Wasaalam ndugu wanajukwaa!!
Ni muda mrefu kidogo nimezidi kuumizwa na tabia za makada wa Chama Cha Mapinduzi (si wote ni baadhi). Kumekuwa na tabia ambayo wanazidi kuikumbatia na kuiona ni sawa...
Kuna taarifa kuwa kutokana na ruzuku kupungua wafanyakazi wengi wa CHADEMA watapunguzwa kazi moja wapo watakapopunguzwa ni wanaoitwa non core staff yaani wafanyakazi wa ofisi ambao sio wanasiasa...
Nimemsikiliza Mbunge mmoja bungeni jana kama sijakosea ni Mbunge wa Maswa, akisema Wazungu wanabagua aina ya magonjwa na chanjo zake ili watufanyie biashara. Akatolea mfano wa Malaria kuwa...
Nimemsikiliza huyu mwanasayansi kijana anayelipwa Shilingi laki mbili kwa siku akikumbushia WAZIRI MKUU ahadi aliyoahidi young scientists wa Tanzania kuwa aitekeleze.
Taarifa Rasmi kutoka ndani ya Jumuiya ya Vijana NCCR aliyekuwa Mwenyekiti wa jumuiya hiyo kwa miaka miwili Nicolas Clinton ameng'olewa kwenye nafasi hiyo na kamati kuu ya chama hicho.
Katika...
Moja ya vyama vikubwa vya sisasa hapa Tanzania ni NCCR Mageuzi, hiki chama pamoja na ukongwe na ukubwa wake kimeshindwa kulea Vijana na kuwaandaa kuwa viongozi wazuri hapo baadaye kama ambavyo...
Mbunge wa Mbarali mstaafu,mkuu wa wilaya mstaafu Col Edmund Mjengwa ambaye ni baba mlezi wa Catherine Magige(Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Arusha) kafariki dunia Hospitali ya Benjamin Mkapa...
Ndiyo wakuu,
Tupo wengi sana tuliokacha kazi serikalini au hata kubadili fani kwa maslahi binafsi.
Mheshimiwa rais Magufuli aliukimbia ualimu na kuingia kwenye kada tofauti na ualimu.
Sasa ni...
Leo Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Magufuli ameweka picha akiwazodoa wanaosema ndege haziji Tanzania.
Nami nakubaliana naye kuwa Uwanja wetu wa kisasa JNIA unapokea ndege nyingi kupita kiasi...
Mawaziri waghushi vyeti
Wahaha kulinda siri isivuje
na Mwandishi Wetu
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
KASHFA ya kughushi vyeti vya taaluma mbalimbali imeendelea kulitafuna taifa...
Bosi wa kampuni ya VIGU TRADING COMPANY inayojihusisha na huduma ya clearing and fowarding ya jijini Dar es salaam bwana Virani Joseph Mkomba maarufu kama Vigu amefariki gafla jana usiku, aliumwa...
Leo mkuu wa mkoa wa mwanza amesitisha uokoaji kutokana na giza kuingia, na kusema zoezi litaendelea kesho,
Maoni ya watu hawakupenda kwamba serikali inashindwaje kuendelea kuokoa usiku kucha...
Hakika tumeshuhudia mengi katika kipindi hiki kifupi viongozi wetu wakitenda hili na lile kwa faida ya nchi yetu, lakini pia wakitenda hili na lile kwa fedheha ya nchi yetu.
Ni kipindi ambacho...
Ni kitu kimoja kizuri kuangalia sekta ya viwanda nchini kwetu sio kwa idadi ya majengo ya viwanda bali uzalishaji ambao unafanyika katika viwanda hivyo.
Uzalishaji unapoongezeka ni wazi tutakuwa...
Nadhani wamekusikia hata kama hawapendi kukusikikiza.
IGP Siro huu ujumbe wako umewagusa wengi sana hasa wataanza wenye maisha ya kawaida sana.
Pia baadhi ya viongozi wetu wanaojiona kuwa ni...
Hongera CCM kwa kutimiza miaka 44.
Jana nimefuatilia kidogo mjadala wa CCM uliokuwa unaongozwa na Comred Polepole, wachangiaji wa mada walishindwa kueleza sababu hasa za nchi yetu kushindwa...
Katikati ya wiki hii uliwataka wanaodaiwa na Magereza wailipe haraka na kama hawatafanya hivyo utumiwe majina yao ili uzikate hizo pesa za madeni kupitia Wizara ya Fedha! Mhe. Rais, Serikali...
Salamu wanajamvi!
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna mambo mawili ambayo kwa mtazamo wangu serikali ni kama imepigwa KO! Au unaweza kusema imepigwa mweleka kabisa. La kwanza ni kuhusu ajira...
Modes naomba miufute huu uzi wala kuunganisha kama itawapendeza
Imani zetu zinamtaja MUNGU kama wa pekee, asiyebadilika wala kufafanishwa. Mungu alivyotuumba alitupa utashi ambao ndio kitu...
•Manununuzi ya vitu vyote katika wilaya au halmashauri hujadiliwa na baraza la madiwani .
•Hivyo ununuzi wa magari hayo ulilidhiwa na wajumbe wa mikutano hiyo (bila shaka).
•ofisi ya waziri mkuu...