Yaliyofanikishwa na Dr Dorothy Gwajima ndani ya wiki chache pale Wizara ya Afya

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,182
2,000
1-Fedha za dawa awamu ya kwanza zimeingia MSD

2-Ameyaamsha mabaraza ya kiataaluma ambayo yalikuwa yanakusanya fedha tu kutoka kwa wataalamu bila kutekeleza majukumu yao kikamilifu.kwa mara ya kwanza nimeona wasajili wa mabaraza ya kitaaluma wakianza kujiwajibisha.

3-Amewezesha viongozi wakuu mfano Jaffo na Waziri mkuu kutoa maagizo kuhusu bima ya afya ya jamii

4 -Ameiweka sekta ya afya kwenye media/jamii ikaanza kuongelewa kama sekta ya elimu

5-Ameonesha roles za wakurugenzi,waweka hazina,wakaguzi wa ndani, maafisa maendeleo ya jamii, ma IT, jamii n.k katika kuiboresha sekta ya afya.

6-Ameboresha mfumo wa ushughulikiaji kero ndogo ndogo za jamii katika afya kwa wakati

7-Ameiamsha MSD katika kusaka muarubaini wa ukosefu wa vifaa tiba

8-Amewanyoosha wanaojipigia fedha za miradi mfano kuwakataza wasiende kihokela mikoani badala yake wamobilize na kucoordinate hizo resources ili kufanya usimamizi wenye matokeo.

9-Amehimiza uwajibikaji wa wataalamu kwa kutumia miongozo iliyopo.
10-Hivi karibuni huduma za afya zitaanza kulipiwa kama maji na luku kupitia MPESA,AIRTEL MONEY N.K
11-HAJATUMBUA ASIYE NA KOSA.KILIO KINATOKA WAPI??

HAYA MACHACHE LAZIMA YAAMSHE JOTO

USHAURI: JUDGE FROM ISSUES NOT PERSONALITY AND STYLE!!!

ITAENDELEA...

BY MJEDA ALIOPO FRONTLINE CHINI YA FIELD MARSHALL GWAJIMA
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,182
2,000
Ngoja watetea majizi na mafisadi chadema waje.

Sasa hivi badala ya kujihoji kwa nini Chadema imekufa kila mahali ,wako bize kumzuia waziri Dr Gwajima asitimize majukumu yake.
wapigaji ndani ya sekta ya afya wanajua wazi kuwa watateseka sasa wanataka kum-dilute mama ...WATAKWAMISHWA!!
 
Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
6,304
2,000
1-Fedha za dawa awamu ya kwanza zimeingia MSD

2-Ameyaamsha mabaraza ya kiataaluma ambayo yalikuwa yanakusanya fedha tu kutoka kwa wataalamu bila kutekeleza majukumu yao kikamilifu.kwa mara ya kwanza nimeona wasajili wa mabaraza ya kitaaluma wakianza kujiwajibisha.

3-Amewezesha viongozi wakuu mfano Jaffo na Waziri mkuu kutoa maagizo kuhusu bima ya afya ya jamii

4 -Ameiweka sekta ya afya kwenye media/jamii ikaanza kuongelewa kama sekta ya elimu

5-Ameonesha roles za wakurugenzi,waweka hazina,wakaguzi wa ndani, maafisa maendeleo ya jamii, ma IT, jamii n.k katika kuiboresha sekta ya afya.

6-Ameboresha mfumo wa ushughulikiaji kero ndogo ndogo za jamii katika afya kwa wakati

7-Ameiamsha MSD katika kusaka muarubaini wa ukosefu wa vifaa tiba

8-Amewanyoosha wanaojipigia fedha za miradi mfano kuwakataza wasiende kihokela mikoani badala yake wamobilize na kucoordinate hizo resources ili kufanya usimamizi wenye matokeo.

9-Amehimiza uwajibikaji wa wataalamu kwa kutumia miongozo iliyopo.

10-HAJATUMBUA ASIYE NA KOSA.

HAYA MACHACHE LAZIMA YAAMSHE JOTO

USHAURI: JUDGE FROM ISSUES NOT PERSONALITY AND STYLE!!!

ITAENDELEA...

BY MJEDA ALIOPO FRONTLINE CHINI YA FIELD MARSHALL GWAJIMA
Yule bi mkubwa ni jembe
 
intelinside

JF-Expert Member
May 21, 2015
266
500
Bi mkubwa yuko njema sana, ongezea kuwa ameonyesha umuhimu wa kuteua mawaziri amabao wamebobea sekta husika zinazosimamiwa na wizara husika, hasa waliokwisha kutumikia sekta hizo.
 
COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,526
2,000
1-Fedha za dawa awamu ya kwanza zimeingia MSD

2-Ameyaamsha mabaraza ya kiataaluma ambayo yalikuwa yanakusanya fedha tu kutoka kwa wataalamu bila kutekeleza majukumu yao kikamilifu.kwa mara ya kwanza nimeona wasajili wa mabaraza ya kitaaluma wakianza kujiwajibisha.

3-Amewezesha viongozi wakuu mfano Jaffo na Waziri mkuu kutoa maagizo kuhusu bima ya afya ya jamii

4 -Ameiweka sekta ya afya kwenye media/jamii ikaanza kuongelewa kama sekta ya elimu

5-Ameonesha roles za wakurugenzi,waweka hazina,wakaguzi wa ndani, maafisa maendeleo ya jamii, ma IT, jamii n.k katika kuiboresha sekta ya afya.

6-Ameboresha mfumo wa ushughulikiaji kero ndogo ndogo za jamii katika afya kwa wakati

7-Ameiamsha MSD katika kusaka muarubaini wa ukosefu wa vifaa tiba

8-Amewanyoosha wanaojipigia fedha za miradi mfano kuwakataza wasiende kihokela mikoani badala yake wamobilize na kucoordinate hizo resources ili kufanya usimamizi wenye matokeo.

9-Amehimiza uwajibikaji wa wataalamu kwa kutumia miongozo iliyopo.

10-HAJATUMBUA ASIYE NA KOSA.

HAYA MACHACHE LAZIMA YAAMSHE JOTO

USHAURI: JUDGE FROM ISSUES NOT PERSONALITY AND STYLE!!!

ITAENDELEA...

BY MJEDA ALIOPO FRONTLINE CHINI YA FIELD MARSHALL GWAJIMA
Wataelewa tu
IMG-20210117-WA0083.jpeg
 
Matrix19

JF-Expert Member
Feb 24, 2020
1,658
2,000
Umeongea vingi ila umeacha kimoja cha msingi ngoja nikusaidie ! HAJABORESHA MASLAHI NA WALA HAJAONGELEA KUBORESHA MASLAHI YA WATUMISHI WA AFYA ! SHAME ON U
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,182
2,000
Sekta ya Afya ina sources of funds kama ifuatavyo...
1-Uchangiaji wa huduma kwa cash yaani papo kwa papo, hii ni endelevu na itaifanya ijitegemee.
2-Bima za afya rasmi mfano NHIF,NSSF,AAR
Hii pia ni endelevu inatupeleka kwenye kupata hiduma cashless bila usumbufu.pia inaensure group dogo kulibeba group kubwa.hii pia inaweza kubeba makundi yanayojulikana kama ya misamaha mfano wazazi,wazee,magonjwa sugu na watoto chini ya miaka mitano.
ni aibu mtu analipia bima ya pikipiki halafu anashindwa kulipa bima ya afya yake...haya ni matokeo ya hulka chafu ya utegemezi kwenye afya.

3-Bima ya afya ya jamii CHF...hii imewalenga watanzania wengi wenye kipato cha chini ingawa wanamiliki kuku,mbuzi na ng'ombe.
waliaminishwa tu kuwa afya ni bure kwa hisani ya wamerakani.

4-Fedha za miradi ya wafadhili
Hii ni fedha inayoletwa kutoa madeal ya kibiashara ya nchi za walami.mara nyingi na kiasi kikubwa inafaidisha NGOs zao na kutoa ajira kwa wananchi wao.fedha hii sio endelevu bali ni mtego wakutufanya tuendelee kutawalika na mabeberu.
5-Fedha za kodi serikalini
Hapa kuna poor comittment ya kiserikali katika kuitambua sekta ya afya kama sekta muhimu.
yaani ukiuliza kijiji au kata kimetoa gawio kiasi gani kwa sekta ya afya utashangaa.

KAZI MUHIMU KWA FIELD MARSHALL ni kuhakikisha tunawekeza nguvu katika namba 5,3,2 na 1 Ili tusimame kama Taifa....ninao uhakika kuwa atalifanikisha hili.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,182
2,000
Umeongea vingi ila umeacha kimoja cha msingi ngoja nikusaidie ! HAJABORESHA MASLAHI NA WALA HAJAONGELEA KUBORESHA MASLAHI YA WATUMISHI WA AFYA ! SHAME ON U
maslahi ya watumishi ameyagusa kwa kuwabana wachache waliokuwa wanayafaidi in the expence ya watumishi wengi.
 
Oct 22, 2020
78
150
Umeongea vingi ila umeacha kimoja cha msingi ngoja nikusaidie ! HAJABORESHA MASLAHI NA WALA HAJAONGELEA KUBORESHA MASLAHI YA WATUMISHI WA AFYA ! SHAME ON U
Unaleta ubinafsi. Akuongelee wewe ili iweje? Umesahau Nape alivyojifanya ni waziri wa wana habari? Huyu siyo waziri wa madaktari, bhana!
Field Marshal.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom