Unaomba kusamehewa madeni, halafu wewe unaongeza makato ya HESLB kutoka asilimia 8 mpaka 15

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
41,143
2,000
Ugumu mnaopata nyinyi kulipa madeni, ndio huo huo wanaoupata wananchi wa kawaida wenye madeni lukuki kwenye salary slip zao, ila hamkujali mkawaongezea makato ya Bodi ya Mikopo kutoka asilimia 8 mpaka 15 ya Basic salary.

Kwahiyo, leo mnapoomba kupunguziwa madeni, kwa hakika sisi wengine hatuwaelewi na mnatushangaza sana, na tutawelewa iwapo tu na nyinyi mtapunguza kiwango cha makato pamoja na kuondoa ile tozo ya asilimia 6 ya retention fee ya kila mwaka.

Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu- Waswahili hawakukosea.
 
Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
2,580
2,000
Hiyo
Hatujakataa kulipa,ila wakati nachukua mkopo,marejesho ilikuwa 7%!Ghafla tu napigwa 15%!Hivi nchi zinazotudai nazo zikiongeza kiwango cha asilimia tunazolipa kila mwaka,itakuwa ni haki?
% ni liba au ni rejesho?
N kama ni lejesho nadhani unasaidiwa kumaliza deni lako haraka ili upumzike
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,198
2,000
Ugumu mnaopata nyinyi kulipa madeni, ndio huo huo wanaoupata wananchi wa kawaida wenye madeni lukuki kwenye salary slip zao, ila hamkujali mkawaongezea makato ya Bodi ya Mikopo kutoka asilimia 8 mpaka 15 ya Basic salary.

Kwahiyo, leo mnapoomba kupunguziwa madeni, kwa hakika sisi wengine hatuwaelewi na mnatushangaza sana, na tutawelewa iwapo tu na nyinyi mtapunguza kiwango cha makato pamoja na kuondoa ile tozo ya asilimia 6 ya retention fee ya kila mwaka.

Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu- Waswahili hawakukosea.
Bwashee jaribu kuwa mzalendo japo kwa muda tu hadi wageni waondoke!
 
pilipili--mbuzi

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
782
1,000
Ugumu mnaopata nyinyi kulipa madeni, ndio huo huo wanaoupata wananchi wa kawaida wenye madeni lukuki kwenye salary slip zao, ila hamkujali mkawaongezea makato ya Bodi ya Mikopo kutoka asilimia 8 mpaka 15 ya Basic salary.

Kwahiyo, leo mnapoomba kupunguziwa madeni, kwa hakika sisi wengine hatuwaelewi na mnatushangaza sana, na tutawelewa iwapo tu na nyinyi mtapunguza kiwango cha makato pamoja na kuondoa ile tozo ya asilimia 6 ya retention fee ya kila mwaka.

Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu- Waswahili hawakukosea.
Kwani ule mkataba waliosaini wanufaika wa HESLB ulionesh makato ya asilimia ngapi?8% au 15%?.
 
DASM

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,705
2,000
Ugumu mnaopata nyinyi kulipa madeni, ndio huo huo wanaoupata wananchi wa kawaida wenye madeni lukuki kwenye salary slip zao, ila hamkujali mkawaongezea makato ya Bodi ya Mikopo kutoka asilimia 8 mpaka 15 ya Basic salary.

Kwahiyo, leo mnapoomba kupunguziwa madeni, kwa hakika sisi wengine hatuwaelewi na mnatushangaza sana, na tutawelewa iwapo tu na nyinyi mtapunguza kiwango cha makato pamoja na kuondoa ile tozo ya asilimia 6 ya retention fee ya kila mwaka.

Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu- Waswahili hawakukosea.
Ndugu walimu wenzangu na wanufaika wote waliosomeshwa kwa fedha ya serikali yaani BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU (HESLB),,, Juzi Jumatatu tarehe 28.12.2020 niliomba LOAN STATEMENT ya deni langu kutoka Bodi ya mikopo ili niweze kuclear deni baki ambalo kwa mujibu wa SALARY SLIP yangu ya 31.12.2020 Deni linasomeka Tsh. Mil 4.65,,
Aidha, cha kushangaza na kushtua jana HESLB wakanitumia kwa njia ya email statement ya deni langu ambapo Deni langu linasomeka nadaiwa Tsh. Mil 12.087 wakati kwenye Salary slip ya mwezi deni ni Tsh. Mil 4.65. Kiukweli nilichanganyikiwa nikawatumia ujumbe Bodi ya mikopo kuomba ufafanuzi wa hiki na leo Jumatano asbh nikajibiwa kuwa hakuna kilichokosewa kwenye statement waliyonitumia jana.
Baada ya kuona sielewi imelazimika nisafiri hadi Halmashauri kuonana na AFISA UTUMISHI ili aweze kunipa ufafanuzi wa jambo hili, nilipofika akampigia simu AFISA kutoka makao makuu ya HESLB ambaye ndo anashugulika na makato ya fedha zote kutoka kwa wanufaika wote nchini, alimpigia palepale mbele yangu na akaweka Loud speaker yule Afisa wa Bodi akaelez a mambo mengi sanaa kuhusiana na fedha hii. Ambapo kiujumla amesema kwamba watumishi wote tunaokatwa kupitia mishahara yetu deni tunaloliona kwenye hizo salary kama linapungua sio deni halisi bali deni la halisi analodaiwa mnufaika wanalo wao Bodi kwenye mfumo wao ambao mfumo wao hauna mahusiano yyte na Mfumo wa Lawson, hivyo deni letu halisi huwa haliwi updated kwenye salary slip ndo maana tunaona kila mwezi linapungua ila kiuhalisia ni hapana..
Akaendelea kusema mtumishi yyte akitaka ajue deni lake halisi analodaiwa basi aombe Loan Statement kutoka Bodi hapo ndo anaweza kujua deni lake halisi ambalo ni tofauti sanaaa na linaloonekana kwenye Salary slip zetu...
Akasema tena deni lililopo kwenye salary slip linapokwisha mtumishi anaweza akaona kama vile kamaliza deni, kumbe kuna deni kule bodi bado wanamdai. Hivyo akasema sasahv wapo kwenye mchakato wa kuandaa barua kuwatumia waajiri wote nchini madeni mapya ya wale wote ambao washakamilisha kulipa deni la kwenye salary slip ili makato yaendelee kama kawaida..
Mwisho Afisa huyo akamuomba Afisa Utumishi anipatie mimi namba ya huyo Afisa ili kama mahali nitakuwa sijamwelewa vzr niweze kumpigia wkt wwte kwa maelezo ya kina....
Hivyo ndug watumishi na walimu wenzangu ambao ni wahanga wa hili tusijipe matumaini ya kuclear hili deni tunaweza hata kustaafu nalo. Tupambaneni kutafuta hela ili watt wetu tuwanusuru na kuongia kweny hili janga la Bodi ya mikopo ili tuwasomeshe kwa fedha zetu hata kwa kujibana maana inauma sanaaa.
Yeyote atakayehitaji namba ya simu ya huyu Afisa kutoka HESLB kwa ajili ya maelezo ya ziada anaweza kunitafuta inbox nikamtumia. Asante

BY. MWL MUSSA A. IDDY
NAMONGE SEKONDARI
 
Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
7,091
2,000
Hiyo

% ni liba au ni rejesho?
N kama ni lejesho nadhani unasaidiwa kumaliza deni lako haraka ili upumzike
Basi na sisi kama nchi nashauri nchi zinazotudai ziongeze asilimia za rejesho kwa mwaka ili tumalize upesi deni la taifa!
Kama tulikuwa tunarudisha bilion zaidi ya 600 kwa mwezi kama madeni,inamaana nao wakisema tulipe mara mbili itakuwa 1.2trilion!Zidisha mara 12 ni trilioni 24!Kwa hali hiyo tutalipa mishahara kweli watumishi?Miradi itaendelea????

Hivyo hivyo kwetu,tulikuwa tunalipa 7%,ghafla tunakatwa mara mbili zaidi ya hiyo!Watoto wale,waende shule,kodi,tunabaki na nini?
Hii inaumiza ila kwakuwa ninyi ni watu wa mlengo ule basi mnaona sawa maumivu kwa watanzania wenzenu ilimradi mnatetea serikali!
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
39,117

Nyie walimu ni kama shamba la bibi bado makato ya CWT yanawabubiri tena, hivi kwa wingi wenu hamuwezi kugoma?
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
39,117
2,000
Basi na sisi kama nchi nashauri nchi zinazotudai ziongeze asilimia za rejesho kwa mwaka ili tumalize upesi deni la taifa!
Kama tulikuwa tunarudisha bilion zaidi ya 600 kwa mwezi kama madeni,inamaana nao wakisema tulipe mara mbili itakuwa 1.2trilion!Zidisha mara 12 ni trilioni 24!Kwa hali hiyo tutalipa mishahara kweli watumishi?Miradi itaendelea????

Hivyo hivyo kwetu,tulikuwa tunalipa 7%,ghafla tunakatwa mara mbili zaidi ya hiyo!Watoto wale,waende shule,kodi,tunabaki na nini?
Hii inaumiza ila kwakuwa ninyi ni watu wa mlengo ule basi mnaona sawa maumivu kwa watanzania wenzenu ilimradi mnatetea serikali!
Hakuna utawala katili kama huu
 
EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
1,732
2,000
Ugumu mnaopata nyinyi kulipa madeni, ndio huo huo wanaoupata wananchi wa kawaida wenye madeni lukuki kwenye salary slip zao, ila hamkujali mkawaongezea makato ya Bodi ya Mikopo kutoka asilimia 8 mpaka 15 ya Basic salary.

Kwahiyo, leo mnapoomba kupunguziwa madeni, kwa hakika sisi wengine hatuwaelewi na mnatushangaza sana, na tutawelewa iwapo tu na nyinyi mtapunguza kiwango cha makato pamoja na kuondoa ile tozo ya asilimia 6 ya retention fee ya kila mwaka.

Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu- Waswahili hawakukosea.
Lipa pesa za watu wewe, kwani ulilazimishwa kuchukua mkopo. Kipindi wenzako wamekosa ulikua unawacheka umekosaaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom