Tazama hali ya Darasa la Shule ya Msingi Bushekya iliyopo Halmashauri ya Muleba

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,804
4,475
Wakuu salaam kwenu,

Nimeiona hii video imenisikitisha kwakweli. Daah kuna watoto wanasoma kwenye mazingira mabaya sana. Tazama hiyo video chini inaonesha hali ya mazingira ya darasa mojawapo linalopatikana katika Shule ya Msingi Bushekya iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Muleba kata ya Mobunda. Hili ni jengo la Darasa la sita.

 
Muleba iko mkoa ambao lilitolewa tamko la kujengwa shule ya Dar? Nilidhani shule za Mkoa huo zote ni supper kumbe ilikuwa ni King Kiki Double O?
Mengine Siyoyakusema Tanzania Kuna Matatizo Mengi Sana, Serikali Inafanya Ila Bado.
 
Tuko kwenye right track wajameni au nasema uongo ndugu zanguni?

Japo hili jimbo halijawahi kuongozwa na upinzani lakini wapinzani wametuchelesha sana. Hata Prof. Tibaijuka ambaye alikuwa mbunge wa jimbo hili anajua wapinzani wamemchelewesha sana

Anna Tibaijuka
 
Nasubiri mvua za masika zianze mwezi March nione kama Bunju na Basihaya jijini Dar hakutatokea mafuriko tena.

Jiwe alisema kuwa CCM haikuwa na taarifa kwasabb koneksheni ya mbunge ilikosekana .
 
Siyo kila sinema ikitizamwa na babalao itafanyiwa kazi, ile ilikuwa ni political issue na ku_take action kwenu.

NB: Vaa barakoa, kaa mbali na mikusanyiko, osha mikono kwa sabuni au tumia kitakasa mikono.
 
Back
Top Bottom