Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Walimu wahamishwa kwa nguvu Mwanza - Halmshauri ya Jiji la Mwanza imewahamisha kwa nguvu kwenye nyumba walizokuwa wanakaa walimu wanne wa shule za sekondari Mlimani, Mapango na Pamba za Jiji hilo...
7 Reactions
56 Replies
5K Views
Waziri wa foreign affairs Prof Kabudi na watendaji wakuu wa wizara yake wamekutana na makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar maalim Seif na kukubaliana kuchapa kazi kwa pamoja. Maalim Seif amesema...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Kuelekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa...
23 Reactions
190 Replies
21K Views
Hatunao tena wapendwa wetu Ni Dorcas na Doreen Lemshungu waliozaliwa Julai 2020 na kisha kukabidhiwa kwa Masista wa Theresia wa kituo cha kulelea watoto Tosamaganga Mkoani Iringa. Wendazake...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Juzi Alhamis nilialikwa ITV, Malumbano ya Hoja kuhusu Mfumo wetu wa elimu. Ukweli ni kwamba nchi yetu tuna sera nzuri sana ya 2014 na ilizinduliwa na Kikwete kwa Shamrashamra watu wakisifu sasa...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
JE, NI SHERIA BUTU, UZEMBE AU NI MAZOEA? Na Elius Ndabila 0768239284 Nikitazama mchakamchaka wa watumishi pale tu Mkuu wa nchi anapotoa maagizo ninabaki kujiuliza je ni sheria zetu butu, je ni...
1 Reactions
3 Replies
824 Views
Wizara ya Fedha na Mipango inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa iliyoandikwa kwenye gazeti la Mtanzania toleo la tarehe 18/12/2019 yenye kichwa cha habari “Wastaafu EAC waibuka na mafao yao”...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Nani asiye wajua jinsi mlivyo na shobo za kisiasa? Jinsi mnavyojua kuyavalia bango makosa ya CCM na serikali yake. Eti mnazuga mmeamua kukaa kimya baada ya kuona mlidhurumiwa uchaguzi mkuu...
3 Reactions
83 Replies
7K Views
Mheshimiwa Dkt. John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Amani iwe kwako! Mheshimiwa Rais! Mimi Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula, nisimamaye katika zamu yangu kama Mtumishi wa...
18 Reactions
106 Replies
10K Views
VIONGOZI WA DINI WATUMIA TBC KUTOA MAONI YAO KUMSIFIA RAIS MAGUFULI. Tarehe 9 Desemba 2020 majira ya Saa 9 asubuhi. Nipo katika runinga nikitazama na kuangalia kipindi maalum katika TBC. Kuna...
10 Reactions
62 Replies
6K Views
Ni wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka. Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute...
3 Reactions
81 Replies
7K Views
Kwa ukweli bila ushabiki wa kisiasa au kejeli, nchi hii imemkosa Rais ambaye alikuwa na fikra chanya nafasi ilipo patikana ya kufanya hivyo Oktoba 2020. Ukimsikiliza Lissu alivyozungumzia huo...
15 Reactions
89 Replies
7K Views
Wapo waliotembea kwa miguu, baadhi yao walitumia baiskeli, wengine walitumia bodaboda, wachache walitumia Ubber na taxi huku wengi walitumia daladala. Lakini wote walishangaa wakitekwa nyara na...
9 Reactions
28 Replies
3K Views
TANZANIA! TANZANIA! TANZANIA! SIKIA SAUTI YA ASKOFU! Askofu Mkuu Oscar Romero wa Kanisa [Roman] Katoliki nchini El Salvador alipokuwa akitetea haki hakuwa na nia ya kugombea nafasi za kisiasa...
14 Reactions
50 Replies
6K Views
Nathan Peter (pichani) au Padre Haule ambaye ni Kasisi wa Kanisa Anglikana Tanzania ameamua kujilipua kwa kuandika yafuatayo katika kuchangia andiko langu katika ukurasa wangu: "Kama unatumwa na...
13 Reactions
88 Replies
9K Views
Hii habari nimesoma twitter, habari inayosema watoto wadogo wanapimwa uzito kwa kuning'inizwa kwenye mti huko wilayni Tarime mkoa wa Mara(kuna picha ikionyesha tukio hilo). Hakika nimeshangazwa...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwaka 2025 kiuhalisia sio mbali sana. Uchaguzi wa Viongozi kwenye mfumo wa kisiasa nimchakato wa kudumu unaohitaji maandalizi ya kina. Najiuliza wenzetu wa upande wa 2 wamejiandaaje na awamu ya...
-1 Reactions
44 Replies
4K Views
Natafakari tu. Iwapo makao makuu ya CHADEMA bado yapo Dar es salaam hadi leo yawezekana chama hicho hakikubaliani na sera ya kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma. Je, unadhani ni nini Tundu...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kutoheshimu katiba ya nchi unayo apa kuifuata na kuilinda ni kosa kubwa la pili baada ya uhaini na mauaji. Spika wa Bunge Job Ndugai na Katibu wa Bunge wanapaswa kupelekwa mahakamani kama sio leo...
23 Reactions
62 Replies
8K Views
Jana na leo kumetrend ' habari na picha ya Waziri Mkuu akitoa msaada kwa binti mwenye Ulemavu. Habari hiyo imenogeshwa na baadhi ya vyombo vya habari kwa kumuonesha Waziri Mkuu akilia kwa namna...
2 Reactions
0 Replies
704 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…