#COVID19 Zanzibar’s Abeid Amani Karume Airport is failing on COVID-19 safety protocols

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,015

Zanzibar’s Abeid Amani Karume Airport is failing on COVID-19 safety protocols​


Abeid Amani Karume International Airport in Zanzibar has been Certified with the lowest 2-Star COVID-19 Airport Safety Rating for failing to properly apply international COVID-19 safety protocols.

The Skytrax COVID-19 Airport Safety Rating is the world’s only assessment and certification of airport health and safety measures during the coronavirus pandemic that is based on professional and scientific investigation of the actual standards being provided at the airport. The audit of Abeid Amani Karume International Airport was conducted in January 2021, based on a combination of procedural efficiency checks, visual observation analysis and cleanliness checks using ATP tests, with the consistency of standards being a key determinant in the final rating.

Edward Plaisted of Skytrax said: “We are shocked by the poor health and safety standards at Abeid Amani Karume International Airport, which appear to reflect Tanzania’s denial of COVID-19. Just yesterday, new cases of the South African virus variant were confirmed in two travellers flying into Denmark on 19th January from Tanzania (Denmark Statens Serum Institut). Skytrax COVID-19 Safety Audit was carried out 3 days later, which confirmed a complete lack of COVID-19 measures.

Our audit teams have conducted COVID-19 audits at airports in many parts of the world during the last 8 months, and this airport is worse than we could have ever imagined for its complete lack of COVID-19 safety protocols
. We highlight to any travellers considering to visit Zanzibar that in the current global pandemic this is a potentially dangerous airport to travel through.

ZNZ_News_2.jpg

January 2021: Queuing to enter Airport with no facemasks and zero social distancing

Tanzania attracted new airlines and travellers in 2020 with its lack of COVID-19 restrictions, with customers from Russia and Ukraine making up one of the biggest increases in passengers. This boost may have been influenced by Tanzania’s President John Magufuli declaring in June 2020 that the country was coronavirus free, although there has been no official data on infection rates since late April 2020.

ZNZ_News_3.jpg

January 2021: Immigration with no facemasks and zero social distancing
Throughout the airport, there are no information guidelines reflecting COVID-19 safe behaviour such as mask use or hand hygiene reminders. There are a few legacy physical distancing markers, and those in place are faded and damaged, and there is no encouragement for social distancing in the seating areas. The volume of passengers during the audit inspections meant that distancing is impossible.

While customer temperatures are checked on arrival, this represents the only monitoring and consistently applied policy for COVID-19 at Abeid Amani Karume International Airport.

The lack of facemask usage is very disappointing in all public areas, and this is not enforced amongst passengers. While many airport staff wear face masks, the level of compliance is much weaker than one observes in other global regions. If you do not have appropriate PPE with you, there is nowhere to buy such items in the terminal.

ZNZ_News_5.jpg

January 2021: Departures area with no facemasks and zero social distancing
ZNZ_News_1.jpg

January 2021: A solitary hand sanitiser, but it is filled with liquid soap

While there are a few hand sanitisers in the terminal, the locations, quality, and visibility of the product is so much poorer than we would expect to find in a busy international airport during the pandemic.

ZNZ_News_4.jpg

January 2021: The lack of surface cleanliness is just one area of very poor cleanliness throughout the airport

The airport terminal cleanliness is unsatisfactory, and maintenance staff are not seen. Aside from the lack of sanitisation facilities, the overall condition of the terminal is very weak.

The COVID-19 Airport Safety Rating includes cleaning and disinfection procedures, social distancing policies and control, face mask usage, sanitiser availability, standard and use of PPE by staff in the airport, and other hygiene applications being used. The audit investigated and evaluated potential safety protocols at Abeid Amani Karume International Airport, to determine how effectively COVID-19 procedures are being implemented to protect the well-being of customers and staff.

COVID_Airport_2Star_2021.png

The 2-Star COVID-19 Airport Safety Rating is the lowest possible classification used and indicates a poor standard of airport cleanliness and/or COVID-19 safety protocols. The 2-Star rating indicates that an airport cleaning and hygiene protocols are not meeting the required minimum standard of COVID-19 safety. 2-Star rated airports might offer fair visual cleanliness and presentation, but the standards of disinfection, hygiene measures and safety protocols are poor.

By Skytrax
Skytrax are specialist research advisors to the air transport industry. Dedicated to improving the customer experience for airlines and airports across the world. Skytrax delivers expertise and innovative thinking to encourage change.
 
Hiki kirusi cha kutoka SA inaonekana ndio kinatuyumbisha zaidi ya kile cha mwanzo, kinaweza kuwa ndio kibaya zaidi halafu bahati mbaya wengi wetu hata hawana habari kama Corona ipo, bado wanaamini kauli za wanasiasa tu.

Mfano mzuri wa jinsi hatuna habari ni huo uwanja wa ndege huko Zanzibar, hakuna health measures za maana zinazochukuliwa, mpaka wazungu wanatushangaa, halafu tukiitwa manyani tunakasirika.
 
Kila nchi inapambana na hali ilivyo na wengine wanaongeza sana taharuki
Sawa ugonjwa upo lakini huku tumefungiwa ndani na mda wa siku 28 wamekufa 100,000
Wala sielewi kinachoendelea
Naangalia majirani wapo ila watu wanapukutika au nimebaki peke yangu
I have no f@& clue aaghhhh I am confused
 
Kila nchi inapambana na hali ilivyo na wengine wanaongeza sana taharuki
Sawa ugonjwa upo lakini huku tumefungiwa ndani na mda wa siku 28 wamekufa 100,000
Wala sielewi kinachoendelea
Naangalia majirani wapo ila watu wanapukutika au nimebaki peke yangu
I have no f@& clue aaghhhh I am confused
Vifo vingi vinavyotokea Ulaya ni vya wazee, wenye magonjwa sugu waliofikia hatua ya organs kukataa na vichache ni vya ajali.

Kuna nchi ambayo idadi ya vifo hivi ilikua 75,000 kwa mwaka lakini kwa 2020 walipata vifo 450,000.
 
Vifo vingi vinavyotokea Ulaya ni vya wazee, wenye magonjwa sugu waliofikia hatua ya organs kukataa na vichache ni vya ajali.

Kuna nchi ambayo idadi ya vifo hivi ilikua 75,000 kwa mwaka lakini kwa 2020 walipata vifo 450,000.

Hofu pia inazidi kuuwa watu na hii lockdown wengi wamekuwa machizi na watoto wanachukuliwa na serikali maana sio kwa kupigwa huko
Najua jamaa wengi tu wameachana kwa sasa au wanawake kuomba hifadhi

Kwa kweli maisha ya watu yamebadilika sana
 
Hofu pia inazidi kuuwa watu na hii lockdown wengi wamekuwa machizi na watoto wanachukuliwa na serikali maana sio kwa kupigwa huko
Najua jamaa wengi tu wameachana kwa sasa au wanawake kuomba hifadhi

Kwa kweli maisha ya watu yamebadilika sana
Kuna Mbongo anapata food vouchers, watoto walikua wanakula bure shule sasa wanampa vouchers awanunulie chakula wapike nyumbani. Ananiambia ni mteremko si wa kawaida. Huyu anaomba lockdown iendelee milele.
 
Kuna Mbongo anapata food vouchers, watoto walikua wanakula bure shule sasa wanampa vouchers awanunulie chakula wapike nyumbani. Ananiambia ni mteremko si wa kawaida. Huyu anaomba lockdown iendelee milele.

Kkkkkkkk
Huyo hajipendi kwa kweli
Kukaa ndani kunachosha asikuambie mtu
Kweli kuna hela na misaada mingi wanatoa na sasa Sunak ameahidi kutoa £1000 kwa kila mtu asiekuwa na kazi

Watu wamefaidi sana hela za bure
Kuna watu najua walikuwa self employed wamevuta mpaka £50,000 na wanacheka tu saa hizi
 
Kkkkkkkk
Huyo hajipendi kwa kweli
Kukaa ndani kunachosha asikuambie mtu
Kweli kuna hela na misaada mingi wanatoa na sasa Sunak ameahidi kutoa £1000 kwa kila mtu asiekuwa na kazi

Watu wamefaidi sana hela za bure
Kuna watu najua walikuwa self employed wamevuta mpaka £50,000 na wanacheka tu saa hizi
Mwingine alikua childminder analetewa watoto saa moja asubuhi, anawapa breakfast na kuwapeleka shule, saa tisa anakwenda kuwachukua anakaa nao mpaka saa 12 jioni.

Sasa wazazi wa watoto wote wanafanyia kazi nyumbani. Kubarua kimeota nyasi.
 
Back
Top Bottom