Uchaguzi 2020 Tujiulize, tumuulize anautaka Urais kwa maslahi ya nani?

digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
7,894
14,353
Wakuu natumaini kuwa hamjambo na mnaendelea na shughuli zenu kama kawaida.

Naomba niende kwenye hoja yangu. Wahenga walisema Muda ni mwalimu mzuri, Bwana huyu anayeitwa Tundu Lissu baada ya kujeruhiwa na kunusurika kifo alikimbilia ughaibuni akidai kuwa anaenda pata matibabu, akiwa huko ughaibuni alitumia njia za kila aina kuichafua nchi yetu na kumchafua rais wetu, na alijiapiza kuwa lazima nchi wahisani zikome kutoa misaada kwa Tanzania na Watanzania.

Baada ya kuona hoja na chuki zake hazijazaa matunda amebadili uelekeo na kuutaka urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akijidai eti ni mtetezi wa wanyonge, wanyonge wepi hao anaowatetea wakati akiwa ng'ambo aliwatakia maisha mabaya?

Huyu Lissu kwa kauli zake ambazo amekuwa akizitoa zinathibitisha kuwa ana nia ovu imefichika juu ya kuutaka urais, na kwa akili zake anaamini kabisa Watanzania watampa kura. Chonde chonde Watanzania tumuepuke huyu mtu, nikimwangalia naona kama kuna nguvu nyuma yake, nguvu hiyo siyo zuri maana imelenga kuharibu mstakabari na umoja wa taifa letu.

Shime Watanzania, Lissu ni garasa tusijaribu kuharibu umoja na mshikamano wetu uliodumu kwa miaka zaidi ya 50 kumpa kura eti awe Rais maana huyu mtu ni mbinafsi, ni mwenye chuki na hana staha mdomoni kwake, lakini pia anatumika kuharibu amani ya taifa letu.
 
Hana jipya huyo, ana miluzi mingi ya kumpoteza mbwa.

WaTZ wa Sasa si wa 2015 wa gia za angani na zungusha!zungusha!

Tena mfitini Sana huyo,Naona suala la Bomberdia na beberu wake wa south, Machenikia, na dictator uchwara zimeputa Kama upepo.

Sa hivi anakwambia anaskia Kuna watu wanakufa na Corona huku yeye na genge lake la kula rudhuku walijazana Airport na wanaendelea kujazana.
 
Mlizoea vya kunyonga sasa mnatakiwa mchinje mnaanza kuweweseka
 
Sana sana wametuzidishia umasikini kwa zaidi ya miaka 60 ya uhuru
Kwahiyo wewe akili zako unazifikiria makaliona?

Kura atapigiwa na kushinda atashinda.

Kinachokuuma nini hasa?

Wewe umelifanyia nini taifa lako kwenye umri wako ulionao?
 
Wewe mwenyewe umeacha lini hiyo kazi? Twambie mombasa ulifukuzwa kwa tatizo gani?
Sema kwa maslahi yenu ninyi mash** ga na si watanzania wote,
Hakuna mtu mpayukaji kila siku awe na maslahi kwa nchi.
 
Back
Top Bottom