Rais Dkt John Magufuli Ampongeza Rais Museveni kwa ushindi wa Kishindo kwenye Uchaguzi Mkuu Uganda

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,203
4,674
Ametoa pongezi hizo leo kupitia ukurasa wake maalumu wa Twitter

Rais Magufuli amempongeza Rais Yoweli Kaguta Museveni kwa ushindi mnono huku akiahidi kudumisha undugu na urafiki uliopo kwa maslahi ya nchi zote mbili

Aidha amewapongeza Wananchi wa Uganda kwa kufanikisha Uchaguzi huo huku akiwaomba kuzidi kutunza na kudumisha amani nchini mwao.
==
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempongeza Rais Yoweri Museveni wa Uganda kwa kuchaguliwa na kutangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Uganda kuwa mshindi wa Urais

Rais Magufuli amesema Tanzania itaendeleza urafiki na udugu uliopo kwa maslahi mapana ya wananchi. Pia amewapongeza waganda kwa kumaliza Uchaguzi Mkuu kwa amani

Januari 16, Tume ya Uchaguzi ya Uganda ilisema Yoweri Museveni amepata Kura 5,851,037 sawa na 58.64% akifuatiwa na Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) akipata Kura 3,475,298 sawa na 34.83%
1610861936133.png
 
Mu7 a.k.a Babu amechokwa ila tatizo Wagombea wa upinzani nao ni vimeo...Besigye angewafaa Waganda kuliko BobiMvinyo.
 
Chadema na Bob Wine wameshindwa uchaguzi Uganda

Museveni katangazwa mshindi kwa asilimia 58
Haki imetamalaki.... bila kuzima mitandao, usalama na majeshi haiwezekani! Kilichotokea tz kuzima mitandao ndo kimetokea Uganda!
RAISI DICTATOR ANAMPONGEZA DICTATOR HAHHAHA. HABARI NININI HAPO????
 
Back
Top Bottom