Waziri Mkuu ahadi uliyoahidi kwa Young Scientists wa Tanzania wanakuomba uitekeleze

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Nimemsikiliza huyu mwanasayansi kijana anayelipwa Shilingi laki mbili kwa siku akikumbushia WAZIRI MKUU ahadi aliyoahidi young scientists wa Tanzania kuwa aitekeleze.

Nimemsikiliza huyu mwanasayansi kijana anayelipwa Shilingi laki mbili kwa siku akikumbushia WAZIRI MKUU ahadi aliyoahidi young scientists wa Tanzania kuwa aitekeleze.

Ingekuwa tunathamini sayansi tusinge wapeleka jela waletunaowakamata na karakana zao binafsi za kutengeneza magobore,zaidi tungewapa ufadhili waweze hata kubuni vifaru vya kibongo kama,sii mfano wa ak-47 ya ubunifu wa nyumbani.
 
Back
Top Bottom