Hivi Makao Makuu ya nchi ni Chato au Dodoma? Mzee anatuchanganya

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Sielewi ziara za viongozi wakubwa zote Chato.

Naona harakati za kuikuza Dodoma zinadumaa kwa style hii.

Na kwa style hii tunachanganya watendaji hatujui nguvu waeke wapi Dodoma au Chato?

Kuna muda itafika tutawalaumu mawaziri na manaibu wao bure tu.

Naendelea kuuliza je mipango hii ilikuwepo kwenye bajeti iliyopita?

Mi nadhani hili jambo la umimi sio sawa kwasababu kila rahisi angejenga kwao kuna mikoa ingekuwa mapori hadi leo

IMG-20190712-WA0008~2.jpeg
 
Mkuu sijui unakwama wapi?
ushaambiwa hiyo ni ziara binafsi na wala si ya kiserikali.
Pengine labda Mseveni kaamua kuja kumjulia hali mama wa Rais wetu sasa wewe utamzuia?
Rais naye ni mtu so lazima muda mwingine mahitaji ya kijamii yamhusu.
 
Ziara binafsi ila tunatajiwa stigrer gorge .
 
We jifanye mbishi tu, wenzako tunawahi viwanja Chato we umekalia kupika majungu JF - teh teh teh
Kipindi tupo seminarini tulikuwa tunasema "Kusifu na kuabudu kunawapasa wanyoofu wa moyo"

Ila huku mtaani hali ni tofauti sana.

Watu wa mataifa wanasema
"Kusifu na kuabudu kunawapasa wazee wa kujipendekeza na kujikomba kwa tabibu Pombe."
 
... hata His Excellence Donald Trump ana estates zake ambazo mara kadhaa amekuwa "akiwaita" marais wa nchi za kigeni kukutana naye huko. Unakumbuka aliwahi kumwita Rais wa China Mar-a-Lago, Palm Beach, Florida? Rejea: https://www.trump.com/. Kwanini tusiige mazuri ya wenzetu? Au roho mbaya?
Magufuli na Trump ni mbingu na bahari.
 
Sielewi ziara za viongozi wakubwa zote Chato.

Naona harakati za kuikuza Dodoma zinadumaa kwa style hii.

Na kwa style hii tunachanganya watendaji hatujui nguvu waeke wapi Dodoma au Chato?

Kuna muda itafika tutawalaumu mawaziri na manaibu wao bure tu.

Naendelea kuuliza je mipango hii ilikuwepo kwenye bajeti iliyopita?

Mi nadhani hili jambo la umimi sio sawa kwasababu kila rahisi angejenga kwao kuna mikoa ingekuwa mapori hadi leo

View attachment 1151860
Hii nayo post ?, fala kweli wewe
 
Makao makuu ni chato bado kutangazwa rasmi tu ndio maana tumesitisha mpango wa jiwe kuhamia Dodoma .
 
Sio vibaya kuwa na miji ya uhakika na mpangilo mzuri
Mataifa mengi wamejenga miji mipya na ya kisasa zaidi kama Saudia wanejenga mji tena jangwani kabisa itakuwa Chato na wanyama kabisa

Kama litapangwa vizuri kwa umakini na Kuweka kila kitu mbona sawa tu
 
Back
Top Bottom