Makonda angekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza angeokoa miili mpaka asubuhi Alafu CHADEMA wangesema ni kiki

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Leo mkuu wa mkoa wa mwanza amesitisha uokoaji kutokana na giza kuingia, na kusema zoezi litaendelea kesho,
Maoni ya watu hawakupenda kwamba serikali inashindwaje kuendelea kuokoa usiku kucha,

Nikawaza Makonda kama ndo angekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza, angeokoa usiku kucha alafu CHADEMA hao hao wangesema ni kiki,

Nawashangaa sana CHADEMA
 
mkuu wa mkoa wa mwanza kaboa
 
Wala tatizo sio mkuu wa mkoa!!! Tatizo hatuko tayari kukabiliana na majanga!! Kwanza vifaa hakuna hata angekuwa ni bashite usiku huu angetumia nini?? Kama vingekuwepo mzee wa sifa asingeweza kukubali!!! Ila amekuwa mpole kwani hana jinsi!!!
 
Tukiwa kama wananchi hisia zetu zipo mahala pake lakini kama nchi zingine huacha uokoaji kwa muda kutokana na maswala mbalimbali kwanini sisi tulazimishe?
Akili ya kawaida inasema kilichozuia uokoaji ni ukosefu wa vifaa vya kisasa, tukilazimisha tunaweza jikuta tunawapoteza na waokoaji wenyewe.
 
Leo mkuu wa mkoa wa mwanza amesitisha uokoaji kutokana na giza kuingia, na kusema zoezi litaendelea kesho,
Maoni ya watu hawakupenda kwamba serikali inashindwaje kuendelea kuokoa usiku kucha,

Nikawaza Makonda kama ndo angekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza, angeokoa usiku kucha alafu CHADEMA hao hao wangesema ni kiki,

Nawashangaa sana CHADEMA
Kwani Chadema wamesemaje kuhusu hii ajali mpaka unawashangaa? Wametoa tamko lolote lakushangaza?
 
Leo mkuu wa mkoa wa mwanza amesitisha uokoaji kutokana na giza kuingia, na kusema zoezi litaendelea kesho,
Maoni ya watu hawakupenda kwamba serikali inashindwaje kuendelea kuokoa usiku kucha,

Nikawaza Makonda kama ndo angekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza, angeokoa usiku kucha alafu CHADEMA hao hao wangesema ni kiki,

Nawashangaa sana CHADEMA
Unatania au unaongea kwa kumaanisha kabisa. Chadema inaingiaje hapa?
 
Mkuu umeongea ukweli
Mkuu wa mkoa wa mwanza hayuko compitent na atafukuzwa ngoja staring aje

Acheni kumpamba Makonda ameshindwa kuwaondoa omba omba Dar ndio angeweza kuokoa waliozama!! Unategemea Mongella afanye nini kama nchi haina utamaduni wa kuepuka majanga!!! Kumbuka hii sio mara ya kwanza meli kuzama Lake Victoria!! No lessons learnt as yet!!!
 
Leo mkuu wa mkoa wa mwanza amesitisha uokoaji kutokana na giza kuingia, na kusema zoezi litaendelea kesho,
Maoni ya watu hawakupenda kwamba serikali inashindwaje kuendelea kuokoa usiku kucha,

Nikawaza Makonda kama ndo angekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza, angeokoa usiku kucha alafu CHADEMA hao hao wangesema ni kiki,

Nawashangaa sana CHADEMA
Acha kutafuta kiki.Tuna msiba wa kitaifa
 
Leo mkuu wa mkoa wa mwanza amesitisha uokoaji kutokana na giza kuingia, na kusema zoezi litaendelea kesho,
Maoni ya watu hawakupenda kwamba serikali inashindwaje kuendelea kuokoa usiku kucha,

Nikawaza Makonda kama ndo angekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza, angeokoa usiku kucha alafu CHADEMA hao hao wangesema ni kiki,

Nawashangaa sana CHADEMA
Faler sana www, bila chadema maisha yako hayaendi? wahed
 
Mkuu wa mkoa ni ofisi,yeye m/kiti kamati ya ulinzi na usalama mkoa. Ni kikao kiliamua. Kitengo cha maafa kiko chini ya ofisi ya PM,huenda naye amejulishwa. Tumewekeza kwenye chaguzi. Niishie hapo kwa leo
Chaguzi zinatumaliza.Watu wa Ukala waliomba kivuko muda sana bila ya mafanikio.
 
Acheni kumpamba Makonda ameshindwa kuwaondoa omba omba Dar ndio angeweza kuokoa waliozama!! Unategemea Mongella afanye nini kama nchi haina utamaduni wa kuepuka majanga!!! Kumbuka hii sio mara ya kwanza meli kuzama Lake Victoria!! No lessons learnt as yet!!!
Mkuu hakuna aliyempamba makonda tumeongea ukweli tu
Lazima ujue huyo mkuu wa mkoa anamiliki police,zima moto,jw nk sasa ameshindwa kuwatumia kufanya uokoaji ? Giza sio sababu kuna taa na makarabai
Ameshindwa kuleta helkopta hapo zifanye patrol hata usiku
Yani angekua kiongozi makini hapo ingetakiwa majeshi yaweke kambi kama wanavofanyaga nchi zingine
Afu hako ka kivuko nimeona picha zake ni kadogo mno hakawezi kuwashinda wangekua makini
Sasa nikupe tu taarifa
1.hakuna idadi kamili ya abiria (inakisiwa zaidi ya 200)
2.kesho maiti zitakua zimesombwa na mawimbi huko so itakua vigumu kuwapata
Mark my words mkuu.hapo kuna maiti zitaozea ziwani hazitopatikana na zingine zitakuja kuokotwa hata baada ya mwezi huku serikali ikiwa imesha conclude imeokoa wote
 
Hili ni janga la kitaifa na linaratibiwa na ofisi ya waziri mkuu moja kwa moja.Kama ni lawama zipelekwe kwa ofisi hiyo.

Pili katika majanga kama haya kinga ni bora kuliko kutibu.Tuchukue tahadhari ili kuimarisha usalama wa abiria.Vivuko chakavu na kujaza kupita uwezo ndio chanzo cha majanga.
 
Uko sahihi mkuu. Ila hapo naona mkuu wa mkoa ana role fulani
Anyway ngoja tusubiri neno kutoka magogoni kesho.au siku yoyote
By the way issue ya kujaza kaitaka jiwe kutokulipa mishahara ya hao jamaa sasa mtu ana familia ataishije
 
Back
Top Bottom