MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,486
- 8,704
Ukitaka kujua Vita vya Ufisadi vinavyo Piganwa angalia nchi kama China, Korea, Indonesia, Thailand, Malaysia na kwingineko.
Vita vya Ufisadi Tanzania ni kiini macho cha hali ya juu sana, ukiangakia nchi za Asia wanavyo dili na vita vya Ufisadi utaona kabisa huku tunafanya mzaha.
Watu wanapiga pesa wakijua kuna options mbili au tatu. Wanajua wakaikamatwa wataambiwa wazirejeshe na waombe radhi hata kwa Raisi, au watafanya kila njia kumfurahisha mtukufu ili wasamehewe.
Asia hakuna Optinal ya kuomba msamaha kwenye Ufisadi nchi kama China unapigwa Kitanzi na nchi nyingine wana vifungo tofauti tofauti.
Angalia nchi kama Korea wanaweza hata kumfunga Mkurugenzi wa Samsung.
Ni sasa na kusema mtu kama Mo afungwe Tanzania kwa Ufisadi kitu ambacho hakipo.
Wengine wako Mahabusu hadi leo na upelelezi haujakamilika.
Nawashangaa sana wanao sema kuna Vita vya Ufisadi nchi hii.
Ni wajinga tu wanao amini Magufuri anapigana Vita vya Ufisadi Tanzania hii.