Kuna watu humu jukwaani wamekuwa wapotoshaji wakubwa juu ya mgogoro unaoendelea kati ya Rais wetu na baadhi ya wazungu ambao hawana nia njema na nchi yetu.
Kuna watu bila huruma na nchi yao...
WAKATI moto wa sakata la utata wa kampuni ya kitapeli ya Richmond ukiendelea kuwaka, huku Bunge likisubiri kwa hamu hatua zitakazochukuliwa dhidi ya watuhumiwa, bomu jingine la ufisadi mkubwa...
Jimbo la Vunjo lilishuhudia mabadiliko ya mbunge aliyekuwepo Ndg James Mbatia ambaye alikataliwa na wananchi kwa sababu ya kuwatelekeza na kushindwa kuwasemea masuala yao ndani ya bunge.
Uchaguzi...
Picha zinajieleza.
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu viongozi wetu. Kwenye matukio mengi wameonekana nyuso zao zikiwa uchi kabisa. Hawana barakoa. Wakiongozwa na Rais mwenyewe,mawaziri na wakuu...
Kwa sasa haieleweki chama kikuu cha upinzani CHADEMA kinafuata sera gani pamoja na ukweli kuwa wako mstari wa mbele kulihabarisha taifa athari za Covid 19.
Je, kwa sasa CHADEMA imeamua kujikita...
Hajapanic ametulia, anaangalia hali halisi ya maisha ya watanzania hajakurupuka anawahurumia watu wake ana hofu ya MUÑGU huyu ndiye John mtoto wa Magufuli
Waliopiga kelele kuwa anavunja haki za...
Tanzania imeingia kwa kasi kwenye e-service lakini imekosea kufanya miradi hii bila kuwateua wasimamizi wazuri.
Ipo mifumo tunayotumia ambayo ukiiangalia tu wakati unaanza kuomba huduma au...
Mtu mweusi ni noma sana!Usipojua tena ni kwa nini ni vyema na haki kwa mtu mweusi kubaguliwa basi utakuwa una matatizo makubwa sana ya akili.
Imagine watu wanakufa kwa wingi kwa Corona lakini...
Ni swali najiuliza tu. Kuna wanasome tusiogope chochote wakati hata wakisimama kuongea wanakuwa na mwanajeshi nyuma! Sasa kama kweli huohopi kwanini wanajeshi kila mahali. Kama kweli viongozi...
Duniani tupo watu wa aina zote kwenye makundi yote:
Kuna madereva wazuri na madereva wabaya.
Kuna madaktari wazuri na madaktari wabaya.
Kuna wanasheria wazuri na wanasheria wabaya.
Kuna marais...
Mhe. Rais naona ameumaliza mzizi wa fitina leo katika mazishi ya Balozi Kijazi na kusema kuwa magonjwa yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo, na sisi si pekee ndiyo tunaotaabika na matatizo haya...
Mheshimiwa Rais
Yesu anasema kuwa, kabla hamjaomba chochote kutoka kwa Baba yenu aliyeko mbinguni yeye ameshatambua mkitakacho!
Tulipofunga na kusali kwenye wimbi la kwanza la korona, Mungu...
Sayansi huwa haikopeshi.
Ukiichezea inakuumbua, maana sayansi kama Mungu alivyo, sayansi ni UKWELI.
Hatuwezi kuudhibiti ukweli, hata uwe na nguvu kubwa sana ya kisiasa.
Tunajua kuwa kuna tatizo...
Taarifa ya WHO inasema kuwa maambukizi ya corona kwa wiki hii pekee yameshuka kwa 16%, na vifo kwa wiki hii pekee vimeshuka kwa 10%.
Tuiangazie Israel kama mfano wa kuigwa.
Israel ni Taifa dogo...
Serikali imeanza kuwasaka madakitari walioacha kazi serikalini kwenda kwenye sekta binafsi.
Kuna walimu wengi sana waliosomeshwa na serikali na kuajiriwa serikalini aidha wako kwenye shule za...
Haishangazi, kwa nini, pamoja na Uingereza kuwa na watu wengi mashuhuri kama vile Malkia Elizabeth , Shakespear na Darwin, kila inapoitishwa kura ya kusaka jina la Mwingereza mashuhuri kuliko...
Hatuwezi tukabishana hadi kuku warudi bandani kwamba Chadema bado ni chama Kikuu Cha Upinzani Tanzania hata kama hakina kinara wa upinzani. Hata hivyo lazima Chadema kitafakari kwa kina na mapana...
Wana jamvi.jf
Kutokana na utumishi uliotukuka wa Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Dr Allan Kijazi katika kuongoza taasisi nyeti ya umma yaani TANAPA bila dosari zozote, aidha, Kutokana na kuboronga kwa...
Jana kwa nasibu nilibahatika kuangalia taaarifa ya habari ya TBC! Bila Shaka taariffa hiyo ilimpa nafassi kubwa Sana Marehemu,kuanzia historia Hadi utumishi ambao wao waliuita uliotukuka!
Ila Cha...