Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika hili, BOT ni kama wamelala, tena usingizi wa pono, kwani bado ziko taasisi za kifedha zinazokaa na kadi za Benki za wateja wanaoenda kuomba mikopo kama moja la shariti la kupewa mikopo...
3 Reactions
87 Replies
9K Views
Mbunge wa viti maalumu, Felister Njau amepewa siku saba kuthibitisha kauli yake aliyoitoa bungeni kuhusu kukamatwa kwa mabegi matano ya kura wakati wa uchaguzi mkuu 2020. Felister ametakiwa...
26 Reactions
83 Replies
11K Views
Mabibi na mabwana heshima kwenu. Siku baada siku tumekuwa watu wa kupokea taarifa za tanzia za watu wazito wazito. Jana huyu, yule nk na leo hivyo hivyo. Si kuwa wale kina wenzangu na miye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini za Mchana ndugu zangu. Kama haitowakwaza tuungane pamoja kuchambua " siasa ya vyama na maendeleo ya vijana .'' Ungana nami; Joel J Kituu. DHANA YA CHAMA. Awali tuanze kuchambua nini...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika utawala wa kirumi ilikuwa ni kawaida sana kufanya GWARIDE katika mitaa mbalimbali siku ya kuwapa MEDANI MAJENERALI wa KIJESHI wanaokuwa wamefanya mambo MAKUBWA na ya KISHUJAA katika nchi...
9 Reactions
12 Replies
1K Views
abriel Gavu MAPINDUZI YA KIFIKRA KWA SASA YANAHITAJIKA NA ; - GABRIEL GAVU (BSW) 2020 Nianze na kukubali kuwa dunia ni kijiji kwa utandawazi uliopo sasa. Tunahitaji nguvu ya pamoja kuitazama...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Sijawahi kuona Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli akitoa Hotuba huku akiwa mpole, makini, hana maneno mengi kama tulivyomzoea halafu akiwa si mchangamfu kama kawaida yake na ukienda mbali zaidi...
9 Reactions
88 Replies
15K Views
Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya...
6 Reactions
151 Replies
12K Views
Serikali imejipanga vizuri katika kuhakikisha inakamilisha utekelezaji wa vipaumbele vyote ambavyo havikukamilika katika kipindi kilichopita sambamba na kusimamia ipasavyo maeneo mapya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza halmashauri zote nchini kutenga bajeti kwa kutumia mapato yao ya ndani kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa ulioanzishwa na wananchi kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aina ya siasa alizofanya Rostam Aziz enzi zake hazitofautiani sana na za mzee David Sanga aka Jah people mjukuu wa mganga maarufu pale Makete ambaye aliwapa sana utajiri Wakinga kabla hajaokoka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameagiza Watumishi wa Halmashauri ambao wametakiwa kuhamia makazi mapya na hawajafanya hivyo kuondoka mara moja. Amesema "Kipindi cha kuondoka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana. ===== Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza...
2 Reactions
104 Replies
12K Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amewaagiza wakandarasi wanaokwenda kutekeleza miradi minne ya miundombinu ya mawasiliano yenye thamani ya shilingi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatimaye baada ya takriban miaka 10 iliyopita Jiji la Mbeya limeamua kujenga City Mall ya kisasa pale sehemu inaitwa "Uhindini". Sehemu hii katikati ya Jiji kulikuwa na soko na vibanda vya...
6 Reactions
48 Replies
10K Views
Kauli ya Baba Askofu Rev.Dr.Stephen Munga (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, baada ya Naibu Spika kushiriki igizo la kuizika Chadema. ______________ Naibu Spika (Dr.Tulia Ackson)...
46 Reactions
317 Replies
40K Views
Mabibi na mabwana na tuambizane ukweli tu, kwani haisaidii kuukimbia ukweli. Pia msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Hongera Dar kwa kuanza kutupia barakoa kujaribu kujihami na kuwahami wengine japo...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Prof. Mchembe amesema serikali imepiga marufuku hispital binafsi kupandisha bei kwa wagonjwa wenye matatizo ya kupumua. Prof. Mchembe amesema ameona kwenye mitandao baadhi ya hospital zimeongeza...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
My take: Excuse my French and pardon my vernacular, Thabo Mbeki knows his ‘shit’. I tip my hat off to him. To get what I’m talking about, watch the video of him reflecting on the passing of our...
16 Reactions
35 Replies
4K Views
Katika nchi za Afrika Mashariki, inaonesha kuwa ni Burundi na Tanzania pekee ndiyo hazina virusi vya korona na kwa hiyo hawahitaji chanjo ya COVID 19. HOFU na WOGA ni roho za kuzimu na infact...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…