Rais Magufuli anaweka jiwe la msingi ujenzi ofisi ya halmashauri ya Malunga Kahama - Shinyanga!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,765
Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV.

Up dates;

Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya.

Rais Magufuli amewashukuru viongozi hao kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM na ameagana nao na kuondoka.

Maendeleo hayana vyama!
 
... sijui leo "ameongea" nini kuhusu Korona. Wekeni hapa tujadili hotuba ya Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania.
 
Ni kweli makamu mwenyekiti wa Chadema ni chizi fulani!
Mkuu nilikuwa nakukubali sana kwani japokuwa hatuko pamoja kiitikadi lkn kwenye ukweli ulikuwa unaongea kweli. Lkn hivi sasa umeanza ku comments pumba yaani huna tofauti na kina Bia yetu, Mama D na Wapuuzi wengine.

Umegundua nn Bwashee?? Dereva analiyumbisha lori wenye mteremko wenye utelezi wewe unashangilia na kuwabeza/kejeli wanaomrekebisha aache mbwembwe juu ya maisha ya watu??
 
Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV.

Up dates;

Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya.

Rais Magufuli amewashukuru viongozi hao kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM na ameagana nao na kuondoka.

Maendeleo hayana vyama!
Unaijua malunga bwashee
 
Sipajui bwashee!
Hiyo sehemu ndio kitovu cha mapato ya halmashauri ya mji kahama,kuna mashine za kukoboa nafaka zaida ya 200....hapo alipozindua nyuma yake ziko mashine hizo ila barabara hakuna ni mahandaki tupu malori yanashindwa kuingia humu ndani wakti kwa siku halmashauri inakusanya zaidi ya 7m kama tozo za mchele na pumba
 
Kuna watu watakuja kubisha na kupinga...japo hakuna jambo la kupinga hapo..! We subiri. CDM akili zao wanazijua wenyewe.
Bora hao ambao akili zao wanazijua wenyewe kuliko wewe na wote wanaofanana na wewe hamna akili hata kidogo mko kama mandondocha tu kwani unajadili jambo ambalo halipo.
 
Mkuu nilikuwa nakukubali sana kwani japokuwa hatuko pamoja kiitikadi lkn kwenye ukweli ulikuwa unaongea kweli. Lkn hivi sasa umeanza ku comments pumba yaani huna tofauti na kina Bia yetu, Mama D na Wapuuzi wengine.

Umegundua nn Bwashee?? Dereva analiyumbisha lori wenye mteremko wenye utelezi wewe unashangilia na kuwabeza/kejeli wanaomrekebisha aache mbwembwe juu ya maisha ya watu??
Achana na hilo popoma mkuu
IMG-20201103-WA0001.jpg
 
Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV.

Up dates;

Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya.

Rais Magufuli amewashukuru viongozi hao kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM na ameagana nao na kuondoka.

Maendeleo hayana vyama!
Vipi hap hayo magari hayawezi kugongana?
 
Hiyo kazi hata dc anaweza fanya kwani raisi hana kazi zaidi ya kuzindua tu daily
 
Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV.

Up dates;

Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya.

Rais Magufuli amewashukuru viongozi hao kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM na ameagana nao na kuondoka.

Maendeleo hayana vyama!
Haituhusu
 
Back
Top Bottom