Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,312
- 24,171
Tumefika mahali sasa CCM tuongoze nchi bila figisu.
Si tulishinda uchaguzi, shehmu nyingine tena bila kupingwa.
Tuna Bunge sasa CCM ndio tupo wengi Bungeni toka kuanza siasa za vyama vingi.
Lakini sasa tujihadhari mambo mawili au matatu.
Maoni ya wananchi kuhusiana kero hayategemei chama.
Vyama lengo lake kuu ni kushika tu madaraka na kutawaa dola.
Maoni ya wananchi juu ya kero zao yanabaki pale pale.
Serikali ikiboronga iwepo CCM au isiwepo watu wata sema tu.
Tupende tusipende.
Nako Bungeni suala la kusuguana kati ya serikali na wabunge ni a matter of time.
Ile ndiyoooooo.... iliyokuwepo kabla ya kuwaondoa wapinzani Bungeni kwa kura sasa itaonekana haina maana sana.
Party caucus sasa ni laima itakosa maana, caucus ya nini wakati Bunge limetwaliwa na chama kimoja.
Si ajabu kutokea wabunge ndani ya CCM Bungeni watakao itoa jasho serikali, kwa hoja zenye mashiko.
Tunalikumbuka lile kundi la Njelu Kasaka, G55.
Hivyo basi its not rest easy!
Serikai ijikite kutatua matatizo ya wananchi.