Kwani Bunge likibadilisha Katiba na kuondoa ukomo wa Rais kubaki madarakani Uchaguzi Mkuu wa 2025 hautafanyika?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,089
2,000
Nauliza tu kwa wataalamu wa masuala ya Katiba.

Ninavyofahamu mgombea urais hupendekezwa na Chama cha Siasa na kuchaguliwa na Wananchi.

Kwa mfano Katiba ikibadilishwa na CCM wakamsimamisha tena Dr Magufuli, kuna ubaya gani?

Si wananchi ndio watakaoamua?

Maendeleo hayana vyama!
 

beberu_mzalendo

Senior Member
Dec 11, 2020
106
225
Natamani rais wetu angeendelea na uongozi hata kwa miaka mingine 10 lakini kwa kuwa amesema hataongeza muda nitamuunga mkono na kuheshimu maamuzi yake. Viva magufuli mkombozi wa wanyonge, mpigania maendeleo na haki kwa wote, mlinda amani wataifa letu na kiboko ya mabeberu na vibaraka wasiotakia mema taifa letu la Tanzania.
 

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
37,440
2,000
Nauliza tu kwa wataalamu wa maswala ya Katiba.

Ninavyofahamu mgombea urais hupendekezwa na Chama cha Siasa na kuchaguliwa na Wananchi.

Kwa mfano Katiba ikibadilishwa na CCM wakamsimamisha tena Dr Magufuli, kuna ubaya gani?

Si wananchi ndio watakaoamua?

Maendeleo hayana vyama!

Atawale Miaka 100 Bwashee hakuna Shida Yeyote !! Miaka mia aongezewe!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom