Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 2,926
- 3,054
Ndiyo wakuu,
Tupo wengi sana tuliokacha kazi serikalini au hata kubadili fani kwa maslahi binafsi.
Mheshimiwa rais Magufuli aliukimbia ualimu na kuingia kwenye kada tofauti na ualimu.
Sasa ni muda muafaka wa yeye naye kutuambia kwanini alifanya hivyo, huku akiwazuia wengine kufanya vitendo kama alichofanya yeye.
Kama ni maslahi mazuri, wote tunataka.
Ila tuambie, kwa nini ulikimbia ualimu?