Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,172
- 286,060
Hili ni swali tu ndugu zangu , wala halina uhusiano na jambo lingine lolote .
Ieleweke kwamba Mkoa wa DSM kama ilivyo mikoa mingine umeishaongozwa na Wakuu tofauti tofauti wa Mkoa , kwa uchache nitaweka majina kadhaa , Tukianza na Marehemu Kandoro , Marry Chipungahelo , Mecky Sadik , Yusuph Makamba na Ditopile Mzuzuri
Uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti , leo huyu kesho yule , hakuna kiongozi wa milele .
Pendekeza jina la umtakaye hata kama itafika miaka 15 ijayo .
Wakati si milele