Gerson Msigwa, Chato hakuna Ikulu

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,373
73,975
Msigwa, hii si kweli, Chato hakuna Ikulu. Hapo ni nyumbani kwa Magufuli. Barua yako hii chini is misleading!
Anywaya, usije kulamba kikombe cha Ndugulile.

2401425_20200516_21060062162.jpg
 
Sawasawa kwenu lolote linawezakana sijui ile gharama iliyotumika kujenga Ikulu Dodoma yaweza kuwa matumizi mabaya ya fedha za umma kwa sababu Ikulu zimetapakaa nchi nzima sasa sijui mnatuambiaje?
Alipo Raisi na ofisi yake ipo hapo aweza idhinisha chochote au toa tamio au teua nk mentality ya kudhani ofisi ya Raisi ni jengo lililo mahali Fulani sio sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau huo ni utaratibu wa kutoa communique popote duniani, ukiangalia address ni ya makao makuu ya Rais/nchi kwa sasa (hiyo ndiyo formal address kwa sasa), bali chini lazima barua ionyeshe ilipoandikiwa/ maamuzi yalipofanyika kwa wakati huo.(yaweza kuwa Katavi, Babati, Mtwara etc) .
 
Alipo Raisi na ofisi yake ipo hapo aweza idhinisha chochote au toa tamio au teua nk mentality ya kudhani ofisi ya Raisi ni jengo lililo mahali Fulani sio sahihi
Pamoja na hayo, kwenye hiyo baua hakuna sehemu imeandikwa ikulu ya Chato, ki uandishi yuko sahihi kabisa kwani kaandika cheo chake na chini kaandika Chato ikimaanisha wakati analipoti tukio alikuwa eneo la Chato hiyo
 
Alipo Raisi na ofisi yake ipo hapo aweza idhinisha chochote au toa tamio au teua nk mentality ya kudhani ofisi ya Raisi ni jengo lililo mahali Fulani sio sahihi
Yeye Magufuli huko Yuko na mkewe na anapata huduma za kinyumba Kama kawaida. Vipi Msigwa huduma za kinyumba anapatia wapi, maana ana muda mrefu Sana huko, au naye mke wake Yuko huko?

Kama mke wa Msigwa Yuko huko kwa muda wote was miezi miwili, je Yuko huko kwa gharama za Nani?
Kama ni gharama za serikali je hayo ni matumizi sahihi ya fedha zetu?

Kama Msigwa huko Yuko mwenyewe je huo sio ukiukwaji wa haki za binadamu kwa kukandamiza haki ya kupata burudani kwa mama Msigwa na Msigwa mwenyewe?

Vipi kuhusu watoto nyumbani, nao si wana haki ya kupata mapenzi ya baba na Mama?
BAK, Pascal Mayalla na Mshana Jr, Salary Slip , Bia yetu, jingalao, Retired, Naombeni mnisaidie majibu
 
Yeye Magufuli huko Yuko na mkewe na anapata huduma za kinyumba Kama kawaida. Vipi Msigwa huduma za kinyumba anapatia wapi, maana ana muda mrefu Sana huko, au naye mke wake Yuko huko?

Kama mke wa Msigwa Yuko huko kwa muda wote wa miezi miwili, je Yuko huko kwa gharama za Nani?

Back
Top Bottom