Rais Magufuli awataka Viongozi kushughulikia mapungufu akisema kuna wengine bado wamelala

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
2,737
2,000
Akizungumza Mkoani Kagera Rais John Magufuli amewataka Viongozi ndani ya Serikali katika maeneo mbalimbali kushughulikia mapungufu yaliyopo.

Akizungumza Mkoani Kagera amesema "Kuna Shule moja ya Msingi Ubungo, Dar es Salaam inaitwa Barango bado Wanafunzi wanakaa chini. Madarasa mengine yamebomoka, madawati yamevunjika".

Ameongeza "Mkuu wa Wilaya yupo, Mkuu wa Mkoa yupo, Mkurugenzi wa Ubungo yupo bado anakusanya Kodi, Mbunge yupo na ni Profesa tena wa Elimu".

Rais Magufuli amesema pindi atakapoenda Dar anataka kukuta madarasa hayo yakiwa yamekamilika na Wanafunzi hawakai chini akisisitiza ataenda kutembelea Shule hiyo.
 
DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
11,280
2,000
Maendeleo hayana chama
131585974.jpg
 
balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
5,566
2,000
Kwenye siasa ni mahala pazuri sana
Hapo prof. anaweza kuswagwa na Std vii.
Mi nipo naendelea kufuatilia
 
Freddie Matuja

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
1,036
2,000
Naangalia suala la upungufu a ukosefu wa madawati na vyumba vya madarasa kwa shule ya msingi jimboni Ubungo kwa jicho la 3.

Basically Mhe. Rais katoa agizo na bila shaka utekelezaji wake utafanyika kwa haraka sana.

Binafsi naangalia tatizo la shule kwenye jicho la wawekezaji wa Tanzania wenye shauku/njaa ya kugeuza matatizo yaliyopo Tanzania kama fursa ya kuzalisha.

Ili kuwekeza na kupata cheti cha uwekezaji toka Kituo cha Uwekezaji Tanzania TIC; mwekezaji tarajiwa anatakuwa kuwa na yafuatayo

1. Application Letter (hili linawezekana)

2. Filled application form (hili linawezekana)

3. Business Plan (hili linawezekana kwa serious investor)

4. Memart (hili linawezekana)

5. Certificate of Incorporation (hili linawezekana)

6.Tin certificate (hili linawezekana)

7. Evidence of Land (hili linawezekana na tulijadili)

8. Bank statement (hili linawezekana na tulijadili)

9. Board Resolution (hili linawezekana)

10.Payment slip of 1100 USD (hili linawezekana na tulijadili)

Katika mchango kutoka kwa mmoja wa wachangiaji Nd. Magembe alisisitiza umuhimu wa kuwa na
Investment Brokers,
Investment consultants
Investment advisors

Imagine mtu/Mtazania anaweza kuwa solution ya kupata fedha nje ya Tanzania kwa mikipo ya uwekezaji wa riba nafuu.
Na huo uwekezaji ukifanikiwa kama ni wa kiwanda cha maji; (TRA inavuna hela kwenye kila chupa ya maji inayozalishwa) na huenda thamani ya ushuru kwa kila chupa tu thamani ya fedha ni kubwa kuliko USD 1100 au malipo ya kukodi ardhi ambako kungefinya/unapunguza mtaji.

In essence, biashara ya sasa kama mbavyo kwenye mpira wa miguu kuna mawakala wa wachezaji ambao wanafanikisha deals za usajili; ndivyo biashara kubwa zinafanyika.

Kuna waiver inahitajika ila mambo mengine yasonge; kero za kutembeza bakuli kuomba budget support kutoka wizara ya fedha ungepungua kama tunaongeza tax base.

Kero ya kupanda mara kwa mara kwa sukari na mafuta ya kula kama tung'amua Tanzania hapa hapa tuna watu wana IQ ya uwekezaji ila what they need is just signature na certification toka serikalini ili kufanya uwekezaji uwe.

Uchumi mzuri ni uchumi jumuishi ambao ifikie wakati billionaire wanaozalishwa ndani vutu kama madawati ni sehemu ya CSR.

Vitu kama matundu ya choo ni sehemu ya CSR.

Ila kwa upande mwingine TRA akiwa na urafiki na wawekezaji kwa kuelewa changamoto wanazopitia na kukubali kuwasikiza local investors.

Tanzania ya neema itajengwa na local investors wenye vision ya kuleta suluhu kwenye kuzalisha zaidi ndani vitu ambavyo tuna import na ikiwezekana kuongeza export kwenye mataifa 8 yanayoizunguka Tanzania.

Say leo nikihitaji kuwekeza kwenye kuzalisha Sukari, kwanini TIC wasini-guarantee kupata hati ya shamba then ntalipa in the period of 10 years;
Kwanini nihitaji heka 100,000 say kuzalisha mafuta ya kula; kwanini TIC wasiwe sehemu ya kuomba waiver ili uzalishaji wa mafuta ya kula ukuanza then nilipie kodi ya ardhi.

Tukifikiria as innovators, kw model ya Reverse Innovation toka kwa Vijay Govindarajan kuna lots of milestone can be achieved in relatively short time.

Juzi juzi tumezindua referral hospital Chato na Uhuru hospital Dodoma,
Kila mwaka tuna import dawa worth 900bil; je MSD nikiwaomba wanipe purchase Order as a guarantee ili nipate mkopo TIB kwa kuzalisha surgical bandage au surgical cotton au chochote ambacho kutatumika kwenye mifumo ya manunuzi ya madawa na vifaa tiba; mifumo imejiandaa kwenye kuja na inclusive systems in ensuring tuna breed new investors??

Kila la kheri wakubwa.

Tanzania tukiamua; tutafika mbali sana
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
6,682
2,000
Yaani!!! Wapinzani walituchelewesha sana.. Kweli Jiji kama Dar watoto wana kaa chini??
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
41,711
2,000
Ndo maana tumewafyeka wote tubaki peke yetu maendeleo kama yoteee! Nashangaa hiyo shule ya Ubungo imesahaulika vipi wakati upungufu wa madawati na madarasa imeshakuwa historia Tanzania.
Kubenea hakuileta kwenye mpango kazi na huyu Prof Kitila hakujishughulisha kuitilia maanani!
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
41,057
2,000
Ndo maana tumewafyeka wote tubaki peke yetu maendeleo kama yoteee! Nashangaa hiyo shule ya Ubungo imesahaulika vipi wakati upungufu wa madawati na madarasa imeshakuwa historia Tanzania.
Mikoa ya Singida, Dodoma, Tanga, Shinyanga, Tabora n.k hawajawahi kuwa na wapinzani na imani hakuna changamoto y za madawati na madarasa.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
109,436
2,000
Mbona na yeye bado kalala tu tena usingizi mzito tu. Vilio vya Wafanyakazi, Wakulima na Wafanyabiashara kila kona Nchini. Wafanyakazi huu mwaka ni wa 6 hawana nyongeza ya mishahara. Nchi hovyo hovyo kila kona.
Akizungumza Mkoani Kagera Rais John Magufuli amewataka Viongozi ndani ya Serikali katika maeneo mbalimbali kushughulikia mapungufu yaliyopo.

Akizungumza Mkoani Kagera amesema "Kuna Shule moja ya Msingi Ubungo, Dar es Salaam inaitwa Barango bado Wanafunzi wanakaa chini. Madarasa mengine yamebomoka, madawati yamevunjika".

Ameongeza "Mkuu wa Wilaya yupo, Mkuu wa Mkoa yupo, Mkurugenzi wa Ubungo yupo bado anakusanya Kodi, Mbunge yupo na ni Profesa tena wa Elimu".

Rais Magufuli amesema pindi atakapoenda Dar anataka kukuta madarasa hayo yakiwa yamekamilika na Wanafunzi hawakai chini akisisitiza ataenda kutembelea Shule hiyo.
 
Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
9,097
2,000
Ameongeza "Mkuu wa Wilaya yupo, Mkuu wa Mkoa yupo, Mkurugenzi wa Ubungo yupo bado anakusanya Kodi, Mbunge yupo na ni Profesa tena wa Elimu".
Mchawi ndiyo huwa ana tabia hizi. Tatizo analiona, nafasi ya kukushairi qma kukusaidia kuliepuka tatizo hilo anayo lkn hakushauri wala kukusaidia.

Anaenda kukuzodoa akiwa sehemu nyingine kabisa
 
Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
1,474
2,000
Akizungumza Mkoani Kagera Rais John Magufuli amewataka Viongozi ndani ya Serikali katika maeneo mbalimbali kushughulikia mapungufu yaliyopo.

Akizungumza Mkoani Kagera amesema "Kuna Shule moja ya Msingi Ubungo, Dar es Salaam inaitwa Barango bado Wanafunzi wanakaa chini. Madarasa mengine yamebomoka, madawati yamevunjika".

Ameongeza "Mkuu wa Wilaya yupo, Mkuu wa Mkoa yupo, Mkurugenzi wa Ubungo yupo bado anakusanya Kodi, Mbunge yupo na ni Profesa tena wa Elimu".

Rais Magufuli amesema pindi atakapoenda Dar anataka kukuta madarasa hayo yakiwa yamekamilika na Wanafunzi hawakai chini akisisitiza ataenda kutembelea Shule hiyo.

Wengi wamelala. Wengi wanatekeleza ajenda ambazo sijui kama kuna mahali popote walikabidhiwa. Ndio maana napata ukakasi sana kusubiria msafara wa Rais utoe maamuzi ya changamoto ambazo kila mtu anazifahamu. Hivi nchi hii ina watu incompetent kiasi hicho? Mpaka Rais aseme ndio akili zinafanya kazi?
 
Freddie Matuja

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
1,036
2,000
Naangalia suala la upungufu a ukosefu wa madawati na vyumba vya madarasa kwa shule ya msingi jimboni Ubungo kwa jicho la 3.

Basically Mhe. Rais katoa agizo na bila shaka utekelezaji wake utafanyika kwa haraka sana.

Binafsi naangalia tatizo la shule kwenye jicho la wawekezaji wa Tanzania wenye shauku/njaa ya kugeuza matatizo yaliyopo Tanzania kama fursa ya kuzalisha.

Ili kuwekeza na kupata cheti cha uwekezaji toka Kituo cha Uwekezaji Tanzania TIC; mwekezaji tarajiwa anatakuwa kuwa na yafuatayo

1. Application Letter (hili linawezekana)

2. Filled application form (hili linawezekana)

3. Business Plan (hili linawezekana kwa serious investor)

4. Memart (hili linawezekana)

5. Certificate of Incorporation (hili linawezekana)

6.Tin certificate (hili linawezekana)

7. Evidence of Land (hili linawezekana na tulijadili)

8. Bank statement (hili linawezekana na tulijadili)

9. Board Resolution (hili linawezekana)

10.Payment slip of 1100 USD (hili linawezekana na tulijadili)

Katika mchango kutoka kwa mmoja wa wachangiaji Nd. Magembe alisisitiza umuhimu wa kuwa na
Investment Brokers,
Investment consultants
Investment advisors

Imagine mtu/Mtazania anaweza kuwa solution ya kupata fedha nje ya Tanzania kwa mikipo ya uwekezaji wa riba nafuu.
Na huo uwekezaji ukifanikiwa kama ni wa kiwanda cha maji; (TRA inavuna hela kwenye kila chupa ya maji inayozalishwa) na huenda thamani ya ushuru kwa kila chupa tu thamani ya fedha ni kubwa kuliko USD 1100 au malipo ya kukodi ardhi ambako kungefinya/unapunguza mtaji.

In essence, biashara ya sasa kama mbavyo kwenye mpira wa miguu kuna mawakala wa wachezaji ambao wanafanikisha deals za usajili; ndivyo biashara kubwa zinafanyika.

Kuna waiver inahitajika ila mambo mengine yasonge; kero za kutembeza bakuli kuomba budget support kutoka wizara ya fedha ungepungua kama tunaongeza tax base.

Kero ya kupanda mara kwa mara kwa sukari na mafuta ya kula kama tung'amua Tanzania hapa hapa tuna watu wana IQ ya uwekezaji ila what they need is just signature na certification toka serikalini ili kufanya uwekezaji uwe.

Uchumi mzuri ni uchumi jumuishi ambao ifikie wakati billionaire wanaozalishwa ndani vutu kama madawati ni sehemu ya CSR.

Vitu kama matundu ya choo ni sehemu ya CSR.

Ila kwa upande mwingine TRA akiwa na urafiki na wawekezaji kwa kuelewa changamoto wanazopitia na kukubali kuwasikiza local investors.

Tanzania ya neema itajengwa na local investors wenye vision ya kuleta suluhu kwenye kuzalisha zaidi ndani vitu ambavyo tuna import na ikiwezekana kuongeza export kwenye mataifa 8 yanayoizunguka Tanzania.

Say leo nikihitaji kuwekeza kwenye kuzalisha Sukari, kwanini TIC wasini-guarantee kupata hati ya shamba then ntalipa in the period of 10 years;
Kwanini nihitaji heka 100,000 say kuzalisha mafuta ya kula; kwanini TIC wasiwe sehemu ya kuomba waiver ili uzalishaji wa mafuta ya kula ukuanza then nilipie kodi ya ardhi.

Tukifikiria as innovators, kw model ya Reverse Innovation toka kwa Vijay Govindarajan kuna lots of milestone can be achieved in relatively short time.

Juzi juzi tumezindua referral hospital Chato na Uhuru hospital Dodoma,
Kila mwaka tuna import dawa worth 900bil; je MSD nikiwaomba wanipe purchase Order as a guarantee ili nipate mkopo TIB kwa kuzalisha surgical bandage au surgical cotton au chochote ambacho kutatumika kwenye mifumo ya manunuzi ya madawa na vifaa tiba; mifumo imejiandaa kwenye kuja na inclusive systems in ensuring tuna breed new investors??

Kila la kheri wakubwa.

Tanzania tukiamua; tutafika mbali sana

Hongera RC wa DSM kwa utekelezaji wa haraka kwa agizo la Mkulu;

Uwanja wa shule upo, saruji madukani zipo, mchanga na tofali zipo; sasa ni kazi ya ujenzi.

Same spirit of urgency ingekuwa kwenye mifumo ya uwekezaji; nadhani tungekuwa pahala fulani.

Sidhani kama RC na wenzie walifuata "michakato ya manunuzi" kwa uhitaji uliopo.

Prof. Mkumbo Waziri wa Uwekezaji; kuna model ya sense of urgency mnahitaii kuwa nayo ili kile alichosema Rais Mkapa 1997 wakati wa uzinduzi wa Dira ya maendeleo ya Tanzania 2025; liwezekanalo kufanyika leo; lisingoje kesho.

Jeff Bezos alianza na Amazon kwenye car park nyumbani; leo tajiri mkubwa duniani;
Plan na Care international zilianzia sebuleni lengo ni kuchangisha fedha kusaidia watoto wakati wa vita ya pili ya dunia.

I hope kuna la kujifunza na kufanyia kazi.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
21,914
2,000
Haya Mambo Ni Magumu
Kuna Shule Ya Msingi Kingolwira Morogoro
Darasa La Saba Lina Wanafunzi 700
Hapo Eti Ndiyo Darasa La Saba A Wanafunzi 350 Na B Wanafunzi 350
Viongozi Wapo

..wasubiri ipo siku atachaguliwa raisi toka kingolwira wataishi kwa raha sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom