Msigwa “awazodoa” wanaodai ndege haziji Tanzania

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,428
F6F33076-880D-4690-A8D3-904B109CFD6B.jpeg

Leo Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Magufuli ameweka picha akiwazodoa wanaosema ndege haziji Tanzania.

Nami nakubaliana naye kuwa Uwanja wetu wa kisasa JNIA unapokea ndege nyingi kupita kiasi (kuchafuka).

Tanzania inatajwa kuwa ni moja ya nchi chache Afrika zinazopendwa sana kutembelewa na watu wengi . Hali inasababishwa na mazingira bora, usalama mkubwa, miundombinu ya kisasa, siasa safi na demokrasia na uchumi bora.

Maoni yaliyokusanywa na mwanaharakati Chakabars huko Twitter, katika nchi 54 Tanzania ilishika namba 1 kama nchi ambayo African Americans wangependa kuishi endapo itawabidi kuishi Afrika.
 
Hapo tegemea matusi toka kwa wafuasi wa NI YEYE.. Wenyewe wanatamani kusikia ndege haziji na tumetengwa na nchi za ulaya. Kumbe wazungu Sasa hivi wanaambiana East Africa nchi ya kukimbilia kupunguza stress za Corona ni Tanzania tu.

Leo nimetembelea viwanja kibao Dar kuanzia city center hadi pembezoni kote nakutana na wazungu kibao wanacheza mziki balaa bila barakoa. Nimegundua JPM ni genius. Wazungu kumbe wakipata upenyo wa flight inayokuja bongo wanakimbilia Tanzania. Anayembishia mleta thread aende JNIA.
 
Hapo tegemea matusi toka kwa wafuasi wa NI YEYE.. Wenyewe wanatamani kusikia ndege haziji na tumetengwa na nchi za ulaya. Kumbe wazungu Sasa hivi wanaambiana East Africa nchi ya kukimbilia kupunguza stress za Corona ni Tanzania tu. Leo nimetembelea viwanja kibao Dar kuanzia city center hadi pembezoni kote nakutana na wazungu kibao wanacheza mziki balaa bila barakoa. Nimegundua JPM ni genius. Wazungu kumbe wakipata upenyo wa flight inayokuja bongo wanakimbilia Tanzania. Anayembishia mleta thread aende JNIA.

Wengi sana wako mjini wanakula maisha hawana habr na barakoa
 
Country's gateway airport kuwa na tundege sita tu Ni aibu, halafu eti mnajisifu mmechafua
Hayo ni madege ya Magufuli yapo hapo miaka na hiyo Emirates moja labda imeleta Waarabu kuwatembelea Waislam wenzao lakini hakuna Uwanja wa kimataifa duniani uliofungwa labda wa Chato tu. Uwanja wa Dubai, mji wa watu milioni 2, unauwezo wa kuhudumia abiria milioni 100 kwa mwaka ambapo gateway Airport unauwezo wa kuhudumia abiria milioni 5 tu kwa mwaka, sawa na wa jangwani kule Emirate.
 
Mkuu, huoni aibu kutoa arguments za kitoto hivyo? You can do better than tundu lissu, please!
 
Hizo ndege zinaingiza pesa ngapi kwa mwaka? sababu nilisoma mahali mashirika mengine ndege zao zinajaza abiria, lakini hizi mnazojidai nazo zinaenda ruti tupu.
 
..mashirika ya ndege duniani kote yana-struggle sana kutokana na ugonjwa wa corona.

..kuna jamaa yangu alisafiri ananiambia alikuwa peke yake ktk siti za watu watatu, hivyo muda mwingi wa safari aliamua kujilaza.

..mashirika ya ndege mengi sana yamepunguza idadi kubwa ya wafanyakazi wake.
 
View attachment 1696379
Leo Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Magufuli ameweka picha akiwazodoa wanaosema ndege haziji Tanzania.

Nami nakubaliana naye kuwa Uwanja wetu wa kisasa JNIA unapokea ndege nyingi kupita kiasi ( kuchafuka).

Tanzania inatajwa kuwa ni moja ya nchi chache Afrika zinazopendwa sana kutembelewa na watu wengi . Hali inasababishwa na mazingira bora, usalama mkubwa, miundombinu ya kisasa, siasa safi na demokrasia na uchumi bora.

Maoni yaliyokusanywa na mwanaharakati Chakabars huko Twitter, katika nchi 54 Tanzania ilishika namba 1 kama nchi ambayo African Americans wangependa kuishi endapo itawabidi kuishi Afrika.
Kawadanganye lumumba wenzako
 
Back
Top Bottom