi kazi ni lazima umaskini utaendelea,lakini tunayo nafasi ya kutumia maliasili zetu kutengeneza ajira zaidi ya milioni kila Mwaka.

-Miaka 30 iliyopita na Wimbi la Viongozi wasiotambua wanafanya nini na kwa manufaa ya nani!?

Tumekuwa na tatizo la viongozi wetu kutokutambua wanafanya nini ? kwa manufaa ya nani ? kwa sababbu kwa sera tunazotangaziwa magazetini na kelele za kupongeza bungeni zimekuwa si zenye kuleta tija kwa Taifa la Tanzania.

Kelele zilizopata kutoka bungeni zimekuwa hazitulengi wananchi moja kwa moja hivyo hazikuleta mabadiliko chanya lakini kwa sasa tunao badiliko chanya kutoka kwa Rais Magufuli mwenyewe na huku chini bado watu wapo kwenye usingizi mzito na kuamka hawataki.

Rais John Magufuli ametuletea badiliko la kifikra kumbe tunaweza kubadilika na kuachana na njia zetu ovu za zamani,mabadiliko ya sera,mabadiliko yanayolenga kubadili maisha ya mwananchi moja kwa moja.

Rais Magufuli ametuletea Sera ya Viwanda ili kuleta uwekezaji utakaozalisha ajira za kutosha na zinazokidhi mahitaji yetu,

-Hitaji la Wataalam wa kuvuna Maliasili zetu na kuzifanya zilete tija kwa Taifa la Tanzania.

Tuna maliasili nyingi kiasi hiki lakini vyuo vyetu vikuu havizalishi wataalamu katika kuzivuna na kutumia rasilimali tulizonazo.

Tuna Chuo Cha Kilimo Sua,katika kilimo tumejitahidi kubadili majina na kauli mbiu za kuhamasisha kilimo kwa kuwaachia wakulima wajiendee kama kuku wa kienyeji huku tukiendelea kuweka mazingira yasiyo rafiki kwa mkulima ambaye ndiye kundi kubwa la watanzania masikini.

-Mh Bashe na utaalamu Mpya katika maono yake juu ya Kilimo hapa Tanzania.

Tumeona ingizo jipya katika Wizara ya Kilimo, kilimo kikatusaidie kupiga hatua na tusiendelee kushika nafasi za juu kama nchi masikini zaidi wakati tunaweza kuufuta ndani ya miaka mitano tu kama tutakuwa na nia ya dhati kama alivyo Mh Rais wetu,Ndugu John Magufuli.

Maoni yangu kwa Mh Bashe ambaye anategemewa kwenda kuleta badiliko katika Kilimo hapa Tanzania ni kwamba tupitie sera zetu upya pasipo na sera tuziweke na tuhakikishe zinamlenga mwananchi katika maisha yake yakila siku vinginevyo tutaendelea kuwa na watu wasiofanyakazi huku tukilia umaskini ilihali tuna ardhi yenye rutuba,mvua zinazonyesha na mito inayotiririsha maji Mwaka mzima.

-Rais John Magufuli ndiye Rais wa kutekeleza mabadiliko ili Tanzania ipige hatua mbele.

Rais wa Tanzania, Daktari John Magufuli ametekeleza ndoto ya baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere toka miaka ya 70 baada ya kutambua kuwa nishati ya Umeme ni kichocheo cha maendeleo katika sekta zote zitakazoitoa Tanzania kwenye umasikini hadi kuifanya Taifa Tajiri duniani.

Kuupitia utekelezwaji wa mradi mkubwa wa Umeme wa Mto Rufiji,nchi yetu imeudhihirishia ulimwengu kuwa sisi ni Taifa huru linaloweza kujiamulia mambo yake kwa kuzingatia vipengele vyake,Rais Magufuli meonyesha Ulimwengu kuwa anaweza akaibadili Tanzania toka kwenye fikra duni za kinyonge hadi fikra chanya za kujikomboa kiuchumi na Tanzania kuwa nchi tajiri kama ilivyo China.

-Morogoro na Tanga zimepoteza Viwanda zaidi ya ishirini na ajira zaidi ya Milioni moja.

Toka kupotea kwa viwanda vya kuzalisha vyombo vya udongo pale Morogoro "Ceramics",Viwanda vya kuzalisha Viatu "Moro Shoes" Viwanda vya kuzalisha katani pale Tanga,Uchumi umekuwa ukiwanufaisha watu wachache, zaidi umekuwa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam, Mwanza na Arusha.

-Ahsante Rais Magufuli kwa kubadilisha Sera za Uchumi.

Ni hatua nzuri ya kubadilisha sera za uchumi ili kupunguza pengo la kiuchumi lililopo kati ya maeneo ya mijini na vijijini.

Kubadilishwa kwa Sera za Viwanda na ajira kuwepo Dar es Salaam tu kutabadili hali kubwa ya matabaka ya watu wenye ajira na wasio na ajira,watu wenye uwezo wa kiviwanda kwa uzalishaji na watu ambao hawana Viwanda, kuondoa watu walionacho wanaozidi kupata huku maskini wakizidi kuwa maskini.

Sekta ya viwanda haina budi kuboreshwa kwa kuhakikisha kuwa inakua.Katika sekta ya Kilimo tuakikishe inakuwa uti wa mgongo wa Taifa na inaajiri watu wengi,na ipate rasilimali za kutosha lakini watu katika sekta hiyo wajiepushe na ubadhirifu.

-Sekta ya Madini,Tanzanite,Dhahabu na Almasi sasa kunufaisha Taifa.

Madini kama Tanzanite ambayo yanapatikana Tanzania peke yake bado hayajawanufaisha Watanzania na inasemekana yamekuwa yakiuzwa nchi jirani badala ya soko lake kuwa nchini,Ahsante kwa Awamu ya tano kwa kujenga vituo rasmi vya kuuzia madini hapa nchini Tanzania.

Dhahabu na almasi ni madini mengine ambayo kama yangetumiwa vyema Tanzania isingetupwa mbali katika takwimu za uchumi duniani. Pia gesi ni rasilimali nyingine ya kuwaondoa watu kwenye umaskini.

Mbali na hayo Taifa lina raslimali nyingine kama vivutio vya kitalii na mapema mwaka huu vivutio vyake vitatu Mlima Kilimanjaro, Hifadhi za Ngorongoro na Serengeti vilishinda katika maajabu saba ya asili barani Afrika,lakini tatizo letu,Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam hakitoi wataalam wa kwenda kuvuna rasilimali hii na kuingiza nchini fedha ya kigeni na kuongeza pato la Taifa.

-Uzalishaji wa ajira bora na Maendeleo endelevu.

Uzalishaji wa ajira bora na uwezeshaji wa
maendeleo endelevu utahitaji uwekezaji katika
bidhaa tofauti tofauti ili kujenga sekta ya viwanda
iliyo imara,Tuna haja ya kuzalisha bidhaa nyingi na tofauti tofauti.

Kiuchumi matukio
ya kasi ya uzalishaji yanayoongozwa na viwanda
yamezalisha ajira nyingi zaidi kuliko sekta ya
huduma au kilimo.

Kukuza uchumi wa viwanda Tanzania kutasaidia kuleta
ajira zenye staha na ukuaji wa uchumi himilivu, na
vilevile, kuna haja ya kuruhusu makampuni kukua
bila vikwazo. Hivyo, sera ya viwanda na namna
ambavyo nchi zitajenga uchumi wa viwanda ni
masuala muhimu.

Nimalizie kwa ombi la kuondoa vikwazo vya kibiashara,kutopuuza namna ambavyo kaya masikini zinaathiriwa zaidi na orodha ya kodi kwa bidhaa nyeti kama mchele na sukari,majadiliano yafanyike kati ya wafanyabiashara na watunga sera, ili kuweza kuhamasisha biashara.

Nifikie tamati, kumshukuru Mungu kwa kuibariki Tanzania,Bariki na kumlinda Rais wetu John Magufuli,tupe neema sisi Watanzania kuweza kuvuna rasilimali zetu na kuzitumia vyema kuiendeleza nchi yetu ya Tanzania,tutumie rasilimali nyingi tulizonazo kuzalisha bidhaa tofauti tofauti na kutengeneza ajira zaidi ya milioni moja kila Mwaka.

Nikiishia hapa,Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854.
UCHUMI WA TANZANIA KUWA KAMA CHINA IFIKAPO 2050 KAMA TUTAPATA MAGUFULI WENGINE WATATU BAADA YA 2025.

Leo 13:15pm,28/07/2019.

Kimsingi umaskini wa Tanzania ni umaskini wa kipato,ila takwimu zitaendelea kuielezea Tanzania kama Taifa tajiri kwa kuwa lina rasilimali nyingi kama Madini,Mito,Bahari na Maziwa makubwa,Ardhi kubwa yenye rutuba isiyo na watu wala kuwekezwa na yeyote yule,yumkini Tanzania ina watu Milioni sitini,mito inayotiririsha maji Mwaka mzima,Taifa la Tanzania lina rasilimali ya utalii na nyingine, lakini hoja inayokuja ni je zinatumiwa vipi!?

Kwa miaka hamsini tumekosa jibu la kwa nini Tanzania hatupigi hatua mbele licha ya utajiri mkubwa wa maliasili tulizonazo na sasa jibu tunapata katika awamu hii ya tano ya Rais John Magufuli,kwamba kumbe tukiamua tunaweza,Utendaji kazi makini,dhamira na Uzalendo wa dhati wa Rais Magufuli umetupa muarobaini wa kwa nini Tanzania imeshindwa kupiga hatua kwa miaka hamsini na sasa chini ya Jemedari Magufuli,Taifa limeanza kupiga hatua kwenda mbele.

-Kwa nini Tanzania haijapiga hatua mbele kwa miaka 50 iliyopita!?

Ni sawa tuna rasilimali nyingi,na rasilimali mojawapo ni madini,Sasa madini yanachimbwa, lakini wawekezaji ndiyo wengi,Mwekezaji ni mzungu,kaburu,beberu au bwenyenye sasa Tanzania itapataje faida!?

Sekta hii ya madini haina mwingiliano wa moja kwa moja na watu, na kama watu wa kawaida hawahusiki moja kwa moja inakuwa vigumu kuinuka kimapato,sasa ni vyema madini yakanufaisha mtaa husika,Wilaya husika,Mkoa husika na nchi husika kabla ya kwenda kunufaisha nchi za nje.

Tumeona hili likifanyika Afrika ya kusini,kila kwenye mgodi wa dhahabu kuna kiwanja cha kisasa kikubwa cha mpira,kila kwenye mgodi wa dhahabu kuna hospitali kila mtaa,kila Wilaya na kila Mkoa,kila kwenye mgodi wa dhahabu kuna huduma bora za kijamii ikiwemo barabara bora,Kiwanja kikubwa cha ndege,Shule bora kila mtaa,na ajita zaidi ya Milioni moja kwa Wananchi wa eneo husuka,

Ili mtu awe na kipato ni lazima afanye kazi.Kama watu wengi hawafanyi kazi ni lazima umaskini utaendelea,lakini tunayo nafasi ya kutumia maliasili zetu kutengeneza ajira zaidi ya milioni kila Mwaka.

-Miaka 30 iliyopita na Wimbi la Viongozi wasiotambua wanafanya nini na kwa manufaa ya nani!?

Tumekuwa na tatizo la viongozi wetu kutokutambua wanafanya nini ? kwa manufaa ya nani ? kwa sababbu kwa sera tunazotangaziwa magazetini na kelele za kupongeza bungeni zimekuwa si zenye kuleta tija kwa Taifa la Tanzania.

Kelele zilizopata kutoka bungeni zimekuwa hazitulengi wananchi moja kwa moja hivyo hazikuleta mabadiliko chanya lakini kwa sasa tunao badiliko chanya kutoka kwa Rais Magufuli mwenyewe na huku chini bado watu wapo kwenye usingizi mzito na kuamka hawataki.

Rais John Magufuli ametuletea badiliko la kifikra kumbe tunaweza kubadilika na kuachana na njia zetu ovu za zamani,mabadiliko ya sera,mabadiliko yanayolenga kubadili maisha ya mwananchi moja kwa moja.

Rais Magufuli ametuletea Sera ya Viwanda ili kuleta uwekezaji utakaozalisha ajira za kutosha na zinazokidhi mahitaji yetu,

-Hitaji la Wataalam wa kuvuna Maliasili zetu na kuzifanya zilete tija kwa Taifa la Tanzania.

Tuna maliasili nyingi kiasi hiki lakini vyuo vyetu vikuu havizalishi wataalamu katika kuzivuna na kutumia rasilimali tulizonazo.

Tuna Chuo Cha Kilimo Sua,katika kilimo tumejitahidi kubadili majina na kauli mbiu za kuhamasisha kilimo kwa kuwaachia wakulima wajiendee kama kuku wa kienyeji huku tukiendelea kuweka mazingira yasiyo rafiki kwa mkulima ambaye ndiye kundi kubwa la watanzania masikini.

-Mh Bashe na utaalamu Mpya katika maono yake juu ya Kilimo hapa Tanzania.

Tumeona ingizo jipya katika Wizara ya Kilimo, kilimo kikatusaidie kupiga hatua na tusiendelee kushika nafasi za juu kama nchi masikini zaidi wakati tunaweza kuufuta ndani ya miaka mitano tu kama tutakuwa na nia ya dhati kama alivyo Mh Rais wetu,Ndugu John Magufuli.

Maoni yangu kwa Mh Bashe ambaye anategemewa kwenda kuleta badiliko katika Kilimo hapa Tanzania ni kwamba tupitie sera zetu upya pasipo na sera tuziweke na tuhakikishe zinamlenga mwananchi katika maisha yake yakila siku vinginevyo tutaendelea kuwa na watu wasiofanyakazi huku tukilia umaskini ilihali tuna ardhi yenye rutuba,mvua zinazonyesha na mito inayotiririsha maji Mwaka mzima.

-Rais John Magufuli ndiye Rais wa kutekeleza mabadiliko ili Tanzania ipige hatua mbele.

Rais wa Tanzania, Daktari John Magufuli ametekeleza ndoto ya baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere toka miaka ya 70 baada ya kutambua kuwa nishati ya Umeme ni kichocheo cha maendeleo katika sekta zote zitakazoitoa Tanzania kwenye umasikini hadi kuifanya Taifa Tajiri duniani.

Kuupitia utekelezwaji wa mradi mkubwa wa Umeme wa Mto Rufiji,nchi yetu imeudhihirishia ulimwengu kuwa sisi ni Taifa huru linaloweza kujiamulia mambo yake kwa kuzingatia vipengele vyake,Rais Magufuli meonyesha Ulimwengu kuwa anaweza akaibadili Tanzania toka kwenye fikra duni za kinyonge hadi fikra chanya za kujikomboa kiuchumi na Tanzania kuwa nchi tajiri kama ilivyo China.

-Morogoro na Tanga zimepoteza Viwanda zaidi ya ishirini na ajira zaidi ya Milioni moja.

Toka kupotea kwa viwanda vya kuzalisha vyombo vya udongo pale Morogoro "Ceramics",Viwanda vya kuzalisha Viatu "Moro Shoes" Viwanda vya kuzalisha katani pale Tanga,Uchumi umekuwa ukiwanufaisha watu wachache, zaidi umekuwa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam, Mwanza na Arusha.

-Ahsante Rais Magufuli kwa kubadilisha Sera za Uchumi.

Ni hatua nzuri ya kubadilisha sera za uchumi ili kupunguza pengo la kiuchumi lililopo kati ya maeneo ya mijini na vijijini.

Kubadilishwa kwa Sera za Viwanda na ajira kuwepo Dar es Salaam tu kutabadili hali kubwa ya matabaka ya watu wenye ajira na wasio na ajira,watu wenye uwezo wa kiviwanda kwa uzalishaji na watu ambao hawana Viwanda, kuondoa watu walionacho wanaozidi kupata huku maskini wakizidi kuwa maskini.

Sekta ya viwanda haina budi kuboreshwa kwa kuhakikisha kuwa inakua.Katika sekta ya Kilimo tuakikishe inakuwa uti wa mgongo wa Taifa na inaajiri watu wengi,na ipate rasilimali za kutosha lakini watu katika sekta hiyo wajiepushe na ubadhirifu.

-Sekta ya Madini,Tanzanite,Dhahabu na Almasi sasa kunufaisha Taifa.

Madini kama Tanzanite ambayo yanapatikana Tanzania peke yake bado hayajawanufaisha Watanzania na inasemekana yamekuwa yakiuzwa nchi jirani badala ya soko lake kuwa nchini,Ahsante kwa Awamu ya tano kwa kujenga vituo rasmi vya kuuzia madini hapa nchini Tanzania.

Dhahabu na almasi ni madini mengine ambayo kama yangetumiwa vyema Tanzania isingetupwa mbali katika takwimu za uchumi duniani. Pia gesi ni rasilimali nyingine ya kuwaondoa watu kwenye umaskini.

Mbali na hayo Taifa lina raslimali nyingine kama vivutio vya kitalii na mapema mwaka huu vivutio vyake vitatu Mlima Kilimanjaro, Hifadhi za Ngorongoro na Serengeti vilishinda katika maajabu saba ya asili barani Afrika,lakini tatizo letu,Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam hakitoi wataalam wa kwenda kuvuna rasilimali hii na kuingiza nchini fedha ya kigeni na kuongeza pato la Taifa.

-Uzalishaji wa ajira bora na Maendeleo endelevu.

Uzalishaji wa ajira bora na uwezeshaji wa
maendeleo endelevu utahitaji uwekezaji katika
bidhaa tofauti tofauti ili kujenga sekta ya viwanda
iliyo imara,Tuna haja ya kuzalisha bidhaa nyingi na tofauti tofauti.

Kiuchumi matukio
ya kasi ya uzalishaji yanayoongozwa na viwanda
yamezalisha ajira nyingi zaidi kuliko sekta ya
huduma au kilimo.

Kukuza uchumi wa viwanda Tanzania kutasaidia kuleta
ajira zenye staha na ukuaji wa uchumi himilivu, na
vilevile, kuna haja ya kuruhusu makampuni kukua
bila vikwazo. Hivyo, sera ya viwanda na namna
ambavyo nchi zitajenga uchumi wa viwanda ni
masuala muhimu.

Nimalizie kwa ombi la kuondoa vikwazo vya kibiashara,kutopuuza namna ambavyo kaya masikini zinaathiriwa zaidi na orodha ya kodi kwa bidhaa nyeti kama mchele na sukari,majadiliano yafanyike kati ya wafanyabiashara na watunga sera, ili kuweza kuhamasisha biashara.

Nifikie tamati, kumshukuru Mungu kwa kuibariki Tanzania,Bariki na kumlinda Rais wetu John Magufuli,tupe neema sisi Watanzania kuweza kuvuna rasilimali zetu na kuzitumia vyema kuiendeleza nchi yetu ya Tanzania,tutumie rasilimali nyingi tulizonazo kuzalisha bidhaa tofauti tofauti na kutengeneza ajira zaidi ya milioni moja kila Mwaka.

Nikiishia hapa,Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854.
na china itakuwa wapi by then? uchumi cyo rasilimali, its all about brains & tech.
 
Back
Top Bottom