Wapiga kura wa 2025 na kuendelea hawa hapa, wapinzani msije kusema mmeibiwa kura

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
19,738
35,155
Pale watoto wanapojua serikali ya Chama tawala imewajengea shule, imewawekea miundimbinu na zana za kujifunzia, walimu na imeondoa ada ili kila mtoto apate elimu.

Yajayo yanafurahisha😃😃😃
 
Majibu mbona unayo wakati wa ujio wa Lisu. Mliaminishwa kuwa upinzani umekufa. Uliuona muziki , kuwa kumbe watu wana kadi za uanachama wa UPINZANI mioyoni na mapenzi ya UPINZANI hasa CDM mioyoni mwao
Mam D upo?

Upinzani ni kitu kizuri kwa afya ya taifa ila tunahitaji upinzani wenye tija na sio upinzani kwa maana ya kuwa vibaraka na upotoshaji

Kuwa na chama imara cha siasa sio lelemama, inahitaji kujitoa na kuwapa na kuwaacha wananchi kujenga misingi imara na imani kwenye chama

Hizo kura za hao watoto hazitakuwa na maana tena kama Mahera na Tume yake wataendelea kufanya uchafuzi wao kwa kulindwa na katiba mbovu iliyojaa viraka ya 1977.
Usisahau hawa watoto wanakua katika imani thabiti na uzalendo. Wanakua wakijua serikali chini ya chama hicho imewafanyia nini... na ndio Wajumbe na kina Mahera wa kesho
 
sisahau hawa watoto wanakua katika imani thabiti na uzalendo. Wanakua wakijua serikali chini ya chama hicho imewafanyia nini... na ndio Wajumbe na kina Mahera wa kesho
Mama D nadhani umri wako ni mdogo. Mimi nimezaliwa kenye ukoloni, tukafundishwa kwa nguvu na akina Nyerere and his team kuwa wazungu ni wabaya. Tukakua tukijua hivyo, tukasoma, tukawa na wezo independent wa kuchanganaua mambo. Tukajua ukweli na uongo. Leo nasema afadhali ya wakoloni hawakuwahi kuwa na historia ya kuokota sandarusi za maiti kwenye fukwe za bahari Tanzania ( a protectorate by then) and the like!
 
Mama D nadhani umri wako ni mdogo. Mimi nimezaliwa kenye ukoloni, tukafundishwa kwa nguvu na akina Nyere and his team kuwa wazungu ni wabaya. Tukakua tukijua hivyo, tukasoma, tukawa na wezo independent wa kuchanganaua mambo. Tukajua ukweli na uongo. Leo afadhali ya wakoloni hawakuwahi kuwa na historia ya sandarusi za maiti kwenye fukwe za bahari Tanzania ( a protectorate by then) and the like!
Heshma yako Retired 🙌🙌
Kweli siasa ni imani😃😃
 
Mama D nadhani umri wako ni mdogo. Mimi nimezaliwa kenye ukoloni, tukafundishwa kwa nguvu na akina Nyere and his team kuwa wazungu ni wabaya. Tukakua tukijua hivyo, tukasoma, tukawa na wezo independent wa kuchanganaua mambo. Tukajua ukweli na uongo. Leo afadhali ya wakoloni hawakuwahi kuwa na historia ya sandarusi za maiti kwenye fukwe za bahari Tanzania ( a protectorate by then) and the like!
Sina la kuongeza.
 
Faivuu more
IMG-20210126-WA0012.jpeg
 
Youth indoctrination kwenye dunia ya leo siyo rahisi. Hawa watoto wakipata simu na kuingia mtandaoni au kuangalia TV na kuona maisha ya vijana wenzao duniani lazima mawazo yao yatabadilika. Enzi za Nyerere iliwezekana kwa sababu wananchi wengi walikuwa hawana TV na internet haikuwepo bado.
 
Kila zama na strategies zake Bepari2020

Hawa watoto wanatoka kwenye jamii hawajazaliwa pale lumumba useme wana benefits binafsi. Wanafurahia wanachokijua na walichojifunza kwenye jamii yao
 
Upinzani ni kitu kizuri kwa afya ya taifa ila tunahitaji upinzani wenye tija na sio upinzani kwa maana ya kuwa vibaraka na upotoshaji

Kuwa na chama imara cha siasa sio lelemama, inahitaji kujitoa na kuwapa na kuwaacha wananchi kujenga misingi imara na imani kwenye chama

Usisahau hawa watoto wanakua katika imani thabiti na uzalendo. Wanakua wakijua serikali chini ya chama hicho imewafanyia nini... na ndio Wajumbe na kina Mahera wa kesho
Upinzani hautakiwi Tanzania. Kazi kubwa iliyofanyika 2020 ni almost umekufa, mwaka 2025 tunaumalizia kabisa hatutaki kucheleweshwa maendeleo. Sasahivi ni kazi tu hakuna siasa, tukutane 2025 tumalizie kazi ndogo iliyobakia ya kuufuta upinzani, baada ya hapo ni maendeleo tu.
 
Na hawa ndio watakua wapiga kura Huru kwenye mchakato wa hiyo tume huru
Hatuhitaji tume huru wala nini, mwendo ni huu huu. Hatuhitaji tume huru ya kuturudishia tena wapinga maendeleo, tumechelewa sana. Mwendo ni huu huu. Kidumu chama tawala.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom