Sakata la ma V8 ya wakurugenzi lapotelea mbali na kuminywa kwa sababu hizi

Magema Jr

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,299
1,201
•Manununuzi ya vitu vyote katika wilaya au halmashauri hujadiliwa na baraza la madiwani .
•Hivyo ununuzi wa magari hayo ulilidhiwa na wajumbe wa mikutano hiyo (bila shaka).
•ofisi ya waziri mkuu ndio wanaopitisha manunuzi na matumizi ya fedha kama hayo.
•hivyo waziri mkuu na kikundi chake ni wahusika wa moja kwa moja katika hili.
•waziri mkuu anatupaka uji but ukweli anaufaham wooote!!
•Tayari mkurugenzi wa kahama manispaa ameshasamehewa means kesi haina nguvu tena (kama huyu amesamehewa ,je hawa wengine??,hawasameheki kwa kipi??)
•jiwe hawezi kumtoa swaiba wake majaliwa katika kiti chake.
•aliyeitoa taarifa/aliyebumbulua mambo (JKMsukuma)tayari ameshapatanishwa na huyo mkurugenzi wa Geita ndio maana hali ni shwariii.
•sioni tija ya kutudanganya kuwa eti tunafuatalia wakati naona ni jokes!!

Ushamba sanaa huu
#jr
#uvccm taifa
 
Ila jamani, Mkurugenzi hana hadhi ya kutembelea yale Ma VXR V8. Hapo serikali itapoteza mabilioni sbb tu ya wakurugenzi, nadhani Mh. Rais hakusema eti wakurugenzi wote ruksa sasa, nakumbuka alisema ni huyo tu wa Kahama atarudishiwa lile gari, huyo tu, na wengine wasijaribu kununua hayo magari ya mil 400.. Jamani wananchi wetu ni maskini sana na kuna miradi mingi ya kuwatoa umaskini, wanahitaji hizo fedha za walipa kodi. Wakurugenzi gari zao ni GX standard au Land Cruiser Hard Top. Sio VXR V8
 
Natamani kupaona hapo Rais aliposema katoa ruhusa kwa huyo mmoja tu wa Kahama kununua gari ya mil 400/=

Issue ni kwamba, huyo jamaa alishikiwa bango kwasababu alinunua V8 ya milioni 400/= kama angenunua ya mil 200/= sidhani kama hizo kelele zingekuwepo, kwani wakurugenzi wengine hawaendeshwi kwenye V8?

Zaidi, unaweza kusamehewa dhambi zako kama utafanya mambo yako vizuri kwenye halmashauri yako, hata ukinunua V8 ya mil 700 no problem.
 
Huyu msukuma ni mmbeya sana.
Sasa ameshushuliwa.

Huyu msukuma ni kichaa ambaye nchi ya watu wasio kuwa na ujasiri wanamvumuia tu!! Ukichaa wake utaifikisha nchi mahala haitakuwa na mkombozi mwingine yeyote bali wenye mtutu!! I stand to be corrected.
 
king msukuma ananafasi nyeti sana katka serikali hujui tu mkuu
 
Natamani kupaona hapo Rais aliposema katoa ruhusa kwa huyo mmoja tu wa Kahama kununua gari ya mil 400/=

Issue ni kwamba, huyo jamaa alishikiwa bango kwasababu alinunua V8 ya milioni 400/= kama angenunua ya mil 200/= sidhani kama hizo kelele zingekuwepo, kwani wakurugenzi wengine hawaendeshwi kwenye V8?

Zaidi, unaweza kusamehewa dhambi zako kama utafanya mambo yako vizuri kwenye halmashauri yako, hata ukinunua V8 ya mil 700 no problem.

Mh Rais, hajasema katoa ruhusa mkurugenzi wa Kahama anunue gari mil 400.. Sikilizaaaaa ww, Mh. Rais alisema, ATAMRUDISHIA GARI ALILOMNYANG'ANYA, YAANI HILO GARI MKURUGENZI ALISHALINUNUA KINYUME NA HADHI ZAO, SASA MKURUGENZI WA KAHAMA PAMOJA NA WENGINE WALIONUNUA MAGARI YA KIFAHARI VXR V8 WALINYANG'ANYWA... HIVYO BAADA YA MH. RAIS kufika Kahama na kuona kazi iliyofanywa pale, akasema ulifanya kosa na kununua gari la kifahari, nikalinyang'anya, ila kwa kazi iliyofanyika hapa, nalirudisha, nakurudishia ww tu, ila wengine wasijaribu kununua hayo magari sbb sheria haiwaruhusu, yaani wakurugenzi hawako entitled kutembelea VXR V8..

Narudia maana unaweza usielewe, Mh. Rais hakusema alinunue gari hilo la mil 400, bali gari lilishanunuliwa kimakosa, wakanyang'anywa, sasa akalirudisha kwa mkurugenzi wa Kahama tu, ila wengine wasijaribu kununua hayo magari ya kifahari, kwani hawastahili kununua hayo magari, na ni kosa kabisa.

Narudia tena na tena
Mh. Rais hakusema alinunue, hilo la mil 400 bali gari lilishanunuliwa kimakosa, wakanyang'anywa, sasa akalirudisha kwa mkurugenzi wa Kahama tu, ila wengine wasijaribu kununua hayo magari ya kifahari, kwani hawastahili kununua hayo magari, na ni kosa kabisa.

Narudia tena, tena na tena, maana unaweza usielewe, Mh. Rais hakusema alinunue gari hilo la mil 400, bali gari lilishanunuliwa kimakosa, wakanyang'anywa, sasa akalirudisha kwa mkurugenzi wa Kahama tu, ila wengine wasijaribu kununua hayo magari ya kifahari, kwani hawastahili kununua hayo magari kwani wakurugenzi hawana hadhi ya kutembelea magari ya VXR V8 na ni kosa kabisa.

Umeelewaaaa? 😠😠.....

Umeelewaaa? 😠😠😡👺🐧
 
Mh Rais, hajasema katoa ruhusa mkurugenzi wa Kahama anunue gari mil 400.. Sikilizaaaaa ww, Mh. Rais alisema, ATAMRUDISHIA GARI ALILOMNYANG'ANYA, YAANI HILO GARI MKURUGENZI ALISHALINUNUA KINYUME NA HADHI ZAO, SASA MKURUGENZI WA KAHAMA PAMOJA NA WENGINE WALIONUNUA MAGARI YA KIFAHARI VXR V8 WALINYANG'ANYWA... HIVYO BAADA YA MH. RAIS kufika Kahama na kuona kazi iliyofanywa pale, akasema ulifanya kosa na kununua gari la kifahari, nikalinyang'anya, ila kwa kazi iliyofanyika hapa, nalirudisha, nakurudishia ww tu, ila wengine wasijaribu kununua hayo magari sbb sheria haiwaruhusu, yaani wakurugenzi hawako entitled kutembelea VXR V8..

Narudia maana unaweza usielewe, Mh. Rais hakusema alinunue gari hilo la mil 400, bali gari lilishanunuliwa kimakosa, wakanyang'anywa, sasa akalirudisha kwa mkurugenzi wa Kahama tu, ila wengine wasijaribu kununua hayo magari ya kifahari, kwani hawastahili kununua hayo magari, na ni kosa kabisa.

Narudia tena na tena
Mh. Rais hakusema alinunue, hilo la mil 400 bali gari lilishanunuliwa kimakosa, wakanyang'anywa, sasa akalirudisha kwa mkurugenzi wa Kahama tu, ila wengine wasijaribu kununua hayo magari ya kifahari, kwani hawastahili kununua hayo magari, na ni kosa kabisa.

Umeelewaaaa? 😠😠.....

Umeelewaaa? 😠😠
swali liko pale pale,je mh rais kabariki ununuzi wa gari la pesa zote hizo kwaajili ya mtu 1?? Kama amefanya vzr katka utawala wake,je wakurugenzi wengine hawajafany hayo yanayosemwa makubwa huko kahama??
Means that soon nahao wengine watarudishiwa ma v8 yao 😅
 
Huyu msukuma ni kichaa ambaye nchi ya watu wasio kuwa na ujasiri wanamvumuia tu!! Ukichaa wake utaifikisha nchi mahala haitakuwa na mkombozi mwingine yeyote bali wenye mtutu!! I stand to be corrected.
Umedandia treni kwa mbele Msukuma anaye semwa ni wizadi la 7
 
Ila jamani, Mkurugenzi hana hadhi ya kutembelea yale Ma VXR V8. Hapo serikali itapoteza mabilioni sbb tu ya wakurugenzi, nadhani Mh. Rais hakusema eti wakurugenzi wote ruksa sasa, nakumbuka alisema ni huyo tu wa Kahama atarudishiwa lile gari, huyo tu, na wengine wasijaribu kununua hayo magari ya mil 400.. Jamani wananchi wetu ni maskini sana na kuna miradi mingi ya kuwatoa umaskini, wanahitaji hizo fedha za walipa kodi. Wakurugenzi gari zao ni GX standard au Land Cruiser Hard Top. Sio VXR V8
Unaweza kutupwa exceptional alizokuwa nazo huyo wa kahama????
Kwenye mtumishi/ utawala kuna uniformity mzee kama unakataza unapaswa kukataza kwa wote na kinyume chake. Vinginevyo ni KUROPOKA TU na MROPOKAJI WETU hafuati sheria yeyote kutegemea na mud ya siku husika.
Unawafukuza wasio na vyeti/hewa kisha unamuaucha makonda ati unaangalia kazi??? Alokuambia wale mabasi na walimu walikuwa hawafanyi kazi nani???
 
safi sanaaa.. umenielewa vema mkuu
 
Kingine ni hiki , wizi wa kura na dhuluma zote za uchaguzi vilisimamiwa na Wakurugenzi , unawezaje kuwanyang'anya magari ?
 
Back
Top Bottom